Super Charged
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 947
- 1,710
Song of Solomon ni kitabu Cha Allah [emoji23][emoji23]
Kuweni serious basi
Biblia za mwanzo zipo kama zilivyo hakuna mtu kabadili kitu ,
Usiongee Bila Ushahidi.Alikuwa Anapewa Na Nani Hivo Visa?Nimekwambia alikuwa ana pewa kisa mfano Cha Yakobo, anaenda anatunga shahiri kuelezea kisa alicho copy kutoka kwa wayahudi
Ndio unakuta anapwaya pakubwa kutoa maelezo ya kutosha unakuta anamtaja yakub mara ghafla anamtaja Israel bila Kuweka Yakub ilikujaje kuwa Israel ili uweze kuelewa itakupasa wewe gavana ukafungue biblia usome
Umetumiaje kitabu kisicho Cha Allah ukamkuta Muhammad? unajua kinacho zungumziwa apo toka verse number moja?Sijui Unamaanisha Nini,Sijakuelewa.Song Of solomoni(Wimbo Uliobora) kwenye Biblia Na Sio Kwenye Qur'an.Haiko Kama Mwanzo Biblia Soma,Nimetolea Mfano Kwenye Song Of Solomon Walivobadilisha,Kasome Vizuri Hebrew Bible Kisha Soma Na English Bible Kisha Uje Utoe Hoja.Nimekupa Mfano Pa Kuanzia Anza Kwenye Song Of Solomon(5:16) soma Hebrew Bible Kisha English Bible
Wewe ndio useme visa vya wayahudi vilifikaje kwenye kitabu Cha MuhammadUsiongee Bila Ushahidi.Alikuwa Anapewa Na Nani Hivo Visa?
Kwa hiyo kwenye verse hii tuweke neno MuhammadSijui Unamaanisha Nini,Sijakuelewa.Song Of solomoni(Wimbo Uliobora) kwenye Biblia Na Sio Kwenye Qur'an.Haiko Kama Mwanzo Biblia Soma,Nimetolea Mfano Kwenye Song Of Solomon Walivobadilisha,Kasome Vizuri Hebrew Bible Kisha Soma Na English Bible Kisha Uje Utoe Hoja.Nimekupa Mfano Pa Kuanzia Anza Kwenye Song Of Solomon(5:16) soma Hebrew Bible Kisha English Bible
Ebu mtu anifahamishe/anisomeshe mbona niwache Bibilia yangu niichukue Quran???
Ikiwa Muhammad mwenyewe katambua Bibilia,kasema unapokitafuta kitu kwenye Quran ukikose ukitafute kwenye Bibilia!![emoji108]
Quran yenyewe kaandikwa eti Muhammad kaandika uongo ambayo Allah wake hakumwambia???
Muhammad mwenyewe kaharibu viungo vya mtoto Aisha,kalala naye akiwa 6yrs!!!!!kaoa pia Bibi ya mtoto yake!!
Muhammad alinakili stori za maana kutoka kwenye Bibilia nakuongeza yake ili aandike Quran,ndio maana kwenye Quran utapata vitu zengine za kweli na zengine utopolo wa uongo na ambayo ni ya aibu!!!
Hebu nijue naweza aje kumwamini Muhammad na Quran yake Mimi mtu mzima????[emoji102]
Mtume Muhammad(S.A.W) alikuwa Akishushiwa wahyi(Ufunuo).Wahyi Ambao Ulikuwa Ukiletwa Na Jibril Kutoka Kwa Allah.Wewe ndio useme visa vya wayahudi vilifikaje kwenye kitabu Cha Muhammad
Uelewa Mdogo.Nimesema Kwenye Translated Version wametoa Jina Muhammad,Wewe Hiyo Uliyosoma Ni Translated Bible.Kasome Biblia Ya Kiebrania(Hebrew).Biblia Za Mwanzo Kabisa Hata Kabla Ya Kuwa Translated Kwenye Lugha za Mataifa YoteKwa hiyo kwenye verse hii tuweke neno Muhammad
Wimbo Ulio Bora 5:16 BHN
Kinywa chake kimejaa maneno matamu, kwa ujumla anapendeza. Basi, hivyo ndivyo alivyo mpenzi wangu, naam, ndivyo alivyo rafiki yangu, enyi wanawake wa Yerusalemu.
Ameshushiwaje wakati story zilikuwepo tayariMtume Muhammad(S.A.W) alikuwa Akishushiwa wahyi(Ufunuo).Wahyi Ambao Ulikuwa Ukiletwa Na Jibril Kutoka Kwa Allah.
Dhumuni la wewe kusema wameondoa jina Muhammad ni nini? Na unadhani kwa Nini wameliondoa ?Uelewa Mdogo.Nimesema Kwenye Translated Version wametoa Jina Muhammad,Wewe Hiyo Uliyosoma Ni Translated Bible.Kasome Biblia Ya Kiebrania(Hebrew).Biblia Za Mwanzo Kabisa Hata Kabla Ya Kuwa Translated Kwenye Lugha za Mataifa YoteView attachment 2410400
Ndiyo Aya hiyo iliyokopiwa kutoka ndani ya biblia?Nimekwambia alikuwa ana pewa kisa mfano Cha Yakobo, anaenda anatunga shahiri kuelezea kisa alicho copy kutoka kwa wayahudi
Ndio unakuta anapwaya pakubwa kutoa maelezo ya kutosha unakuta anamtaja yakub mara ghafla anamtaja Israel bila Kuweka Yakub ilikujaje kuwa Israel ili uweze kuelewa itakupasa wewe gavana ukafungue biblia usome
Zilikuwepo,Lakini Mtume Muhammad(S. A. W).Angezijuaje Wakati Hakuwepo.Hapo Tunapata Tafsiri Kuwa Mtume Hakuwa Anajisemea kwa Matakwa Yake, Isipokuwa Ni Vitu Vya Uhakika Anavyoshushiwa Na Allah.Ameshushiwaje wakati story zilikuwepo tayari
Kasome kisa Cha yakobo kwenye biblia na kasome Cha yakuub kwenye koranNdiyo Aya hiyo iliyokopiwa kutoka ndani ya biblia?
Tuwekee aya moja tu iliyokopiwa kutoka biblia
Tuwekee aya moja tu iliyokopiwa kutoka bibliaKasome kisa Cha yakobo kwenye biblia na kasome Cha yakuub kwenye koran
Dhumuni Ni Kuwa Biblia Zinabadilishwa.Dhumuni la wewe kusema wameondoa jina Muhammad ni nini? Na unadhani kwa Nini wameliondoa ?
Kazi kuta story zipoZilikuwepo,Lakini Mtume Muhammad(S. A. W).Angezijuaje Wakati Hakuwepo.Hapo Tunapata Tafsiri Kuwa Mtume Hakuwa Anajisemea kwa Matakwa Yake, Isipokuwa Ni Vitu Vya Uhakika Anavyoshushiwa Na Allah.
Kwani Yesu Habari za Mitume wa Kabla Yake Alizijuaje,Au Alikuwa Anatunga Yeye Maana Hakuwepo Kipindi Cha Adam,Nuhu, selemani.Au Ndo Unataka sema Yesu Ni Mungu Anajua Kila Kitu.
Biblia haibadikishwi ingekuwa inabadilishwa usinge Kuta ata hiyo unayodai ni Muhammad inamaana umeenda Kwa original Ndio ukaona Alie translate kakoseaDhumuni Ni Kuwa Biblia Zinabadilishwa.
Na Kuhusu Kwa Nini Wameliondoa Hilo Swal Nikuulize wewe Kwa nini Wamelindoa kwan Biblia Ya dini yako si Yangu.Kwa Nini Mmeliondoa?
Kasome wewe uliyesema quran imekopiwa kutoka biblia , baadaye utuwekee Aya moja tu kutoka biblia kuthibitisha plagiarism unayosema?Kazi kuta story zipo
Kwanza haku acknowledged kwamba kazikuta kafanya Plagiarism
Yesu alikuwa akifungua anasema kama ilivyoandikwa na wala hakuwa anaiba kazi za watu alikuwa anatoa credit
Imebadilishwa Kwenye Translated Version,Wangebadilishaje Kwenye original Version Wakati Watu wa Hiyo Lugha Tayari wanaijua Hiyo Aya Na wana Manuscript zilozoandikwa Muhammad.Na Kama Aliyetafsiri Amekosea Basi Biblia nyingi Zina Makosa, Hizo Copy Zote Zilizotoka Pamoja Na Niliyosoma Zina Makosa.Biblia haibadikishwi ingekuwa inabadilishwa usinge Kuta ata hiyo unayodai ni Muhammad inamaana umeenda Kwa original Ndio ukaona Alie translate kakosea
Muhammad kakuta kazi za wayahudi zipo tayari yeye kasema ameshushiwa ,unashuwa vipi kitu ambacho kipo tayariZilikuwepo,Lakini Mtume Muhammad(S. A. W).Angezijuaje Wakati Hakuwepo.Hapo Tunapata Tafsiri Kuwa Mtume Hakuwa Anajisemea kwa Matakwa Yake, Isipokuwa Ni Vitu Vya Uhakika Anavyoshushiwa Na Allah.