Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Wewe unaedai imechakachuliwa bila shaka unayo original

Ni kazi ndogo Sana weka original tulinganishe na hii unayodai tumechakachua

Kama huna original na unadai iliyopo imechakachuliwa lazima utakuwa ni psychopath
Sio Mimi ninayesema mandiko katika Bibilia yamechakachuliwa ila ni nabii Yeremia na mganga wa kienyeji Luka

Kwa hiyo wewe kuhusu kuchakachuliwa Bibilia unapingana na hao waliyosema sio Mimi

Yeremia 8:8 (KJV)
Mwasemaje, Sisi tuna akili, na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi? Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.

Luka 1:1-2 (KJV)
Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,
kama walivyotuhadithia wale
 
Kwa hiyo walichakachua, halafu walipofika kwenye Yeremia 8:8 (uliyoinukuu na unayoiamini) ndio wakaacha hapo kupachakachua?

Yaani walichakachua Biblia yote, halafu walipofika hapo kwenye hiyo Yeremia 8:8 hapo wakapaacha?

Au na hapo walipachakachua?
Nabii Yeremia yupo sahihi Taurati imechakachuliwa maana hata Quran kitabu ambacho ndicho pekee kwa Sasa duniani kina maneno original ya Mungu inasema hivyo hivyo kuwa waisrael walichakachua Taurati

Kwa Sasa Quran ndio kio Cha vitabu vyote vya Mungu vilivyo tangulia
 
Kwa hiyo ayo uliyoweka hayajachakachuliwa ? Na umejuaje hizo verse hazijachakachuliwa
 
Unajivua nguo , nenda kasome ujue maana ya verse,

Umeshindwa kuleta original Yako , maana yake iliyopo ndio original
 
Hujajibu nikichokuuliza
 
Kwa hiyo ayo uliyoweka hayajachakachuliwa ? Na umejuaje hizo verse hazijachakachuliwa
Quran 548.
Na tumekuteremshia wewe, kwa haki, Kitabu hichi kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Vitabu na kuyalinda. Basi hukumu baina yao kwa aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, wala usifuate matamanio yao ukaacha Haki iliyo kujia.


Kazi Moja wapo ya Quran ni kulinda maandiko ya vitabu vilivyotangulia

Yani muisalamu akiona katika injili andiko linasema Yesu ni Mungu anasema hapana hili andiko sio la kweli mmechakachua ila akikuta andiko linasema Yesu ni mtume kwa wana wa Israel anasema Yes ili andiko lipo sawa kwa sababu anayo maneno original ya Mungu aliyeumba mbingu na aridhi
 
Unajivua nguo , nenda kasome ujue maana ya verse,

Umeshindwa kuleta original Yako , maana yake iliyopo ndio original
Sasa original ya hivyo vitabu itoke wapi wakati wajanja wenu waliyokupotezeni walisha viangamiza

Ila tu mtadanganyana nyinyi wenyewe wagalatia kwa sababu sisi waislam tunayo Quran Allah ametuhadithia mambo yote muhimu waliyofanya na waliyosema mitume kabla ya Muhammad
 
Namwamini Yesu wangu Yesu mmoja yule wa Bibilia,aliyetabiriwa kutoka Old Testament mpaka new Testament,walijua kwamba ipo siku atakayetuokoa atakuja,na aliyekuja kutuokoa ni Yesu mwana wa Mungu👌
Na hivi WWE kwani hujui Bibilia iliandikwa na watu weusi???unajua kwamba mpaka Egypt iko Afrika mpaka mafarau walikuwa weusi??Yesu pia ni mweusi👌Na Mimi najua EastAfrika yote ndio Ethiopia,iliyotajwa kwa Bibilia,am Ethiopia Jew👌
Tulimchokoza Mungu kwa kuomba miungu mingine iliyochorwa kwenye Piramids na Temples ndio maana ngozi nyeusi twateseka hivi!!
Muhammad kachanganya miungu yote kaunganisha na kabakia na Allah ndio atunge uislamu wa Leo hii👌Allah alikuwa mmoja ya miungu iliokuwa ikiabudiwa na babake Muhammad na jamii yake,adi wa leo ujue hivyo!!!
 
Unawezaje kujua kitu ni feki bila kujua original kikoje?

Nakuuliza hilo swali, nijibu.
Wewe unaweza kutambua kitu hiki ni feki bila kujua original kikoje?

Ukishajibu hilo swali, urudi kwenye hoja ya mtoa mada ujibu hoja zake ili tusihamishe mada.
 
Wajanja walivipoteza?
Kina nani hao? Unaweza kuwataja majina?
Walivipoteza wapi na lini?
 
Mkuu waislamu wanaviamini na kuvitambua vitabu vilivyokuwepo kabla ya Qur'an kama hiyo Torat,na pia huwaamini mitume walikuwa kabla ya Mtume Muhammad kama Musa na kwamba wote walikuwa waislamu na Muhammad ndio mtume wa mwisho na hivyo vitabu vyengine pamoja na Qur'an vyote ni vitabu vya Allah nikimaanisha Taurat Injili Zaburi na Qur'an.

Tatizo hapo ni hiyo biblia kitabu ambacho kimekuja baada ya Yesu,
Waislamu huvitambua na kuviamini vitabu vya Taurat,Zabur,Injili pamoja na Qur'an na huamini kuwa vyote ni vitabu vya Allah. Tukirudi kwa Muhammad na Qur'an ni kwamba haya maneno ya kwenye Qur'an au Qur'an si maneno yake Muhammad yeye kama yeye bali ni maneno Allah kupitia Muhammad, sasa hapo hizo credit Muhammad angezitoa kvp? Cha ajabu mlitaka credit ziende kwenye biblia ambako kiuhalisia haina hivyo vitabu.
 
Unaelewa kweli mada iliyopo mezani

Wahusika wa vitabu vya biblia walifikaje kwenye koran? Embu elezea

Kwa Nini Muhammad hakuja na character wa uarabuni?
Qur'an haijazungumzia wahusika wa biblia maana hata Yesu mpaka anaondoka hakukuwa na hicho kitabu cha biblia.
 
Muhammad anatambulika ni mtume wa waislamu na kitabu chake ni Qur'an, sasa hiyo biblia ni kitabu cha nani?
 
Nimekuuliza wewe unamfuata Yesu gani

Yesu aliyetumwa na Mungu kwa ajili ya wana wa Israel?

Au Yesu wa Paulo ? Yesu ambaye hakuwahi kuwepo duniani

Yohana 17:3 (KJV)
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.


Tito 2:13 (KJV)
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
 
Wajanja walivipoteza?
Kina nani hao? Unaweza kuwataja majina?
Walivipoteza wapi na lini?
Nabii Yeremia anakujibu swali lako

Yeremia 8:8 (KJV)
Mwasemaje, Sisi tuna akili, na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi? Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.
 

Hapa hatujadili ishu ya kuamini.
Mbona hata Mimi naweza sema naiamini Quran.
Ishu iliyokuwepo tunajadili kuhusu hiyo Quran inaweza kutumika Kama rejea kuu?

Pili, je Quran inaweza kujitegemea bila ya vitabu vya Wayahudi?

Tatu, Ninyi mnawezaje kuamini Torati, Zaburi na injili wakati hamtaki kumuamini Mungu aliyeandikwa kwenye hivyo vitabu?
Yaani hamumuamini Yehova aliyepo kwenye hivyo vitabu alivyovikuta Muhammad lakini mnajifanya mnaviamini vitabu vyake hamuoni hapo kuna tatizo?

Unaposema Biblia haina vitabu unazungumzia vitabu vipi?
Kwa kukusaidia tuu,

Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vifuatavyo;
1. Torati
2. Zaburi
3. Vitabu na Vyuo vya manabii kama Nabii Yeremia, Isaya, Yona, Malaki, Obadia, Nahumu, Mika n.k
4. Injili
5. Vitabu vya unabii Kama kitabu cha Daniel na kitabu cha Ufunuo.

Quran imeiba visa na wahusika wa vitabu vya Torati, Zaburi, Injili na Baadhi ya visa na wahusika wa manabii wadogo kama Yona/Yunus.
 
Muhammad anatambulika ni mtume wa waislamu na kitabu chake ni Qur'an, sasa hiyo biblia ni kitabu cha nani?

Biblia ipo wazi Kabisa kuwa ni mkusanyiko wa maandiko matakatifu ya Wayahudi. Sio kitabu kimoja ili kiwe cha mtu mmoja.

Na hoja yangu ndio ipo hapohapo Kwa upande wa Quran,
Quran imeiba vitabu na wahusika wa vitabu vya kiyahudi alafu Mtume anasema ni visa vyake(rejea Kauli yako uliyosema Muhammad kitabu chake ni Quran) wakati ndani ya Quran kuna visa kibao ambavyo sio vyake. Hiyo ndio hoja ya Msingi.

Kauli yako inathibitisha hoja za Uzi huu kuwa Muhammad alifanya wizi na forgery
Ni Sawa Mimi nichukue kisa cha kitabu cha Mzee mwingi, kisha nichukue kisa cha Mzee Nyerere, kisha nichukue kisa cha Mzee Mkapa, kisha nichukue kisa cha Mzee mengi alafu niunde kitabu niseme hicho kitabu ni changu bila kutoa Credit sehemu nilipochukulia visa hivyo . Huo ni Wizi.
Na ninatakiwa nishtakiwe Kwa wizi.

Unajua mambo ya Hatimiliki?
 
Qur'an haijazungumzia wahusika wa biblia maana hata Yesu mpaka anaondoka hakukuwa na hicho kitabu cha biblia.

Alikuwa nacho, sema Hakuwa na kitabu cha Injili aliyoileta yeye.
Ila vitabu vingine alikuwa navyo na alivisoma na kuvihubiri kila alipopata Wasaa.

Zingatia Biblia ni mkusanyiko wa vitabu/maandiko matakatifu.
 
Nikikujibu unasema hapa hatuzungumzi ishu ya kuamini wakati hivyo vitabu vyewe unavyovizungumzia hapa ni vitabu vya imani, hebu tupaweke sawa kwanza hapa.

Chengine jaribu kuelewa kwamba shida hapa ni kitabu cha wakristo biblia chenye makorokoro kibao na mengine hawakuyaweka walifanya upendeleo wa kuamua kipi waweke humo na kipi wasiweke, sasa kitabu kama hicho ndio unataka waislamu waamini au kukubali kwamba ndani yake et kuna maandiko halisi ya Torat ,Zaburi na Ijili na hayajatiwa mkono hapo ndio kwenye tatizo.
Na kwamba huyu Mungu wanaye muamini wakristo kwamba ni Mungu wa utatu kwamba sijui ana mwanae mara sijui alikufa na kufufuka et ndio Yehova wa kwenye Torat Zaburi na Injili hapo ndipo tunapopishana.
 
UNAONA UKIVURUGA MADA ,BASI WATU HAWATAUJUA UKWELI?


WANAFUNZI WA YESU


Na majina ya hao mitume kumi na wawili ni haya; Wa kwanza Simon aliyeitwa Petro, na Andrea nduguye; Yakobo wa Zebadayo, na Yohana nduguye; Filipo, na Bartholomayo; Tomaso, na Mathayo mtoza ushuru; Yakobo wa Alfayo; na Thadayo; Simon Mkananayo, na Yuda Iskariote, naye ndiye mwenye kumsaliti. (Marko 10:2-4).

Kila mti hutambulika kwa matunda yake (Luka 6:44).

Basi tuone mti uliopandwa na Bwana Yesu Kristo, matunda yake ni ya ladha gani?

Madaraja yaliyofundishwa na Bwana Yesu tuone wanafunzi wake walikuwa wa aina gani?

Yesu alipoleta imani, basi tuone kiwango cha imani ya waaminio wake.

Sina kawaida ya kuwafundisha watu kwa maneno yangu bali nawafundisha kulingana na maandiko yao matakatifu.

Sasa tuone hali na imani ya wanafunzi wa Bwana Yesu.

1. Yesu alisema, hata sasa ninyi nanyi mngali hamna akili? (Mathayo15:16).

2. Alimwambia Petro kwamba; “Ewe mwenye imani haba, mbona uliona shaka? (Mathayo 14:31).

3. Petro alikanusha kuwa mfuasi wa Yesu mara tatu bali alimlaani. (Mathayo 26:69-75).

4. Yuda Iskariote alimuuza Yesu kwa shilingi 30 tu. (Mathayo 26:15).

5. Wakati Yesu alikuwa hatarini, wanafunzi waliendelea kulala). Mathayo 26:40-45; Marko 14:36:041).

6. Yuda alijinyonga. (Mathayo 27:5).

7. Imani ya wanafunzi: “Kwa sababu ya upungufu wa imani yenu” (Mathayo 17:20).

8. Ndipo wanafunzi wote wakamwacha wakakimbia. (Mathayo 26:50).

9. Wengi wataniambia siku ile; Bwana, Bwana hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? Ndipo nitawaambia dhahiri. Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu. (Mathayo 7:22-23).

Hapa juu mmesoma hali na imani ya wanafunzi wa Bwana Yesu sawa na Biblia.

Lakini sisi Waislamu hatuamini kwamba Nabii yeyote anaweza kushindwa kiasi hiki kwamba asiweze kupata matunda ya juhudi yake na athari nzuri isitokee kwa mahubiri na mafundisho yake.

Hata katika Qur'an Tukufu wanafunzi wa Bwana Yesu wametajwa kuwa mfano mzuri juu ya ulimi wa Bwana Yesu menyewe.

Qur'an: “Enyi mlioamini! Muwe wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu kama alivyosema Isa bin Mariam kuwaambia wanafunzi (wake):

Ni nani wasaidizi wangu kwa ajili ya Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu.” (Qur'an 61:15).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…