Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Ni Aya ipi Yesu alisema maneno hayo uliyoandika?
 
Alikua anasikia kwa nani!?..alipokua anasikia alikua anasikia peke yake kiasi wafuasi wasimwambie hayo umekopi!?
Waarabu wengi walikuwa hawajui kusoma na kuandika walikuwa wasomi ni wakristo na wayahudi
Kuna mkristo alikuwa anaitwa waraq ndie alikuwa na maandiko akawa anamsomea Muhammad Kwa ku translate kuja kiaarabu

Huyu jamaa alivyokufa Muhammad akawa chizi akawa anataka kujiua
 
Kwa hiyo waraqa alikua anamsomea Muhammad tu Makkah nzima na wengine wasijue!?..hata wanashindwa kumwambia hayo umesomewa na waraqa!?..ulitaka nikuwekee post uliyotukana Allah, Muhammad na waislam,nadhani hujachelewa ushajidhihirisha
 
Wayahudi walikuwa wanamfuata mara kwa mara wakamwambia anachanganya majina na history, yeye akawa anawapotezea ,
Baada ya warak kufa Muhammad akataka kujiua badae akapata mkristo mwingine akawa anamsaidia
 
Huyo waraqa alikua akimsomea Muhammad tu Makkah nzima kiasi waarabu wa Makkah wasiujue huo ujumbe na kumwambia Muhammad kwamba kakopi kwa waraqa!?...hao wayahudi hawakumwambia Muhammad kwenye hadhara zake kwamba kakopi kwa waraqa ili ashushuke!?
 
Walikuwa wanamwambia sio tu kakopi kwao mpaka wakawa wanamwambia ana copy maneno ya kale
Soma Koran utakuta
 
Muhammad alikuwa anachukua story nzima anahadithia sasa Kwa sababu alikuwa analazimisha iwe inaimbwa kama mashahiri alikuwa anaongezea kina Cha kuishia kama rap song
Ndiyo aya hiyo iliyokopiwa kutoka biblia ?
 
Walikuwa wanamwambia sio tu kakopi kwao mpaka wakawa wanamwambia ana copy maneno ya kale
Soma Koran utakuta
Mbona wao hawakupata wafuasi Kama Muhammad na walikua wakihubiri ikiwa kweli ujumbe was mungu mmoja asiye na mwana Wala wazazi was Muhammad ndiyo ulikua ujumbe was waraqa na wayahudi!?
 
Mbona wao hawakupata wafuasi Kama Muhammad na walikua wakihubiri ikiwa kweli ujumbe was mungu mmoja asiye na mwana Wala wazazi was Muhammad ndiyo ulikua ujumbe was waraqa na wayahudi!?
Myahudi msomi ndie alimfundisha Muhammad kutomahirikisha Mungu , alimkuta Muhammad anamshirikisha Mungu na jiwe jeusi
 
Myahudi msomi ndie alimfundisha Muhammad kutomahirikisha Mungu , alimkuta Muhammad anamshirikisha Mungu na jiwe jeusi
Tuwekee aya moja tu iliyokopiwa kutoka biblia usiruke ruke
 
Ndiyo aya hiyo iliyokopiwa kutoka biblia ?
Walikuwa wanamwambia hawakukaa kimya Muhammad alikuwa anaweka mpaka tales of ancients kwenye Koran ,

Koran 8:31 When Our Signs are rehearsed to them, they say: "We have heard this (before): if we wished, we could say (words) like these: these are nothing but tales of the ancients."
 
Ndiyo aya ya biblia iliyokopiwa hiyo ?
Wacha kuharisha tafadhali

Tuwekee aya moja tu iliyokopiwa kutoka biblia
 
Myahudi msomi ndie alimfundisha Muhammad kutomahirikisha Mungu , alimkuta Muhammad anamshirikisha Mungu na jiwe jeusi
Huyo myahudi msomi yupi!?.. Qur'an 9:30
Na mayahudi wanasema uzeri ni mwana was Mungu.na wakiristo wanasema masihi ni mwana wa Mungu.hiyo ndiyo kauli yao toka vinywa vyao.wanayaiga maneno ya waliokufuru kabla yao.
Hawa ndiyo unasema wamemfundisha Muhammad kutomshirikisha Mungu!?
 
Ndiyo aya ya biblia iliyokopiwa hiyo ?
Wacha kuharisha tafadhali

Tuwekee aya moja tu iliyokopiwa kutoka biblia
Koran Muhammad alikuwa analazima iimbwe kama mashahiri yenye kuishia na kina kimoja kama rap song

Alichofanya ni kichukia kisa kizima kutoka vitabu vya wayahudi akalazimisha ziwe verse zinaishia kina kimoja

Mfano unakuta kwenye Koran Allah na shetani wanaongea wanaishia na kina kimoja, jiulize shetani alijuaje wanatakiwa waishie kina kimoja , kama ai utunzi wa Muhammad 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…