Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Tafuta wewe
“Na kwa yakini Tumemuumba mtu kutokana na asli ya udongo. Kisha Tukamjaalia awe tone ya mbegu ya uzazi katika kalio madhubuti. Kisha Tukaiumba tone kuwa ‘Alaqah (ruba, kitu chenye kusubirishwa, na tone la damu), na Tukaiumba ‘Alaqah kuwa Mudhwghah (kitu kilichotafunwa, yaani pande la nyama)…”
Qur'an 23:12-14)

Simple Quran haina mba mba mba inanyoosha maelezo fresh.
 
K

Kwenye mabucha msitutibue nyongo maana tuliwasamehe na kuwaacha na ujinga wenu nyie mlisema kuchinja ni ibada je sisi tushiriki manyama yenu mliyochinja kwà ibada zenu?
Hujalazimishwa mkuu kula, unaweza ukanyonga, ukapiga rungu ni wewe tu.
 
Kwahyo huyo ndio yesu (kwenye hiyo picha ) ?
Hilo ni vazi alilovaa Yesu, na hio picha nimetoa website ya Wakristo. Nakupa na vifungu kasome

Matthew 3:11; Mark 1:7, 6:9; John 1:27

Hizo zote zinaelezea Yesu alivaa sandal.

Pia yesu alivaa kanzu fupi ambayo ilikuwa haifiki kwenye vifundo vya mguu (kama answari suna) wale watu matajiri ndio walikuwa wanavaa nguo ndefu.

Mark 12:38

So mkuu jifunzeni Bible yenu mnavyowatukana waisilamu kila siku humu munamtukana na Yesu.
 
Oya hivi makubadhi ndio hizo sendos au hizo nguo?

Maana kila siku kwenye mijadala hii inayohusisha dini hizi mbili nimekuwa nikikutana na neno hilo frequenly na sijawahi jua lina indicate kitu gani
Makubadhi ni sandal, na Kipedo huwa wanamaanisha nguo ambazo zipo chini ya goti.
 
Quran na Biblia ni vitabu tuu.
Vinawez kupelekwa mahakamani vikathibitishwa kama vile vitabu vingine.

Ni vile watu hawajaamua Kwa sababu wanajua kuna watu vichwa panzi wanaendeshwa na mihemko.
Unaweza peleka katiba ya Tanzania kenya ikashtakiwe?
 
Hapo kwenye benki za kiislamu ni utumbo
Tanzania zipo na zinafanya vizuri even Mabenki ya Serikali kama NBC wana Sharia Account.

Hizo Nchi za Gulf na Asia ya Mbali kama Malyasia kuna mabank kibao ya kiisilamu.

kwa Sasa Bank kubwa ya Kiisilamu ni Al Rhaji Bank na Valuation yake ni 91B usd hizi ni zaidi ya trilioni 200 za kitanzania. Kwa thamani hii unahisi ni utumbo?
 
Sijaona pedo hapo. Na hilo ni vazi la watu wa huko enzi hizo. Sio vazi la kiimani.
Halafu huyo sio yesu.
Sijasema huyo ni Yesu hio ni picha imechorwa na wakristo kuonesha Vazi la Yesu.

Na pia waisilamu hawavai vipedo wanavaa kanzu hivyo hivyo ila wanaitwa vipedo ndio maana na mimi nikaleta hii hoja.

Na ni Vazi la kiimani, waisilamu wanavaa kanzu ama nguo zisizozidi ankle ili kuondoa kiburi, na ni exactly sababu hio hio yesu alivaa nguo fupi, wakati huo matajiri walivaa nguo ndefu na kujitamba, Yesu alivaa nguo fupi kama masikini wengine ili kujishusha.

Mark 12:38

Soma hapo.
 
Kwema Wakuu!

Kutokana na mjadala Fulani uliokuwa unaendelea katika jukwaa la intelligence nimeona nianzishe Uzi huu Kwa lengo la kujifunza na kuweka mjadala huru. Pia Kupima katika mizania ya kimahakama/ kuthibitisha ukweli wa masimulizi yaliyomo kwenye Biblia na kwenye Quran.

Nani mkweli na nani muongo kati ya Biblia na Quran?

Sipo hapa kumfanya yeyote awe sijui Mkristo au Muislam au Myahudi Bali nipo kujadili Nani mkweli Kati ya Biblia na Quran katika mizani ya kimahakama.
Majaji mtakuwa ninyi wasomaji;

Mahakamani sio kila kesi inayopelekwa mahakamani ni kesi ya uvunjifu wa Sheria, Hasha! Bali yapo mambo huweza kupelekwa mahakamani Kama kutaka uthibitisho, ukweli, mbali na haki.

Hivyo hata Biblia na Quran vinaweza pelekwa mahakamani na ukweli ukajulikana tuu. Sema Kwa vile mambo haya yanagusa Imani za watu Jambo hilo linaweza kuwa gumu.

Zifuatazo ni hoja kwa nini Biblia ni kitabu cha kweli na kinapaswa kuwa Rejea kuu zaidi ya Quran. Kwa sababu;

1. Biblia Kwa sehemu kubwa haina maneno ya Hearsay wakati Quran Kwa 90% maneno yake ni Hearsay.

Kimahakama maneno ya hearsay hayasikilizwi na hayawezi kuchukuliwa Kama ushahidi mzito, au kama rejea muhimu.

Hoja hii ndio hoja nzito kuliko zote zinazoifanya Biblia kiwe kitabu kikuu chakweli kinachoiacha Quran Kwa mbali Sana.

i. Waandishi wengi wa Biblia wanaandika matukio yaliyokuwa yanawatokea wao wenyewe. Mfano Musa anasimulia jinsi anavyowatoa Waisrael Misri kwenda Kanaani, Daudi anasimulia hekaheka zake, Suleiman, Daniel, yona n.k.

Wakati Msimuliaji wa Quran yeye anasimulia habari ambazo yeye hakuwepo.

Mfano Muhammad, anasimulia habari za Musa ambaye hayupo na ni miaka zaidi ya elfu iliyopita.
Muhammad hajawahi kumuona Musa wala Daudi, wala Suleiman wala Yesu.

Kisa cha Yesu ndani ya Biblia tunaweza kukikubali kwa sababu kiliandikwa na baadhi ya wanafunzi wake akiwepo Marko, mathayo na yohana. Hivyo hata mahakamani tunaweza watumia watu walioshuhudia matukio ya Yesu aliyoyafanya
Ila tunaweza kukitoa kitabu cha Luka Kwa sababu yeye alisimuliwa.

Hata hivyo ulikuwa ni wakati uleule hivyo naye anaweza akasimulia kitu kikaeleweka.

Tofauti na Quran ya Muhammad ambayo inasimulia tukio ambalo ni miaka zaidi ya 500 tangu litokee na anayeandika hajawahi mshuhudia huyo Yesu/Issa.

2. Waandishi WA Biblia walikuwepo Maeneo tajwa kwenye Biblia.
Lakini Quran aliyeandika hajawahi kufika Maeneo anayoyasimulia.
Yaani Muhammad anasimulia habari za Israel na waisrael ambapo hajawahi kupafika, hajui pakoje, hajui watu wake wakoje.

Muhammad anasimulia habari za Jerusalem ya Suleiman alafu hajawahi kufika Jerusalem na hajawahi kumuona Suleiman.
Wakati suleima mwenyewe kaandika habari zake mwenyewe. Kumbuka kutoka Suleiman mpaka Muhammad ni zaidi ya miaka 1000.

Quran kisheria hakiwezi kutumika kama rejea Kwa maana msimuliaji anasimulia habari za eneo ambalo hajawahi kufika wala kushuhudia.

Wala wakati matukio yanatokea hakuwepo.

3. Biblia ni muunganiko wa vitabu vingi vilivyoshushwa Kwa manabii tofauti tofauti Kwa nyakati tofauti tofauti wakati Quran licha ya kuwa na vitabu vingi lakini vitabu vyote ameshishiwa Muhammad.
Embu shangaa, kisa cha Adamu kashushiwa Muhammad, kisa cha Nuhu, kashushiwa Muhammad, kisa cha Ibrahimu kashushiwa Muhammad, kisa cha yakobo na yusufu kashushiwa Muhammad, kisa cha waisrael kashushiwa Muhammad, mpaka kisa cha Yesu.
Na visa vyote hakuwepo[emoji3][emoji3].

Upande wa Biblia
Ila wenzake Kisa cha Musa aliandika mwenyewe Musa, kisa cha Ayubu aliandika mwenyewe Ayubu, kisa cha Daudi aliandika Daudi mwenyewe, Kisa cha yona kaandika Yoña mwenyewe, Kisa cha Yesu waliandika watu wake wakaribu(wanafunzi waliomshuhudia)
Kisa cha Daniel kaandika Daniel mwenyewe.
Vitabu hivi ni ushahidi wa wazi Kwa sababu wanaosimulia ni wahusika wenyewe. Ni Kama vile kitabu cha Mzee wetu mwinyi au Mzee wetu MENGI.

Muhammad kashushiwa vitabu ambavyo anasimulia hadithi za kusimuliwa (Hearsay) kitu pekee ambacho Quran inaweza kuwa Fact na ikachukuliwa Kama ukweli ni masimulizi ya kile alichokifanya Muhammad kwani alikuwepo na anasimulia tukio linaloendelea au alilolifanya.

4. Biblia imeandikwa na Wayahudi Kwa kiasi kikubwa na wanasimulia habari zao wenyewe. Lakini Quran imeandikwa na Waarabu Kwa lugha ya kiarabu lakini inasimulia habari za wasiowaarabu. Inasimulia habari za watu wengine ambao hawakuwaona.
Yaani Mimi Mpare wa zama hizi nisimulie mambo ya Wasukuma ya kale ambayo sikuwepo.
Hivi ninyi mtanisikiliza Mimi mpare ninayesimulia habari za kale za wasukuma au mtasikiliza wasukuma wenyewe?

Muhammad muarabu aliyezaliwa Makka na akafia Madina hajawahi kufika Jerusalem, hajui hata Rama, Bethlehemu alipozaliwa Kristo alafu yeye anakuambia alizaliwa kwenye mtende alafu kuna mtu myahudi aliyekuwa rafiki wa Yesu anakuambia Yesu rafiki yake kazaliwa kwenye Hori la ng'ombe. Huyo Rafiki wa Yesu Yohana, ni myahudi mwenzake Yesu, anapajua Bethlehem, anapajua Jerusalem ndani nje. Je utamsikiliza Nani?

Haya Quran na hadithi za kiyahudi Kama anavyosimulia Mtume na maswahaba wake wanakuambia Suleiman alikuwa anafuga Majini. Kumbuka huyo Muhammad anasimulia habari za watu wa taifa jingine ambao wanatofautiana lugha na tamaduni, hajawahi kufika Jerusalem mji WA Daudi na mwanaye Suleiman, hajui kiyahudi, haabudu dini ya Wayahudi anayoabudu Suleiman.
Anakuambia Suleiman alikuwa anafuga majini.
Lakini Suleiman mwenyewe katika hadithi zake au hadithi za mwanaye Yerobohamu hajawahi kusema kitu Kama hicho. Pia utamaduni wao hauruhusu kufuga madudu hayo Majini.
Wewe utamuamini huyo Muhammad au utamuamini Suleiman mwenyewe aliyeandika katika Vitabu vyake vilivyopo katika Biblia?
Jibu utabaki nalo.

5 Mungu wa kwenye Biblia ni Jehova/Yahwe ambaye ni Mungu wa waisrael wanaosimuliwa ndani ya kitabu hicho. Lakini Quran mungu wake ni Allah mungu wa waarabu wa kabila la wakurdi wa zamani lakini chaajabu huyo Allah ati huyo Allah kunasehemu anamuagiza kina Musa (myahudi na Dini yake uyahudi) wakati kimsingi Musa Mungu wake ni Yahweh mpaka anakufa.
Hata hivi leo Mungu WA Wayahudi hajabadilika ni Yahwe na mpaka hivi Mungu WA waarabu hajabadilika ni yuleyule Allah.
Lakini Quran inapotosha kuwa Mungu anayewaagiza Wayahudi ni Allah hii ni kutokana muandishi wa Quran alikuwa muarabu

Wahusika kuanzia Kwa Yakobo mpaka Kwa Yesu ni Wayahudi na Dini Yao ni uyahudi na Mungu wao ni Yahweh.
Lakini Quran imepuyanga katika eneo Hilo.

6. Biblia imetangulia miaka mingi kabla ya Quran. Hivyo Kwa kuwahi imeshuhudia na inaweza kusimulia matukio yaliyotokea zamani zaidi kuliko Quran sio ajabu Quran yenyewe ndio ime-copy baadhi ya visa ingawaje inajimilikisha.
Biblia inaweza kujitegemea bila ya uwepo wa Quran kwani yenyewe ndio Baba/chanzo cha Quran. Lakini Quran kama ukitoa visa ilivyovi-copy kutoka kwenye Biblia na maandiko yote ya kiyahudi basi Quran inabaki bila ya nguvu yoyote Ile. Quran ambacho ingefanya ni Kutoa Nondo kuanzia wakati wa Muhammad kuja mbele na sio kurudia hadithi zilizokwisha kuwepo.

Mbona Injili haujarudia visa,

Quran haiwezi kuchukuliwa Kama rejea kuu kuzidi Biblia Kwa sababu nilizozitaja hapo juu.

Majaji mjadili Kwa hoja.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
"Embu shangaa, kisa cha Adamu kashushiwa Muhammad, kisa cha Nuhu, kashushiwa Muhammad, kisa cha Ibrahimu kashushiwa Muhammad, kisa cha yakobo na yusufu kashushiwa Muhammad, kisa cha waisrael kashushiwa Muhammad, mpaka kisa cha Yesu.
Na visa vyote hakuwepo[emoji3][emoji3]."

Mwisho wa kunukuu

Unachokitafuta kipo[emoji1787]
 
Sijasema huyo ni Yesu hio ni picha imechorwa na wakristo kuonesha Vazi la Yesu.

Na pia waisilamu hawavai vipedo wanavaa kanzu hivyo hivyo ila wanaitwa vipedo ndio maana na mimi nikaleta hii hoja.

Na ni Vazi la kiimani, waisilamu wanavaa kanzu ama nguo zisizozidi ankle ili kuondoa kiburi, na ni exactly sababu hio hio yesu alivaa nguo fupi, wakati huo matajiri walivaa nguo ndefu na kujitamba, Yesu alivaa nguo fupi kama masikini wengine ili kujishusha.

Mark 12:38

Soma hapo.
Achana nao hao . Wao wanajua miziki na mafuta na mademu kipindi Icho nilikuwa naenda mafundisho kufata mademu ,mafundisho ya chuki zidi ya uislam ,mara chakula mkiletewa siku ya Idd msipokee ,mara perfume za kiislam msijapake zina majini ulikuwa ujinga na kuwekana sumu
 
Biblia ni masimulizi ya wahusika waliokuwepo kwenye tukio au hata kama hawakuwepo basi waliishi zama za hayo matukio..sio mtu anakusimulia habari za yesu miaka 600 imeshapita.
Paulo ana credibility kuliko Muhamad kwasababu
1.ameishi zama hizo hizo za yesu(sio miaka 5 baadae).
2.Amekutana na watu waliokuwa wanafunzi wa Yesu kina petro na wengine
Paulo ni mfano mmoja ila ni karibia vitabu vyote iko hivyo.
Wakristo mmenyimwa Elimu ya uhakiki wa Habari. Mnasema mna Injili ya Luka, Marko, Yohana na Matayo.

Naomba uniambie hizi Injili nne zimeandikwa na nani ? Je mnaweza kuthibitisha ya kuwa ni kweli hao wanaonasibishwa na hizo Injili ndiyo wameziandika wao ? Kisha uniambie Luka au Marko walimuona Yesu ? Je waliishi katika zama za Yesu au walau zama za Wanafunzi wa Yesu ? Habari za Yesu walizipata wapi ? Je wana Chain ya masimulizi inayofika mpaka kwa Yesu ? Kama hawana vipi mnayaamini na kuyafanyia kazi maandiko yao ? Akili mmepewa Bure na mtaulizwa kwanini hamkuzitumia akili zenu vizuri.

Ukitaka kujua maana ya Ujinga waangalie Wakristo na Dini yao.
 
Kwema Wakuu!

Kutokana na mjadala Fulani uliokuwa unaendelea katika jukwaa la intelligence nimeona nianzishe Uzi huu Kwa lengo la kujifunza na kuweka mjadala huru. Pia Kupima katika mizania ya kimahakama/ kuthibitisha ukweli wa masimulizi yaliyomo kwenye Biblia na kwenye Quran.

Nani mkweli na nani muongo kati ya Biblia na Quran?

Sipo hapa kumfanya yeyote awe sijui Mkristo au Muislam au Myahudi Bali nipo kujadili Nani mkweli Kati ya Biblia na Quran katika mizani ya kimahakama.
Majaji mtakuwa ninyi wasomaji;

Mahakamani sio kila kesi inayopelekwa mahakamani ni kesi ya uvunjifu wa Sheria, Hasha! Bali yapo mambo huweza kupelekwa mahakamani Kama kutaka uthibitisho, ukweli, mbali na haki.

Hivyo hata Biblia na Quran vinaweza pelekwa mahakamani na ukweli ukajulikana tuu. Sema Kwa vile mambo haya yanagusa Imani za watu Jambo hilo linaweza kuwa gumu.

Zifuatazo ni hoja kwa nini Biblia ni kitabu cha kweli na kinapaswa kuwa Rejea kuu zaidi ya Quran. Kwa sababu;

1. Biblia Kwa sehemu kubwa haina maneno ya Hearsay wakati Quran Kwa 90% maneno yake ni Hearsay.

Kimahakama maneno ya hearsay hayasikilizwi na hayawezi kuchukuliwa Kama ushahidi mzito, au kama rejea muhimu.

Hoja hii ndio hoja nzito kuliko zote zinazoifanya Biblia kiwe kitabu kikuu chakweli kinachoiacha Quran Kwa mbali Sana.

i. Waandishi wengi wa Biblia wanaandika matukio yaliyokuwa yanawatokea wao wenyewe. Mfano Musa anasimulia jinsi anavyowatoa Waisrael Misri kwenda Kanaani, Daudi anasimulia hekaheka zake, Suleiman, Daniel, yona n.k.

Wakati Msimuliaji wa Quran yeye anasimulia habari ambazo yeye hakuwepo.

Mfano Muhammad, anasimulia habari za Musa ambaye hayupo na ni miaka zaidi ya elfu iliyopita.
Muhammad hajawahi kumuona Musa wala Daudi, wala Suleiman wala Yesu.

Kisa cha Yesu ndani ya Biblia tunaweza kukikubali kwa sababu kiliandikwa na baadhi ya wanafunzi wake akiwepo Marko, mathayo na yohana. Hivyo hata mahakamani tunaweza watumia watu walioshuhudia matukio ya Yesu aliyoyafanya
Ila tunaweza kukitoa kitabu cha Luka Kwa sababu yeye alisimuliwa.

Hata hivyo ulikuwa ni wakati uleule hivyo naye anaweza akasimulia kitu kikaeleweka.

Tofauti na Quran ya Muhammad ambayo inasimulia tukio ambalo ni miaka zaidi ya 500 tangu litokee na anayeandika hajawahi mshuhudia huyo Yesu/Issa.

2. Waandishi WA Biblia walikuwepo Maeneo tajwa kwenye Biblia.
Lakini Quran aliyeandika hajawahi kufika Maeneo anayoyasimulia.
Yaani Muhammad anasimulia habari za Israel na waisrael ambapo hajawahi kupafika, hajui pakoje, hajui watu wake wakoje.

Muhammad anasimulia habari za Jerusalem ya Suleiman alafu hajawahi kufika Jerusalem na hajawahi kumuona Suleiman.
Wakati suleima mwenyewe kaandika habari zake mwenyewe. Kumbuka kutoka Suleiman mpaka Muhammad ni zaidi ya miaka 1000.

Quran kisheria hakiwezi kutumika kama rejea Kwa maana msimuliaji anasimulia habari za eneo ambalo hajawahi kufika wala kushuhudia.

Wala wakati matukio yanatokea hakuwepo.

3. Biblia ni muunganiko wa vitabu vingi vilivyoshushwa Kwa manabii tofauti tofauti Kwa nyakati tofauti tofauti wakati Quran licha ya kuwa na vitabu vingi lakini vitabu vyote ameshishiwa Muhammad.
Embu shangaa, kisa cha Adamu kashushiwa Muhammad, kisa cha Nuhu, kashushiwa Muhammad, kisa cha Ibrahimu kashushiwa Muhammad, kisa cha yakobo na yusufu kashushiwa Muhammad, kisa cha waisrael kashushiwa Muhammad, mpaka kisa cha Yesu.
Na visa vyote hakuwepo[emoji3][emoji3].

Upande wa Biblia
Ila wenzake Kisa cha Musa aliandika mwenyewe Musa, kisa cha Ayubu aliandika mwenyewe Ayubu, kisa cha Daudi aliandika Daudi mwenyewe, Kisa cha yona kaandika Yoña mwenyewe, Kisa cha Yesu waliandika watu wake wakaribu(wanafunzi waliomshuhudia)
Kisa cha Daniel kaandika Daniel mwenyewe.
Vitabu hivi ni ushahidi wa wazi Kwa sababu wanaosimulia ni wahusika wenyewe. Ni Kama vile kitabu cha Mzee wetu mwinyi au Mzee wetu MENGI.

Muhammad kashushiwa vitabu ambavyo anasimulia hadithi za kusimuliwa (Hearsay) kitu pekee ambacho Quran inaweza kuwa Fact na ikachukuliwa Kama ukweli ni masimulizi ya kile alichokifanya Muhammad kwani alikuwepo na anasimulia tukio linaloendelea au alilolifanya.

4. Biblia imeandikwa na Wayahudi Kwa kiasi kikubwa na wanasimulia habari zao wenyewe. Lakini Quran imeandikwa na Waarabu Kwa lugha ya kiarabu lakini inasimulia habari za wasiowaarabu. Inasimulia habari za watu wengine ambao hawakuwaona.
Yaani Mimi Mpare wa zama hizi nisimulie mambo ya Wasukuma ya kale ambayo sikuwepo.
Hivi ninyi mtanisikiliza Mimi mpare ninayesimulia habari za kale za wasukuma au mtasikiliza wasukuma wenyewe?

Muhammad muarabu aliyezaliwa Makka na akafia Madina hajawahi kufika Jerusalem, hajui hata Rama, Bethlehemu alipozaliwa Kristo alafu yeye anakuambia alizaliwa kwenye mtende alafu kuna mtu myahudi aliyekuwa rafiki wa Yesu anakuambia Yesu rafiki yake kazaliwa kwenye Hori la ng'ombe. Huyo Rafiki wa Yesu Yohana, ni myahudi mwenzake Yesu, anapajua Bethlehem, anapajua Jerusalem ndani nje. Je utamsikiliza Nani?

Haya Quran na hadithi za kiyahudi Kama anavyosimulia Mtume na maswahaba wake wanakuambia Suleiman alikuwa anafuga Majini. Kumbuka huyo Muhammad anasimulia habari za watu wa taifa jingine ambao wanatofautiana lugha na tamaduni, hajawahi kufika Jerusalem mji WA Daudi na mwanaye Suleiman, hajui kiyahudi, haabudu dini ya Wayahudi anayoabudu Suleiman.
Anakuambia Suleiman alikuwa anafuga majini.
Lakini Suleiman mwenyewe katika hadithi zake au hadithi za mwanaye Yerobohamu hajawahi kusema kitu Kama hicho. Pia utamaduni wao hauruhusu kufuga madudu hayo Majini.
Wewe utamuamini huyo Muhammad au utamuamini Suleiman mwenyewe aliyeandika katika Vitabu vyake vilivyopo katika Biblia?
Jibu utabaki nalo.

5 Mungu wa kwenye Biblia ni Jehova/Yahwe ambaye ni Mungu wa waisrael wanaosimuliwa ndani ya kitabu hicho. Lakini Quran mungu wake ni Allah mungu wa waarabu wa kabila la wakurdi wa zamani lakini chaajabu huyo Allah ati huyo Allah kunasehemu anamuagiza kina Musa (myahudi na Dini yake uyahudi) wakati kimsingi Musa Mungu wake ni Yahweh mpaka anakufa.
Hata hivi leo Mungu WA Wayahudi hajabadilika ni Yahwe na mpaka hivi Mungu WA waarabu hajabadilika ni yuleyule Allah.
Lakini Quran inapotosha kuwa Mungu anayewaagiza Wayahudi ni Allah hii ni kutokana muandishi wa Quran alikuwa muarabu

Wahusika kuanzia Kwa Yakobo mpaka Kwa Yesu ni Wayahudi na Dini Yao ni uyahudi na Mungu wao ni Yahweh.
Lakini Quran imepuyanga katika eneo Hilo.

6. Biblia imetangulia miaka mingi kabla ya Quran. Hivyo Kwa kuwahi imeshuhudia na inaweza kusimulia matukio yaliyotokea zamani zaidi kuliko Quran sio ajabu Quran yenyewe ndio ime-copy baadhi ya visa ingawaje inajimilikisha.
Biblia inaweza kujitegemea bila ya uwepo wa Quran kwani yenyewe ndio Baba/chanzo cha Quran. Lakini Quran kama ukitoa visa ilivyovi-copy kutoka kwenye Biblia na maandiko yote ya kiyahudi basi Quran inabaki bila ya nguvu yoyote Ile. Quran ambacho ingefanya ni Kutoa Nondo kuanzia wakati wa Muhammad kuja mbele na sio kurudia hadithi zilizokwisha kuwepo.

Mbona Injili haujarudia visa,

Quran haiwezi kuchukuliwa Kama rejea kuu kuzidi Biblia Kwa sababu nilizozitaja hapo juu.

Majaji mjadili Kwa hoja.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam

Yote tisa, Kumi ni hadithi ya kufa, kufufuka Kwa Yesu na kupaa Mbinguni
Hii hapa ndugu zangu waliingizwa Chaka.

Yaani na jamaa akawaambia kabisa kuwa Yesu hakufa wala kupaa.

Kumbuka yeye hakuwepo kabisa Wakati huo, ila Baadaye alivyokuja akasema kuwa Yesu hakupaa wala kufa.
 
Tatizo Lao hawatanijibu Kwa hoja.
Wapo mahakamani badala ya kujibu Kwa hoja wanaleta viroja.
Injili nne za kina Luka, Marko, Matayo na Yohana. Zimeandikwa na nani? Thibitisha kama hao wanaonasibishwa nazo ndiyo waandishi?

Marko alimuona Yesu? Aliishi zama za Yesu? Aliwaona wanafunzi wa Yesu? Hizi habari alizipata wapi?
 
Yote tisa,
Kumi ni hadithi ya kufa,kufufuka Kwa Yesu na kupaa Mbinguni
Hii hapa ndugu zangu waliingizwa Chaka..
Yaani na jamaa akawaambia kabisa kuwa Yesu hakufa wala kupaa.

Kumbuka yeye hakuwepo kabisa Wakati huo,ila
Baadaye alivyokuja akasema kuwa Yesu hakupaa wala kufa.
Mnaweza kunithibitishia ya kuwa Yesu alisulubiwa au Yesu alikufa Kisha akafufuka ?
 
Hapa hatujadili kama Quran au biblia kipi ni kitabu cha Mungu, hilo ni subjective huwezi kuprove au kidisprove ni jambo la kiimani..na huenda hata vyote visiwe vitabu vya Mungu.
ishu hapa ni je Quran au biblia ipi inaaminika kihistoria?
ili uiamini Quran inabidi kwanza umuamini Muhamad (maana kila kitu kilitoka kwa Muhamad akisema kimetoka kwa jibril anayesema kinatoka kwa Allah)
Ukishamuamini Muhamad inakubidi sasa ndio uamini kila kitu kwenye Quran blindly maana ni masimulizi ambayo hata Muhamad msimuliaji hakuwepo.

Biblia ni masimulizi ya wahusika waliokuwepo kwenye tukio au hata kama hawakuwepo basi waliishi zama za hayo matukio..sio mtu anakusimulia habari za yesu miaka 600 imeshapita.
Paulo ana credibility kuliko Muhamad kwasababu
1.ameishi zama hizo hizo za yesu(sio miaka 5 baadae).
2.Amekutana na watu waliokuwa wanafunzi wa Yesu kina petro na wengine
Paulo ni mfano mmoja ila ni karibia vitabu vyote iko hivyo.
Dah we jamaa mbona unang'ang'ania hoja ya kindezi sana yaani mtoa mada kawaingiza chaka na nyinyi mnaingia tu kichwakichwa

Hivi hamuoni kwamba biblia inasimulia pia matukio ya zamani (kabla ya msimuliaji), ya sasa (wakati wa msimuliaji) na baadaye (baada ya msimuliaji)?

Hebu niambieni habari za mfalme Daudi, Mfalme Suleiman, mtaalamu Nuhu, mtaalamu Ayubu, Kamanda Mussa, Adam mwenyewe baba la mababa na wengi wengineo... je hazipo kwenye biblia?

Kama zipo je ni kwanini kwenye Quran zionekane hazifai maana Mtume Muhammad hakuwepo? Utaona kabisa kuwa ni mpungufu wa akili pekee atakayedumu na hoja kama hiyo

Au tuangalie kitabu cha mwanzo kinavyofafanua mambo ya awali kabisa huko ambapo hata nani hakuwepo zaidi ya Mola mwenyewe sasa ajabu iko wapi mambo hayo kuyakuta kwenye Quran?

Mtu kakazana Quran imekopi Quran imekopi! Sasa wewe hukutaka? Basi jinyee kama imekuuma kufanana baadhi ya mambo kwenye biblia na kwenye msahafu. Mbona iko wazi kabisa "Quran imekuja kuswadikisha yaliyopita kabla ya Mtume Muhammad..."

Na huo ndio utaratibu tangu enzi ulivyokuwa yaani akitumwa mtu kwa watu wake anawakumbushia ya wenzake waliomtangulia kutumwa kwa watu wao kabla yake kisha anawapa na mengine. Sasa sijui wenzetu nyinyi mnateseka mkiwa wapi!!!?

Mjinga mwingine kang'ang'ania kusema "Quran haieleweki Quran haieleweki" huku nyumbani kwake ana mke na watoto kabisa na hata sasahivi ukitaka mgombane ni umwambie amuache mkewe huyo amuoe mama yake! Sasa Quran haieleweki vipi wakati imekuelekeza uoe lakini usimuoe mama yako na ukatekeleza!!!?

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kuna mkristo anatupia watu majini??
Yes , nilikosa access exim benki ila alikuja mshombi mmoja anaitwa samira akapewa hiyo access tulienda interview waliochaguliwa ni muslims wote Citizen B
Pole kwa hilo la Bank na kubaguliwa kisa dini yako na kuhusu interview Pole as well ingawa ni subjective inaweza kua sababu ya dini au ulishindwa interview na wewe sio wa kwanza kufanyiwa hivyo na hautakua wa mwisho.

Sikua nakujibu kufanya ligi kuhusu dini gani mbaya au nzuri kila moja ina mapungufu yake.

Mfano hizo case studies zako mbili hapo for years kuna arguments kua Wachaga ni wakabila and mostly ni Christians but we chose to say Chaggas ni wabaguzi na Wakristo wana ubaguzi. Mfano, a Muslim person anaweza kutana na same fate katika taasisi za Umma au Interview he/she can argue Wachaga/Wakristo ni wabaguzi.

My point is tusibebe chuki Mioyoni mwetu kwa vitu ambavyo mostly ni hulka za watu na sio a total representation ya entire group and most importantly vitu hivyo ni applicable to both sides.

Turudi kwenye issue ya Majini, jini yoyote anaempanda mtu kichwani ni pepo mchafu. Ukienda Kanda ya Ziwa/Nyanda za Juu Kusini ambapo wengi ni Christians kuna watu wamerogwa na kua vichaa au mambo yao kuharibika kwa sababu mbalimbali aidha iwe mali, wizi, kudhulumiana au kuchukuliana wake. Kwa Pwani ambapo wengi ni Muslims nako wanarogana kwa similar cases. Ukienda kwa Sheikh utaambiwa umetupiwa jini au umerogwa na same Ukienda kwa Mchungaji utaambiwa ni pepo mchafu/jini au umerogwa na kufanyiwa maombi. All these things ni same story na watendaji tofauti ila we chose to say ni Only Muslims wanatumiana mapepo mabaya na majini.

Asante.
 
FAITH IN THE LAW - HARVARD LAW SCHOOL

, “The common law of England was developed over centuries by judges, many of whom were formally trained in the Christian faith, and English canon law drew heavily from biblical law.

Biblical law was important, among other things, in shaping English inheritance laws, in the creation of cities of refuge in criminal cases, and in the practice of debt cancellation.

In addition to this historical influence, biblical law remains relevant to pressing societal challenges today,” Okediji continues.

“Modern anti-slavery and environmental stewardship campaigns, for example, draw significant moral power from biblical texts.

The relevance and lasting purchase of biblical law are evident in many of our social practices and political commitments, such as the structure of the working week, equality under the law, the idea of rest (Sabbath), and constraints on political authority.” She notes that “law and theology are both concerned with questions of guilt, innocence, mercy, forgiveness, and judgment.

To study biblical law is to study materials that illuminate the context and texture of our cultural and legal DNA, and that contribute to a deeper appreciation of how law develops over extended periods of time.”

While Christianity is the largest religion in the United States, the nation also has the second-largest Jewish population in the world (behind only Israel). Says Feldman: “Jewish law is one of the oldest, most significant, and most complex systems of law in the world. It is both religious and general, theoretical and practical.”

READ MORE source : Faith in the Law - Harvard Law School
 
Kafanye kazi huu muda unaopoteza na kujiona muandishi uchwara utaujutia uzeeni!!!!View attachment 2403206

Samora Machel : Ukoloni wa kiFikra

Katika hotuba yake motomoto kuhusu kutawaliwa, alihoji vipi mwafrika aliyetawaliwa na mfaransa akajiona bora kuliko mwingine kwa kuwa Ufaransa wana tamaduni bora zaidi ya uandishi wa mistari ya mashairi ya mapendo kwa umahiri wa kisomi.

Samoro Machel anazidi kuwaza hata wale waliotawaliwa na muingereza wajiona wao ni bora kwa vile Uingereza ilitawala nchi nyingi zaidi na inasemekana ni wazungu 'wastaarabu' zaidi.

Samora Machel anatuasa ingawa Portugal ni nchi masikini zaidi ktk ulaya lakini ni nchi iliyoendekeza ukoloni kama Ufaransa, Uingereza na Ureno / Portugal na sifa za nchi zote hizo za ulaya ni kuwa ziliendekeza ukoloni.

Samora Machel anapigia mstari neno ukoloni na kuwa ukoloni ni unyama hauna utu hivyo kujisifia wewe ni zao la ukoloni huu au ule wenye hadhi ya juu ni kukosa fikra sahihi.

Hivyo maneno ya Samora Machel anasisitiza tuamke na kuwa mapambano lazima yaendelee (2022) dhidi ya ukabila, ujinga, maradhi, njaa, ushirikina na mawazo potofu ya kukumbatia ukoloni wa aina yoyote.

Anamalizia kuwa ukoloni wowote hauna usafi wa kujivunia kwani ni Ukoloni unaogandamiza jamii zingine na kuzigawanisha.
 
Back
Top Bottom