Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Alikuwa nacho, sema Hakuwa na kitabu cha Injili aliyoileta yeye.
Ila vitabu vingine alikuwa navyo na alivisoma na kuvihubiri kila alipopata Wasaa.

Zingatia Biblia ni mkusanyiko wa vitabu/maandiko matakatifu.
Sizungumzii kuwa navyo vitabu vyengine au kuvisoma bali nazungumzia hiki kitabu tunachokikusudia hapa cha biblia ambacho watu walikaa na kuamua ni kipi kiwemo humo na kipi tusikiweke humo, sasa ukiniambia kuwa Yesu alikuwa nacho hicho kitabu cha biblia na alikisoma inakuwa ndio ndio mtu wa kwanza kukusikia.
 
Inajulikana wazi kuwa Biblia ni kitabu cha wakristo wala sio wayahudi, sasa usitake kulazimisha wengine waamini waliyoyaweka wakristo kwenye kitabu chao cha biblia kama wenyewe mnaamini humo kuna maandiko halisi ya Torat Zaburi na Injili basi hiyo ni imani yenu ila kwa wengine hivyo vitabu havipo tena kwenye uhalisia wake.

Narudia tena kuwa hivyo vitabu vinatambulika kwenye Qur'an vimetajwa na waislamu huviamini, ila waislamu hawaamini biblia.
 
Alikuwa nacho, sema Hakuwa na kitabu cha Injili aliyoileta yeye.
Ila vitabu vingine alikuwa navyo na alivisoma na kuvihubiri kila alipopata Wasaa.

Zingatia Biblia ni mkusanyiko wa vitabu/maandiko matakatifu.


The List of 75 Books Removed or Excluded from the Bible​

  1. The Protevangelion
  2. The Gospel of the Infancy of Jesus Christ
  3. The Infancy Gospel of Thomas
  4. The Epistles of Jesus Christ and Abgarus King of Edessa
  5. The Gospel of Nicodemus (Acts of Pilate)
  6. The Apostles’ Creed (throughout history)
  7. The Epistle of Paul the Apostle to the Laodiceans
  8. The Epistles of Paul the Apostle to Seneca, with Seneca’s to Paul
  9. The Acts of Paul and Thecla
  10. The Epistle of Clement
  11. The Second Epistle of Clement to the Corinthians
  12. The Epistle of Barnabas
  13. The Epistle of Ignatius to the Ephesians
  14. The Epistle of Ignatius to the Magnesians
  15. The Epistle of Ignatius to the Trallians
  16. The Epistle of Ignatius to the Romans
  17. The Epistle of Ignatius to the Philadelphians
  18. The Epistle of Ignatius to the Smyrneans
  19. The Epistle of Ignatius to Polycarp
  20. The Shepherd of Hermas (Visions, Commands, and Similitudes)
  21. Letter of Herod To Pilate the Governor
  22. Letter of Pilate to Herod
  23. The Lost Gospel of Peter
  24. The Epistle of Polycarp to the Philippians
  25. Book of Enoch 1
  26. Book of Enoch 2 (known as The Secrets of Enoch
  27. Enoch 3
  28. Book of Esdras 1
  29. Book of Esdras 2
  30. Book of Maccabees 1
  31. Book of Maccabees 2
  32. Book of Maccabees 3
  33. Book of Maccabees 4
  34. Book of Maccabees 5
  35. Book of Tobit
  36. Book of Jasher
  37. Book of Judith
  38. Book of Esther
  39. Book of Ecclesiasticus / Sirach
  40. Book of Jubilees
  41. Book of Baruch 1
  42. Book of Barucu 2
  43. Book of Baruch 3
  44. Book of The Shepherd of Hermas
  45. Book of Wisdom / Wisdom of Solomon
  46. Book of The Psalms of Solomon
  47. Book of The Odes of Solomon
  48. Book of Giants
  49. Book of Adam and Eve 1
  50. The Conflict of Adam and Eve with Satan
  51. The Gospel of James / The Protevangelion
  52. The Gospel of Peter
  53. The Gospel of Thomas
  54. The Gospel of Nicodemus / Acts of Pilate
  55. The Syriac Infancy Gospel / Infancy of Jesus Christ
  56. The Epistles of Jesus Christ and Abgarus, King of Edessa
  57. The Epistle of Aristeas
  58. The Epistle of Jeremiah
  59. The Epistle of Paul the Apostle to the Laodiceans
  60. The Epistles of Paul the Apostle to Seneca
  61. The Epistle of Pilate to Herod
  62. Assumption of Moses
  63. Apocalypse of Moses
  64. Testament of Abraham
  65. Apocalypse of Abraham
  66. Testaments of the Twelve Patriarchs
  67. The Acts of Paul
  68. The Acts of Paul and Thecla
  69. The Apostles Creed
  70. Psalm 151
  71. Story of Susanna*
  72. Story of Bel and The Dragon*
  73. Story of Ahikar*
  74. The Prayer of Azariah and the Songs of the Three Holy Children*
  75. Prayer of Manasseh
 

Biblia haina kitu kinachoitwa utatu.
Nashangaa badala ya kujadili Biblia Kama Biblia unajadili Wakristo.
Unajua mambo ya kimahakama yanavyojadiliwa?

Biblia Mungu wake ni Yehova kuanzia mwanzo mpaka ufunuo.
Na hakuna kitu kinaitwa utatu ndani ya Biblia.
Kama uliwahi kukiona unaweza kuweka huku kama reference.
 

Hapo ndipo unakwama,
Hujui hata kinachohadiliwa hapa ni kitu gani,
Quran na Biblia ndio wapo mahakamani.
Na sio Wakristo na waislam.

Nijibu, Wewe Mtanzania unayeiamini Torati, zaburi na Injili uliwahi kuviona wapi vitabu hivyo hapa nchini zaidi ya kwenye Biblia?
Embu nifanyie Citation moja ya Aya ya Torati au Zaburi au Injili bila ya kuitoa kwenye Biblia.

Nakusubiri
 

Hata Quran watu walikaa wakaamua Sura ipi ikae wapi kwenye Quran unayoisoma hiivi leo.

Mpaka mtume anakufa hapakuwa na kitabu kiitwacho Quran.
Kwa hiyo watu kukaa na kuamua kipi kikae wapi Hilo sio kosa Kwa sababu hicho ni kitabu cha kibinadamu, kimeandikwa na wanadamu na Kwa ajili ya wanadamu.
Hivyo hiyo sio hoja.
 
Suala la utatu kuwa kwenye biblia au halipo huo ni mjadala mwengine ila point ni kwamba wakristo wanaamini utatu na wakristo hao hao ndio wanasema wanamuamini Yehova na kumfanya kuwa ni Mungu wa wakristo na hiivyo Yehova amehusishwa na utatu kwa imani za wakristo, napozungumzia wakristo nazungumzia watu au waumini wenye kitabu cha biblia.

Yehova hawezi kuwa wa biblia kwa sababu hakuna huo ushahidi wa Yehova kukitambua hicho kitabu cha biblia, kitabu kimejaa makorokoro ya kila aina na mengine yalikataliwa kuwekwa bila sababu za msingi na watu tu kisha ndio mkihusishe kitabu hicho na Yehova?
 

Elimu kweli ni muhimu Sana.

Embu nitajie Mungu wa hawa watu
Ibrahim
Esau
Yakobo
Yusufu
Musa
Daudi
Suleiman
Yona
Yesu n.k.

Hao ndio main character wa vitabu vyote vilivyomo kwenye Biblia, na wote mungu wao ni mmoja, iweje useme huyo mungu sio mungu wa kwenye hiyo Biblia?

Embu nitajie mungu wa HAO watu ili tumjue, nukuu kitabu chochote cha Torati, Zaburi au Injili hata usipoihusisha Biblia.
 

Sijui ni kwamba akili yako ni ndogo inashindwa kuelewa au vipi.
Nimekuambia hapa hatujadili kile watu wanachoamini au kukisema, Bali tunajadili kitabu cha Biblia na Quran.


Hata Mimi ninaweza kuanzisha Dini yangu Kwa kutumia kitabu kimoja wapo hapo iwe mi Biblia au Quran.
Hivyo lolote nitakalosema au kuamini haliwezi kuchukuliwa maanani mahakamani Kwa sababu Mahakama hazipo kwaajili ya mitazamo au Imani ya mtu.
 
Mpaka Mtume anakufa Qur'an ilikuwa teyari ishakamilika watu waliihifadhi kichwani na wengine waliandika kwenye mawe huko lakini ilikuwa teyari, kilifanyika baadaye ni kuikusanya sehemu moja na kuandikwa hivyo hakukuwa na huo uchaguzi wa sura ipi tuamuwe tuiweke na ipi tusiweke. Ila kwenye kuunda kitabu cha biblia watu walikaa na kuamua kuchagua kipi kiwepo kwenye biblia na kipi kisiwepo na kuweka na mambo mengine halafu wewe unakuja kusema et Yesu alisoma hicho kitabu!
 
Wewe ndio huelewi kuwa hivyo ni vitabu vya imani huwezi kuvitoa hapo, ndio maana hata wewe umeaminishwa kwamba kwenye biblia kuna Torat halisi kitu ambacho ni imani tu na ndio huwa mnasema kimeandikwa kwa msaada wa Roho mtakatifu pale mnapojaribu kutetea makosa yaliyo kwenye biblia.

Biblia ni kitabu cha imani huwezi kubadili hilo.
 

Nipe maandiko nukuu hata kwenye Quran hayo maelezo yako. Kwamba Quran ilikuwa tayari Muhammad kuwa hai.

Alafu ukimqliza, msikilize Yesu akisoma chuo cha Nabii Isaya;
Luka 4:17
Akapewa chuo cha nabii Isaya, akakifungua chuo, akatafuta mahali palipoandikwa,

Luka 4:18
Roho wa Bwana yu juu yangu, Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema. Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao, Na vipofu kupata kuona tena, Kuwaacha huru waliosetwa,
Luka 4:19
Na kutangaza mwaka wa Bwana uliokubaliwa.
Luka 4:20
Akakifunga chuo, akamrudishia mtumishi, akaketi; na watu wote waliokuwamo katika sinagogi wakamkazia macho.

Maandiko yenyewe ya Isaya ni haya
Isaya 61:1
Roho ya Bwana MUNGU i juu yangu; kwa sababu BWANA amenitia mafuta niwahubiri wanyenyekevu habari njema; amenituma ili kuwaganga waliovunjika moyo, kuwatangazia mateka uhuru wao, na hao waliofungwa habari za kufunguliwa kwao.
Isaya 61:2
Kutangaza mwaka wa BWANA uliokubaliwa, na siku ya kisasi cha Mungu wetu; kuwafariji wote waliao;

Ukiwa mahakamani Unatakiwa uwe na vielelezo vinavyothibitisha maneno yako.

Yesu alisoma Biblia, na wewe mwenyewe umejionea.

Sasa nitakuuliza swali,
Kitabu/chuo cha Nabii isaya hakipo kwenye Biblia au kipo?
 

Biblia ni kitabu cha Imani Kwa walio na Imani.
Biblia ni kitabu cha watawala Kwa watawala.
Biblia ni kitabu cha taaluma Kwa wanaosoma teolojia.
Kuna mtu anachukua shahada ya falsafa katika teolojia anasoma Biblia sio Kwa sababu ya Imani Bali Kwa sababu ya Fani na taaluma yake.

Fikiri kama msomi usiwe Kama mtu ordinary
 
Na Aya yenyewe aliyosoma Yesu ndio hii hapa.

Isaya 61:1 Roho ya Bwana MUNGU i juu yangu; kwa sababu Bwana amenitia mafuta niwahubiri wanyenyekevu habari njema; amenituma ili kuwaganga waliovunjika moyo, kuwatangazia mateka uhuru wao, na hao waliofungwa habari za kufunguliwa kwao.

Muhammadi naye alitakiwa kufanya hivi
Ili tukienda kusoma chuo cha aliyemnukuu iwe kweli maandiko yapo.

Hapo atakuwa ameshinda Mahakamani kwakuwa kasema kweli.
 
Sisi tuliosoma Sheria, kati ya vyanzo vya sheria yaani. Source of Customary Laws.
Mojawapo ni amri Kumi za Musa za kwenye Torati iliyoko ndani ya Biblia

Ni sheria za mwanzo kabisa kutumika na Binadamu.

Mahakamani watathibitisha kwa vitabu vya Sheria na kurejea kwenye Biblia na kuthitisha kuwa ni kweli.
 
Basi kama ni hivyo pia kubali kwamba Qur'an ni kitabu cha Yehova kwa sababu ndani ya Qur'an kuna maandiko ya kwenye Torat (ambayo unasema Qur'an imeiba).

Nimekwambia Mungu wanayemuamini wakristo ni Mungu wa utatu na wakristo ndio wenye kitabu chao biblia na ndio maana pamoja na kudai kwamba kwenye hiyo biblia yao kuwa et kuna Torat,zaburi na injili ila pia kuna mafundisho mengine yenye kuwahusu wenyewe wenyewe wakristo yote yapo humu. Sasa kiujumla utasemaje hicho kitabu ni cha Yehova au kwamba Mungu wake ni Yehova.
 

Tatizo la Uhuru anafikiri Kama mtu Ordinary.
Hali inayomfanya aonekane Hana uelewa
 
Kwani wewe unaelewa nini unaposikia kitabu cha imani? Mbona unataka tubishane pasina ulazima,
 

Kwenye Quran kuna neno Yehova/Yahwe?
Mungu WA Quran ni Allah.
Allah na Yehova ni miungu wawili tofauti karibu Kwa kila kitu.
Ila Allah yeye ndiye kaiba kazi za Yehova.

Nikakuambia Wakristo achana nao maana huwajui kivyovyote.
Wakristo wapo madhehebu mengi na yapo ambayo hayaamini huo Utatu.

Tunachojadili hapa ni kilichopo kwenye Biblia.
Nitakuuliza swali, Utatu kwenye Biblia upo? Kama upo toa nukuu.

Tofautisha mapokeo ya wanadamu yaliyopo katika Dini na sheria za Mungu.
Ndio maana nikakuambia unahitajika upate shule ya mambo haya.

Kwa mfano, mapokeo ya binadamu yanaweza kusema mtu akila chakula itampasa anawe mikono.
Lakini hakuna sheria za Mungu katika vitabu vyake vinavyomtaka mtu anawe mikono ndipo Ale chakula.

Ndio maana Yesu akasema, Ya kaisari mpeni Kaisari...

Nakupa mfano mwingine,
Sheria za Mungu zimetaja Aina ya Aina wanyama wanaotakiwa kuliwa kama chakula lakini haijataja Aina ya mapishi.
Hivyo mapishi ni mapokeo ya wanadamu Ila chakula ni sheria za Mungu.

Elimu ni muhimu hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…