Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

ndio ni nguvu zake Mungu!!!Mungu mwenyewe Kama binadamu!!!👌
Wwe Nikuulize uko sure unamwamini Nani huyo Allah???
Allah wa Muhammad,Muhammad mtenda thambi yote!!na akaandika uongo kwenye Quran!!!akijisifia yye na miungu ya Waarabu!!👀
Ndivyo aya livyosema

Hizi ni nguvu zake Mungu Kama binaadamu zinalia Elloi Elloi Lamma sabbakhtani ?
 
Ndivyo aya livyosema

Hizi ni nguvu zake Mungu Kama binaadamu zinalia Elloi Elloi Lamma sabbakhtani ?
ndio sababu alikuwa afe Kama sisi,askie uchungu Kama sisi na afufuke arudi Binguni👌Lazima angelilia Babake kwasababu ni kuonesha heshima yeye alikuwa mwanadamu saa hizo na nguvu za Mungu zaweza ingia mahali popote ata kwa mtoto anayezaliwa!!!👌na kwasababu alikuwa mwanadamu sahizo lazima angetuonesha example ya kuomba msamaha,iyo ndio kitu alikuja kutuonesha kwa dunia👌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…