Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Katika suala la vitabu kila kitabu kimeandikwa kwa namna yake taurati ,Injili ,Zaburi pia Quran waislam wanaamini ivi vitabu vyote ndio vilivyo andikwa kwenye hiyo Quran Ila Bible naona mikono ni mingi Sana Bible ya walokole tofatuti na wasabato .Ila Quran ya USA same na apa kwetu buza .

Embu Lete hiyo mikono mingi angalau ya Bible ya walokole na Bible ya wasabato ili tuone usemacho.

Biblia ni moja na maandiko ni yaleyale.
Weka akilini kuwa vitabu vya Biblia vipo vingi.

Hata hiyo Quran wakati wanakusanya hizo Sura ili kuunda kitabu kimoja cha Quran sio vitabu vyote vilipatikana. Elewa kuwa mpaka Mtume anaondoka hapakuwa na Quran kama unayoisoma hivi Leo.

Zingatia pia Muhammad hakuandika Quran isipokuwa alikuwa anasimulia kisha watu wengine waliokuwa wanamsikiliza ndio waliokuwa wanarekodi
 
Embu Lete hiyo mikono mingi angalau ya Bible ya walokole na Bible ya wasabato ili tuone usemacho.
Biblia ni moja na maandiko ni yaleyale.
Weka akilini kuwa vitabu vya Biblia vipo vingi.

Hata hiyo Quran wakati wanakusanya hizo Sura ili kuunda kitabu kimoja cha Quran sio vitabu vyote vilipatikana.
Elewa kuwa mpaka Mtume anaondoka hapakuwa na Quran kama unayoisoma hivi Leo.
Zingatia pia Muhammad hakuandika Quran isipokuwa alikuwa anasimulia kisha watu wengine waliokuwa wanamsikiliza ndio waliokuwa wanarekodi

Twende tu kwenye suala dogo la nguruwe Mimi baba angu mkrisro Ila suala la nguruwe kwake ni haramu.

Anyway twende kwenye Quran ni kweli waliandika kwa kurekodi Kuna vitu kweny Qur'an akuna Ila utavipata kwenye hadithi. Na Quran ina maajabu yake ata Bible hakuna na haitaweza kuwa nayo zaidi tu ya kuzungumza historia.

Quran imeelezea mfumo wa uzazi, mfumo wa sayari bila kupindisha, mfumo wa ndoa.
 
Twende tu kwenye suala dogo la nguruwe Mimi baba angu mkrisro Ila suala la nguruwe kwake ni haramu . Anyway twende kwenye Quran ni kweli waliandika kwa kurekodi Kuna vitu kweny Qur'an akuna Ila utavipata kwenye hadithi.Na Quran ina maajabu yake ata Bible hakuna na haitaweza kuwa nayo zaidi tu ya kuzungumIa historia
.Quran imeelezea mfumo wa uzazi ,mfumo wa sayari bila kupindisha , mfumo wa ndoa

Hata Biblia imetaja hayo yote,
Biblia imetaja mfumo wa uzazi, bahari, upepo, anga, jua, mwezi, nyota, mimba, ndoto, kifo n.k.

Tukirudi kwenye Nguruwe Biblia zote zinafanana, alafu Torati inaeleza wazi kuwa Nguruwe ni haramu, sio nguruwe tuu hata ngamia, sungura, Bata, kambale, kibua, pweza n.k.
Biblia inakataza.

Jambo moja la kuweka Akilini kuhusu Ukristo, ni hivi; kuna sheria za Biblia na sheria za Kanisa. Sasa ninyi msioujua Ukristo ndio mnambwela mbwela Kwa kuchanganya hayo mambo.

Quran hauwezi izidi Biblia kivyovyote.
Ila Biblia inazidi Quran Kwa mambo MENGI.

Mfano,
Ni Biblia pekee inayojua dunia imetoka wapi, ilipo na wapi inaenda kwani Biblia ndio imeeleza binadamu aliumbwa na Mungu, zikatokea falme za dunia kama Nimrodi, waashury, wamisri, Wakaldayo(babeli), Wamedi, waajemi, wayunani, Warumi, Zama za Giza, na ku-rise Kwa mataifa.

ya Ulaya mpaka marekani.
Lakini Quran haina hiyo connection kihistoria.

Yenyewe inarukia rukia mambo.
 
Katika suala la vitabu kila kitabu kimeandikwa kwa namna yake taurati ,Injili ,Zaburi pia Quran waislam wanaamini ivi vitabu vyote ndio vilivyo andikwa kwenye hiyo Quran Ila Bible naona mikono ni mingi Sana Bible ya walokole tofatuti na wasabato .Ila Quran ya USA same na apa kwetu buza .
Mimi mbona najua Quran zipo kama 30+
Una uhakika gani ni moja?
Kwanza hiyo moja ilianza kuwa Moja lini?
Maana hadi mtume anakufa hakukuwa na Quran moja.Hata kipindi chake zilikuwa nyingi.

Mtume mwenyewe hakuwa ameikariri quran yote, kuna aya zingine alikuwa akisikia watu wanazikariri anashtuka kama ndo anazisikia kwa mara ya kwanza (je kama walikuwa wanazitunga?)
Na pia mtume mwenyewe alikuwa anaiedit quran, yani ameshakaririsha watu aya fulani halafu baadae tena anaibadilisha na kuongezea mambo mengine.

Umar(kalifa wa kwanza) ndio wa kwanza kutaka kuziunganisha aya kuwa kitabu kimoja, Muhamad aliacha maaya tu watu wamekariri bila mpangilio..
baadae zikawepo Quran kibao, Uthman (kalifa wa 3) alikusanya quran kibao na kuchagua moja, zingine akazichoma moto. Kitendo ambacho kilimuuzi swahaba aitwaye abdullah ibn Masud kwasababu hakuikubali ile Quran iliyopitishwa (Huyu Abdula ibn masud, muhamad enzi za uhai wake alishawahi kusema ndio anaijua Quran kuliko wote)

Ukiachana hivyo tu Aisha alisema umar kuna aya hakuziingiza kwenye Quran kipindi Umar anaambia watu wakusanye Aya, Zile aya Ambazo aisha alikuwa amekariri ameandika sehemu alizitupa akasingizia karatasi zimeliwa na mbuzi.

Kuna hadith nyingi zinasema Quran aliyopitisha Umar inamiss Aya kibao.

Hata iyo quran moja aliyoipitisha Umar sio hii inayotumika leo ambayo ilipitishwa mwaka 1924 tu hapo Misri(Hafs). Maana zinazookotwa na wanahistoria huko Syria zinatofautiana na Quran ya leo.

ila Quran zinazotumika sasa kwa wingi Kuna Quran ya Hafs(iliyopitishwa Misri) na Quran ya Warsh, hapa bongo mnatumia ya Hafs ila ukienda Ethiopia wanatumia ya Warsh na ukizisoma zinatofautiana (sio lahaja tu kama baadhi ya mashehe wanavyodanganya)
 
Hata Biblia imetaja hayo yote,
Biblia imetaja mfumo wa uzazi, bahari, upepo, anga, jua, mwezi, nyota, mimba, ndoto, kifo n.k.

Tukirudi kwenye Nguruwe Biblia zote zinafanana, alafu Torati inaeleza wazi kuwa Nguruwe ni haramu, sio nguruwe tuu hata ngamia, sungura, Bata, kambale, kibua, pweza n.k.
Biblia inakataza,
Jambo moja la kuweka Akilini kuhusu Ukristo, ni hivi; kuna sheria za Biblia na sheria za Kanisa. Sasa ninyi msioujua Ukristo ndio mnambwela mbwela Kwa kuchanganya hayo mambo.

Quran hauwezi izidi Biblia kivyovyote.
Ila Biblia inazidi Quran Kwa mambo MENGI.
Mfano,
Ni Biblia pekee inayojua dunia imetoka wapi , ilipo na wapi inaenda kwani Biblia ndio imeeleza binadamu aliumbwa na Mungu, zikatokea falme za dunia kama Nimrodi, waashury, wamisri, Wakaldayo(babeli), Wamedi, waajemi, wayunani, Warumi, Zama za Giza, na ku-rise Kwa mataifa ya Ulaya mpaka marekani.
Lakini Quran haina hiyo connection kihistoria.
Yenyewe inarukia rukia mambo.
Kwenye biblia Kuna hiyo mifumo imeelezewa vizuri Kama kwenye Biblia ? Ndugu embu nipe hayo maandiko niweze fatilia
Mfumo wa uzazi
Mfumo wa sayari

Bible Imetiwa sana mkono kila mtu akijiskia anaweka lake Yeezy Bible kila kwenye jina la yesu ameweka jina lake .
 
Kuna mkristo anatupia watu majini??
Yes , nilikosa access exim benki ila alikuja mshombi mmoja anaitwa samira akapewa hiyo access tulienda interview waliochaguliwa ni muslims wote Citizen B
Tena pale Bakhresa ukienda interview kama hauitwi Salim au Saidi ujue hupati kazi...na Kama unaitwa John hata ukipata kazi, kwa jinsi utakavyobaguliwa haumalizi mwezi unaresign.
Sidhani kama kuna kampuni lenye itikadi za hivi kwa wakristo.
 
Twende tu kwenye suala dogo la nguruwe Mimi baba angu mkrisro Ila suala la nguruwe kwake ni haramu . Anyway twende kwenye Quran ni kweli waliandika kwa kurekodi Kuna vitu kweny Qur'an akuna Ila utavipata kwenye hadithi.Na Quran ina maajabu yake ata Bible hakuna na haitaweza kuwa nayo zaidi tu ya kuzungumIa historia
.Quran imeelezea mfumo wa uzazi ,mfumo wa sayari bila kupindisha , mfumo wa ndoa
Mfumo wa uzazi kwenye Quran ni uharo mtupu. Na wewe unaamini mtoto anatungwa kwenye damu iliyoganda?

Mfumo wa sayari upi? Wakati vimondo tu Quran inasema ni makombora ambayo Allah anamtupiaga shetani.

Mfumo wa ndoa sio kitu scientific. Hata mimi ninaweza kukaa chini nikaunda mfumo wa ndoa.
 
Hahaha
Mimi mbona najua Quran zipo kama 30+
Una uhakika gani ni moja?
Kwanza hiyo moja ilianza kuwa Moja lini?
Maana hadi mtume anakufa hakukuwa na Quran moja.Hata kipindi chake zilikuwa nyingi.

Mtume mwenyewe hakuwa ameikariri quran yote, kuna aya zingine alikuwa akisikia watu wanazikariri anashtuka kama ndo anazisikia kwa mara ya kwanza (je kama walikuwa wanazitunga?)
Na pia mtume mwenyewe alikuwa anaiedit quran, yani ameshakaririsha watu aya fulani halafu baadae tena anaibadilisha na kuongezea mambo mengine.

Umar(kalifa wa kwanza) ndio wa kwanza kutaka kuziunganisha aya kuwa kitabu kimoja, Muhamad aliacha maaya tu watu wamekariri bila mpangilio..
baadae zikawepo Quran kibao, Uthman (kalifa wa 3) alikusanya quran kibao na kuchagua moja, zingine akazichoma moto. Kitendo ambacho kilimuuzi swahaba aitwaye abdullah ibn Masud kwasababu hakuikubali ile Quran iliyopitishwa (Huyu Abdula ibn masud, muhamad enzi za uhai wake alishawahi kusema ndio anaijua Quran kuliko wote)

Ukiachana hivyo tu Aisha alisema umar kuna aya hakuziingiza kwenye Quran kipindi Umar anaambia watu wakusanye Aya, Zile aya Ambazo aisha alikuwa amekariri ameandika sehemu alizitupa akasingizia karatasi zimeliwa na mbuzi.

Kuna hadith nyingi zinasema Quran aliyopitisha Umar inamiss Aya kibao.

Hata iyo quran moja aliyoipitisha Umar sio hii inayotumika leo ambayo ilipitishwa mwaka 1924 tu hapo Misri(Hafs). Maana zinazookotwa na wanahistoria huko Syria zinatofautiana na Quran ya leo.

ila Quran zinazotumika sasa kwa wingi Kuna Quran ya Hafs(iliyopitishwa Misri) na Quran ya Warsh, hapa bongo mnatumia ya Hafs ila ukienda Ethiopia wanatumia ya Warsh na ukizisoma zinatofautiana (sio lahaja tu kama baadhi ya mashehe wanavyodanganya)
Izo story au Hadith umezitoal wapi kwenye kitabu gani. Sura za Quran zilikuwa nyingi pia na abada zilikuwa nyingi zikapunguzwa ndio zikapatikan sura 30 na sala 5 ,tuna hidith na Fiqih ivyo vyote tuliambiwa tuviamini ndio nguzo ya muislam
 
Hizo hadith nimezitoa kwenye collection ya hadith zenu, sasa hapo nimeongelea vitu vingi mno labda uanza kuulizia kimoja kimoja.

Yani hadi Muhamad anakufa hakukuwa na kitabu kimoja kiitwacho Quran, aliacha aya zinazagaa zagaa tu.

Umar ndio alikuja kuzikusanya hizo aya kuunda kitabuncha Quran. Na kwa bahati mbaya kuna aya kibao alisahau kuziingiza kwenye kitabu
 
Mfumo wa uzazi kwenye Quran ni uharo mtupu. Na wewe unaamini mtoto anatungwa kwenye damu iliyoganda?
Mfumo wa sayari upi? Wakati vimomdo tu Quran inasema ni makombora ambayo Allah anamtupiaga shetani.
Mdumo wa ndoa sio kitu scientific...Hata mimi ninaweza kukaa chini nikaunda mfumo wa ndoa.
Hamna damu iliyoganda kiongozi umekosea au umeskia vibaya soma vizuri au rejea vizuri (damu iliyoganda hamna kitu Kama icho ) kuhusu vimondo jiulize Kama tu alikuumba kwa tone la damu atashindwa vipi kuunda kimondo?

Mbona jambo jepesi ilo kwa muumba wetu
 
Hizo hadith nimezitoa kwenye collection ya hadith zenu...sasa hapo nimeongelea vitu vingi mno labda uanza kuulizia kimoja kimoja.

Yani hadi Muhamad anakufa hakukuwa na kitabu kimoja kiitwacho Quran...aliacha aya zinazagaa zagaa tu.
Umar ndio alikuja kuzikusanya hizo aya kuunda kitabuncha Quran.
Na kwa bahati mbaya kuna aya kibao alisahau kuziingiza kwenye kitabu
Kaka izo sio ni Riwaya za wakina bashe Hadith? Mzee akuna kitu Kama icho
 
Hakuna kitu kama kipi? Be specific nmeongelea mengi hapo, omba ushahidi upewe (ona mpaka nakuomba uniombe ushahidi wa hadith zenu)
 
Hadith alisimulia nani ? Au kutoka kwa nani ? Tuanzie Apo ushahidi najua huwezi na uwelewi
 
Hamna damu iliyoganda kiongozi umekosea au umeskia vibaya soma vizuri au rejea vizuri (damu iliyoganda hamna kitu Kama icho ) kuhusu vimondo jiulize Kama tu alikuumba kwa tone la damu atashindwa vipi kuunda kimondo ? Mbona jambo jepesi ilo kwa muumba wetu
Quran 96:2...created man from a clot of congealed blood.
Sasa kama hujui kimalkia blood clot ni lile bonge la damu iliyoganda.

Kuhusu vimondo, kazi ya vimondo ni kumponda shetani?
 
Hadith alisimulia nani ? Au kutoka kwa nani ? Tuanzie Apo ushahidi najua huwezi na uwelewi
Hadith ipi? Kuhusu nini? Maana hapo nimeongelea vitu vingi sana. Chagua kimoja nakupa ushahidi unachagua kingine nakupa ushahidi bila kupoteza muda.

Haya anza.
 
Quran 96:2...created man from a clot of congealed blood.
Sasa kama hujui kimalkia blood clot ni lile bonge la damu iliyoganda.

Kuhusu vimondo, kazi ya vimondo ni kumpinda shetani?
Nahisi tafsiri tu Apo tafuta ya kifaransa inasemaje ndugu
Quran 96:2...created man from a clot of congealed blood.
Sasa kama hujui kimalkia blood clot ni lile bonge la damu iliyoganda.

Kuhusu vimondo, kazi ya vimondo ni kumpinda shetani?
Mzee Apo ni tafsiri tu imekupiga chenga tafuta kifaransa ujifunze.
 
Back
Top Bottom