Nakupa mfano, kama wewe na shule ni paka na panya.
mfano Kitabu kina title isemayo "money is a source of evil"
Alafu Juma akatafsiri hiyo title " pesa ni chanzo cha maovu"
Rashid akatafsiri hiyo title " Hela ni chanzo cha ushetani"
Peter akatafsiri hiyo title " hela ni kitovu cha ushenzi"
Alafu Amina akatafsiri hiyo title " Pesa ni mzizi wa mabaya"
Haya Kwa Uelewa wako utaamini title ya Juma na hautaamini Title ya Amina?
Hivyo ndivyo swali lako jinsi lilivyo.
Mwisho, Rudi shule Kwanza ukapate walau elimu ya Msingi ili watoto wako angalau wajivunie kuwa na Baba mwema, lakini kama utaendelea hivi nakuhakikishia hata mkeo atakudharau