Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Mtume Muhammad alikuwa ni mtu mwerevu sana.

Mwenye kumbukumbu nzuri na uwezo wa kusimulia hadithi alizozijua kutokana na kusafiri safiri kwake miji tofauti kibiashara.

Akiwa safarini Alisikia hadithi nyingi za dini zilizokuwepo kipindi hiko kutoka kwa Mayahudi (walioishi Arabuni wakati huo) na za Kikristo (kutoka kwa safari zake za kwenda Syria ki biashara) na akaunganisha hadithi alizozisikia kutoka kwenye dini tofauti hadi kwenye dini mpya aliyoianzisha ya kiislamu yenye hoja ya Mungu mmoja na yeye mwenyewe kama Mtume.

(Ni kama story za utani za kumsema nyerere enzi zile akiona kitu kwenye tv anakuja kusema ameoteshwa kwamba Marekani kimetokea hiki.. sababu watu wengine hawana tv wanaamini kaoteshwa kweli)

Alifanikiwa kuitumia dini hii mpya kufikia malengo mawili, moja la muda mfupi na moja la muda mrefu.

Malengo yake ya muda mfupi yalikuwa ni ya kumfanya yeye kuwa Chief Man in Arabia jambo ambalo alifanikiwa kulipata hadi wakati wa kifo chake na, baada ya kifo chake, warithi wake walifanikiwa kufikia lengo lake la muda mrefu la kuwafanya waarabu waitawale dunia kwa kutumia advantage waliyonayo ya uislam na lugha ya kiarabu isambae dunia nzima na waarabu wawe watu muhimu kwenye jukwaa la kimataifa

Ukisoma vizuri quran story zilizopo kwenye quran zinazungumzia mazingira ambayo Mohammad aliyajua tu (kwa kufika ama kusikia story zake). Mazingira ya mbali hayapo kwenye quran Maana alikuwa hajawai kufika na hakuwai sikia story zake. Maana ni mbali na uarabuni

Mfano matunda yaliyotajwa , wanyama waliotajwa kwenye quran, ndege waliotajwa kwenye quran, vyakula na mengineyo ni vya mazingira middle east tu ambayo Mohammad aliyaona ama aliyasikia kwa watu jirani zake

The Qur’an really speaks only of the animals found in the Arabian lands (midle east) , and only the plants and fruits that grow in that geography.”

Also Foods known in the ( midle east) Arabian lands such as figs, grapes, pomegranates, dates, olives, honey, onions, garlic, gherkin, etc. have also been used in various Qur’anic verses and examples for various topics…

Jiulize Why do animal, and fruit names not belonging to the arab land doesn’t indicated in the Qur’an?

Utapata jibu Prophet wrote these names which he saw in places he went and he heard story from other merchants .

Inshort prophet Mohammad had a dream

Nothing was going to stop him from making that dream come true…

He came up with Islam to gain political power and to unite his people under the rule of one goverment

Ukijiuliza swali hili

Why does the Quran not mention prophets in America, Australia, Asia, Northern Europe, China, Japan, or South Africa?

Jibu litakalokujia kichwani haraka haraka ni hili

Because the writers of the Qur'an would not have been aware if these lands. Islamic religion is invented in one small area of the world (arabs land) which is why quran, hadith, & sunnah text only mentions things happen in that area only
Yesu na mtume wote hawakufanikiwa sehemu zote za dunia kutokana na hali iliyopo just imagine miaka hii ya 2022 kuna baadhi ya maeneo km mbande,chanika,bagamoyo kuna mipori,mistu ya kutisha vp wkt huo,kwa nchi km Australia,na izo ambzo umeztaja hpo juu midle east ndio kitovu cha kila kitu kwa ulimwengu wote.
 
Una hoja tena nzito

Halafu Biblia ni kitabu chenye historia hata ya Ulimwengu wote

Mtu Kama Sir Isack Newton alichambua kitabu Cha Daniel vizuri Sana

Kupitia Biblia unakutana na Unabii wa Tawala za Alexander mkuu, vitu Kama hivi huwezi kukuta kwenye Quran

Kitu kingine ambacho nakipenda kwenye Biblia ,mfano kitabu Cha ufunuo kimetabiri kabisa Super power atakuwa U.S.A,

Miaka ya 80-90 ,watu walikuwa hawaamini Biblia inapotabiri mnyama wa 2 ambaye Ni U.S.A kuwa atakuwa Super power ,wakiangalia USOVIET USSR ilivyokuwa na nguvu .

Lakini Leo Nani atabisha U.S.A Sio Super power?

USSR ilisambaratishwa

Biblia ni kitabu kitamu Sana , Nimesoma Quran Sana tu ni kitabu hakieleweki, kinajichanganya, hakina Tumain lolote kwa mwanadamu

Nina shuhuda Zaidi ya 10000 za Biblia Ni kitabu Cha Mungu wakweli.

Aisee iacheni Biblia tu, Ni vile matapeli Kama mwamposa ,n.k wanaitumia vibaya kutapelia,

Lakini Biblia ina maajabu mengi sana
Cheki ulivyo mnafik unaijua Quran wewe usingeongea utumbo wako hapo juu soma vzuri biblia achana na Quran kafiri wewe,fata procedure jinsi Quran ilivyoandikwa tofaut na Bible ilivyoweza kugeuzwa na kufanyiwa editing kweny baadhi ya Paragraph zake.
 
Kwanini Quran sio kitabu cha Hearsay?
Kwani Muhamad alikuwepo kipindi cha Yesu?
Mbona anaongelea habari za Yesu?
Sisi ktk proofings hatuangalii Hoja dhaifa km za mleta mada...maandishi yote tunayosoma ni Hearsay iwe historia,kemia au laws mpk somo letu la kiswahili Lina Hearsays....

Quran ,Biblia nk. Vyote vina hearsay...Hoja hapa Ni je upi mfumo sahihi wa maisha ulioelezewa na hivyo vitabu viwili?

Jibu Ni moja TU uislamu Ni mfumo wa maisha uliotimia kuliko ukristo...
 
SASA BASI, kama kweli Injili ilitiwa MKONO, naomba mnijibu maswali yafuatayo.

1. Nileteeni Injili ambayo haijatiwa mkono iliyo teremshwa kabla ya Quran.

2. Nileteeni Taurat ambayo haijatiwa mkono iliyo teremshwa kabla ya Quran. Kumbuka mimi sina muda na aya za Quran kwasababu Quran sio BIBLIA - Mkusanyiko wa vitabu. Ipo wapi Taurat iliyo teremshwa kabla ya Quran na inayo thibitishwa na Injili?

3. Nileteeni Zaburi ambayo haijatiwa mkono iliyo teremshwa kabla ya Quran. Kumbuka mimi sina muda na aya za Quran kwasababu Quran sio BIBLIA - Mkusanyiko wa vitabu. Ipo wapi Zaburi iliyo teremshwa kabla ya Quran na inayo thibitishwa na Injili?
Mbona ueleweki sasa
 
Hapa hatubishanii Ukristo wala uislam tunaangazia vitabu hivyo viwili ambavyo navitumia vyote.
Hata waislam wakubwa mahiri wote wanatumia Biblia Kama rejea kuu.
Hatujadili dini Mkuu
Wewe jamaa muongo Sana, sisi waislamu tunaamini ktk Biblia lkn sio Martin Luther King.

Wekeni agano la kale tujadili pamoja. Na kwann agano la kale limepigwa pin na kufungiwa ndani huko ancient Ugiriki?
 
Injili nne za kina Luka, Marko, Matayo na Yohana. Zimeandikwa na nani ? Thibitisha kama hao wanaonasibishwa nazo ndiyo waandishi ?

Marko alimuona Yesu ? Aliishi zama za Yesu ? Aliwaona wanafunzi wa Yesu ? Hizi habari alizipata wapi ?
Mtu anayesema Mtume Muhammad (Swalla Allahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam) alikuwa anatokea kabila la Wakurdi

Surah ya Yusufu Myahudi isimuliwe na Muhammad Muarabu wa Makka wa kabila la Wakurdi
Mtu ambaye anasema Malakul Mawt anaitwa Izrael na sababu ya kuitwa hivyo ni eti uhasama wa waarabu na wayahudi.

Eti mtu huyu anataka kujibiwa hoja zake. Hoja gani? Anatakiwa asome kwanza. Huyu mtu nimegundua kuna watu wanamkuza kumuweka mahali isiyo yake naye ameghurika.

Maswali uliyomuuliza hatoweza kuyajibu (na sidhani kama kayaelewa kwanza) ila katika kubainisha kwake na kwa wenzie ni muhimu sana waulizwe. Huenda Allah akawaongoza.
 
Hoja yako ni dhaifu Mno na inaonesha ni kiwango gani usichojua unachokizungumza....

1. Muasisi wa jambo hawezi kuwa ndiye anayeelekezwa na wafuasi wake

2. Pia angejikita zaidi kijitukuza kwenye mambo yake..

3. Chain ya urithi na Utawala ungejikita zaidi kwenye kizazi chake... ikiwa ni pamoja na kuacha mrithi

4. Muda aliutumia MUHAMMAD Rehema na amani ziwe juu yake kama MTUME ni miaka 23 pekee lakini UJUMBE ALIOUSIMAMIA Umebobea kwenye utawala, thelojia, biashara, social norms, laws, military, geography, embryology, n.k kiasi kwamba no human being yeyote awaye anaweza au atatokea atakaye weza kuwa na ufahamu huo...
Muda aliutumia MUHAMMAD Rehema na amani ziwe juu yake kama MTUME ni miaka 23 pekee lakini UJUMBE ALIOUSIMAMIA Umebobea kwenye utawala, thelojia, biashara, social norms, laws, military, geography, embryology, n.k kiasi kwamba no human being yeyote awaye anaweza au atatokea atakaye weza kuwa na ufahamu huo...

Inatosha.
 
Kwema Wakuu!

Kutokana na mjadala fulani uliokuwa unaendelea katika Jukwaa la Intelligence nimeona nianzishe uzi huu kwa lengo la kujifunza na kuweka mjadala huru. Pia kupima katika mizania ya kimahakama/kuthibitisha ukweli wa masimulizi yaliyomo kwenye Biblia na kwenye Quran.

Nani mkweli na nani muongo kati ya Biblia na Quran?

Sipo hapa kumfanya yeyote awe sijui Mkristo au Muislam au Myahudi, bali nipo kujadili nani mkweli kati ya Biblia na Quran katika mizani ya kimahakama, majaji mtakuwa ninyi wasomaji.

Mahakamani siyo kila kesi inayopelekwa mahakamani ni kesi ya uvunjifu wa sheria, hasha! Bali yapo mambo huweza kupelekwa mahakamani kama kutaka uthibitisho, ukweli, mbali na haki.

Hivyo hata Biblia na Quran vinaweza pelekwa mahakamani na ukweli ukajulikana tuu. Sema kwa vile mambo haya yanagusa imani za watu jambo hilo linaweza kuwa gumu.

Zifuatazo ni hoja kwa nini Biblia ni kitabu cha kweli na kinapaswa kuwa rejea kuu zaidi ya Quran, kwa sababu;

1. Biblia kwa sehemu kubwa haina maneno ya 'Hearsay' wakati Quran kwa 90% maneno yake ni 'Hearsay'. Kimahakama maneno ya 'hearsay' hayasikilizwi na hayawezi kuchukuliwa kama ushahidi mzito, au kama rejea muhimu. Hoja hii ndiyo hoja nzito kuliko zote zinazoifanya Biblia kiwe kitabu kikuu chakweli kinachoiacha Quran Kwa mbali Sana.

a) Waandishi wengi wa Biblia wanaandika matukio yaliyokuwa yanawatokea wao wenyewe. Mfano Musa anasimulia jinsi anavyowatoa Waisrael Misri kwenda Kanaani, Daudi anasimulia hekaheka zake, Suleiman, Daniel, Yona n.k.

Wakati msimuliaji wa Quran yeye anasimulia habari ambazo yeye hakuwepo. Mfano Muhammad, anasimulia habari za Musa ambaye hayupo na ni miaka zaidi ya elfu iliyopita. Muhammad hajawahi kumuona Musa wala Daudi, wala Suleiman wala Yesu.

Kisa cha Yesu ndani ya Biblia tunaweza kukikubali kwa sababu kiliandikwa na baadhi ya wanafunzi wake akiwepo Marko, Mathayo na Yohana. Hivyo hata mahakamani tunaweza watumia watu waliyoshuhudia matukio ya Yesu aliyoyafanya. Ila tunaweza kukitoa kitabu cha Luka kwa sababu yeye alisimuliwa.

Hata hivyo ulikuwa ni wakati ule ule hivyo naye anaweza akasimulia kitu kikaeleweka. Tofauti na Quran ya Muhammad ambayo inasimulia tukio ambalo ni miaka zaidi ya 500 tangu litokee na anayeandika hajawahi mshuhudia huyo Yesu/Issa.

2. Waandishi wa Biblia walikuwepo maeneo tajwa kwenye Biblia, lakini Quran aliyeandika hajawahi kufika maeneo anayoyasimulia. Yaani Muhammad anasimulia habari za Israel na Waisrael ambapo hajawahi kufika, hajui pakoje, hajui watu wake wakoje.

Muhammad anasimulia habari za Jerusalem ya Suleiman halafu hajawahi kufika Jerusalem na hajawahi kumuona Suleiman, wakati Suleima mwenyewe kaandika habari zake mwenyewe. Kumbuka kutoka Suleiman mpaka Muhammad ni zaidi ya miaka 1000.

Quran kisheria hakiwezi kutumika kama rejea kwa maana msimuliaji anasimulia habari za eneo ambalo hajawahi kufika wala kushuhudia. Wala wakati matukio yanatokea hakuwepo.

3. Biblia ni muunganiko wa vitabu vingi vilivyoshushwa kwa manabii tofauti tofauti kwa nyakati tofauti tofauti, wakati Quran licha ya kuwa na vitabu vingi lakini vitabu vyote ameshushiwa Muhammad.

Embu shangaa, kisa cha Adamu kashushiwa Muhammad, kisa cha Nuhu kashushiwa Muhammad, kisa cha Ibrahimu kashushiwa Muhammad, kisa cha Yakobo na Yusufu kashushiwa Muhammad, kisa cha Waisrael kashushiwa Muhammad, mpaka kisa cha Yesu. Na visa vyote hakuwepo!😀😀

Upande wa Biblia
Ila wenzake Kisa cha Musa aliandika mwenyewe Musa, kisa cha Ayubu aliandika mwenyewe Ayubu, kisa cha Daudi aliandika Daudi mwenyewe, Kisa cha Yona kaandika Yona mwenyewe, kisa cha Yesu waliandika watu wake wakaribu (wanafunzi waliomshuhudia), kisa cha Daniel kaandika Daniel mwenyewe.

Vitabu hivi ni ushahidi wa wazi kwasababu wanaosimulia ni wahusika wenyewe. Ni kama vile kitabu cha Mzee wetu Mwinyi au Mzee wetu Mengi.

Muhammad kashushiwa vitabu ambavyo anasimulia hadithi za kusimuliwa (Hearsay), kitu pekee ambacho Quran inaweza kuwa ukweli na ikachukuliwa kama ukweli ni masimulizi ya kile alichokifanya Muhammad kwani alikuwepo na anasimulia tukio linaloendelea au alilolifanya.

4. Biblia imeandikwa na Wayahudi kwa kiasi kikubwa na wanasimulia habari zao wenyewe. Lakini Quran imeandikwa na Waarabu kwa lugha ya Kiarabu lakini inasimulia habari za wasiyo Waarabu, inasimulia habari za watu wengine ambao hawakuwaona.

Yaani mimi Mpare wa zama hizi nisimulie mambo ya Wasukuma ya kale ambayo sikuwepo. Hivi ninyi mtanisikiliza mimi Mpare ninayesimulia habari za kale za Wasukuma au mtasikiliza Wasukuma wenyewe?

Muhammad Muarabu aliyezaliwa Makka na akafia Madina hajawahi kufika Jerusalem, hajui hata Rama, Bethlehemu alipozaliwa Kristo halafu yeye anakwambia alizaliwa kwenye mtende halafu kuna mtu Myahudi aliyekuwa rafiki wa Yesu anakuambia Yesu rafiki yake kazaliwa kwenye hori la ng'ombe.

Huyo Rafiki wa Yesu Yohana, ni Myahudi mwenzake Yesu, anapajua Bethlehem, anapajua Jerusalem ndani nje. Je utamsikiliza nani?

Haya Quran na hadithi za Kiyahudi kama anavyosimulia Mtume na maswahaba wake wanakuambia Suleiman alikuwa anafuga majini. Kumbuka huyo Muhammad anasimulia habari za watu wa taifa jingine ambao wanatofautiana lugha na tamaduni, hajawahi kufika Jerusalem mji wa Daudi na mwanaye Suleiman, hajui Kiyahudi, haabudu dini ya Wayahudi anayoabudu Suleiman.

Anakuambia Suleiman alikuwa anafuga majini, lakini Suleiman mwenyewe katika hadithi zake au hadithi za mwanaye Yerobohamu hajawahi kusema kitu kama hicho. Pia utamaduni wao hauruhusu kufuga madudu hayo majini. Wewe utamuamini huyo Muhammad au utamuamini Suleiman mwenyewe aliyeandika katika vitabu vyake vilivyopo katika Biblia? Jibu utabaki nalo.

5. Mungu wa kwenye Biblia ni Jehova/Yahwe ambaye ni Mungu wa Waisrael wanaosimuliwa ndani ya kitabu hicho. Lakini Quran mungu wake ni Allah, Mungu wa Waarabu wa kabila la Wakurdi wa zamani lakini cha ajabu huyo Allah, ati huyo Allah kuna sehemu anamuagiza kina Musa (Myahudi na dini yake Uyahudi) wakati kimsingi Musa Mungu wake ni Yahweh mpaka anakufa.

Hata hivi leo Mungu wa Wayahudi hajabadilika ni Yahwe na mpaka hivi Mungu wa waarabu hajabadilika ni yule yule Allah. Lakini Quran inapotosha kuwa Mungu anayewaagiza Wayahudi ni Allah hii ni kutokana muandishi wa Quran alikuwa Muarabu.

Wahusika kuanzia kwa Yakobo mpaka kwa Yesu ni Wayahudi na dini yao ni Uyahudi na Mungu wao ni Yahweh, lakini Quran imepuyanga katika eneo hilo.

6. Biblia imetangulia miaka mingi kabla ya Quran. Hivyo kwa kuwahi imeshuhudia na inaweza kusimulia matukio yaliyotokea zamani zaidi kuliko Quran, siyo ajabu Quran yenyewe ndiyo imenakili baadhi ya visa ingawaje inajimilikisha.

Biblia inaweza kujitegemea bila ya uwepo wa Quran kwani yenyewe ndiyo baba/chanzo cha Quran. Lakini Quran kama ukitoa visa ilivyovinakili kutoka kwenye Biblia na maandiko yote ya Kiyahudi basi Quran inabaki bila ya nguvu yoyote Ile.

Quran ambacho ingefanya ni kutoa nondo kuanzia wakati wa Muhammad kuja mbele na siyo kurudia hadithi zilizokwisha kuwepo. Mbona Injili haujarudia visa? Quran haiwezi kuchukuliwa kama rejea kuu kuzidi Biblia kwa sababu nilizozitaja hapo juu.

Majaji mjadili kwa hoja.

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
Huu upuuzi wa wajinga kuijadili Quran tukufu sijui utakoma lini. Yaani mpumbavu tu mmoja anajifanya anaijua Quran. Damn u. Clumsy fool
 
Weee mchamba mavi nyoko zako ndio maana huna akili kazi jitu zima kushika mavi tu ndio maana unautahira kwenye hilo liakili lako mshenzi sana tapeli ni hiyo dini yenu kazi kufirana wanaume kwa wanawake mnanuka mikundu tu **** nyoko nyie mavi yenu.

Kazi kulawiti watoto wadogo madrasaa nakuwaaribu akili .

Nyie dini yenu ni yashetani mapepo tu ndio yanawaongoza Mungu hayupo ndani yenu hanisi wewe choa mbaya mmoja tu mnao wake wengi na hamjitambui kazi mko inshalah mavi kabisa.

Ndio maana unautindi wa ubongo shenzi mmoja hivi kwanza wewe umelogwa shenzi
Ona Huyu naye ...umefundishwa na Nani kujibu matusi ??
 
Majina ya Majini.

Zumaridi
Zulfa
Zaharani
Maimuna
Popobawa
Chausiku
Lewiethani
Legioni
Lutta
Uza
Manata
Harut na Marut wanaofundisha uchawi kwa waislamu.
Jini Mahaba

Jini Allah
Nk.
Akili fupi punguza konyagi
 
Muda aliutumia MUHAMMAD Rehema na amani ziwe juu yake kama MTUME ni miaka 23 pekee lakini UJUMBE ALIOUSIMAMIA Umebobea kwenye utawala, thelojia, biashara, social norms, laws, military, geography, embryology, n.k kiasi kwamba no human being yeyote awaye anaweza au atatokea atakaye weza kuwa na ufahamu huo...

Inatosha.
Wasipoelewa na hapa hasa mleta Uzi na wavaa rozari wenzake Basi tambua ..wanashida mahali.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Defensive mechanism cha kwanza we hujui chochote upo tu..ukienda kweny forex utakuta kitabu kinaitwa candle bible...turejee kweny maana ya biblia na je biblia ilishushwa au aliandika na Paulo na watu wa Italy.


Bible ni mkusanyiko means vitabu vilikusanywa na sio sehemu ya kitabu cha mungu ila walikusanya vitabu kwa kubadilisha kwa maana iyo hata mimi naweza kukusanya vitabu vya chemistry ,physics na biology kikawa kitabu kimoja nikaita "science bible

Hatubishani wala hatueleti maongezi mengi maana Aya za qur an huzitaki basi tutumie common sense na upeo wa akili.

Mimi nakuambia bible sio kitabu cha mungu kwa asilimia 100 kabisa ..

Ntakuonyesha series ya vitabu kama vitabu kama torat ,zabur ,injili na qur an .hivyo ni vitabu vya mwenyewe mungu.

Ndo maana qur an imekuja kusadifu yaliyopita ..je izo habari za huko nyuma walijuaje kupitia bible kama mtoa mada anavyosema kwamba walikuwepo wakati yanatendeka [emoji23][emoji23][emoji23]hao mitume zama zao zilipita kwa kipind fulani ambacho ni ngumu kwa mtu kuona mitume yote katika zama zote tangu Adam.


Vitabu vimeshushwa kuleta muendeleo ndo maana Kuna mitume mingi walishushwa kutokana na zama ...

Ntakupa baadhi ya hints biblia imeandikwa kupotosha sio kitabu cha mungu ..ndani ya biblia hakuna neno ukristo ni dini, hakuna sehemu kwamba yesu ni mungu ,Kuna sehemu mungu kaitwa mpumbavu
Ntakupa baadhi ya hints biblia imeandikwa kupotosha sio kitabu cha mungu ..ndani ya biblia hakuna neno ukristo ni dini, hakuna sehemu kwamba yesu ni mungu ,Kuna sehemu mungu kaitwa

MPUMBAVU weka hints
 
Biblia haijaandikwa na mtu mmoja ama jamii moja.. ni collection of books kutoka kwa watu tofauti tofauti.

Biblia imeunganishwa vitabu vya waandishi wengi kwa zaidi ya miaka 1600
Hii hoja hata ingeandikwa na vitabu vingapi ni kitabu kilichofanyiwa collection tyr
 
Injili nne za kina Luka, Marko, Matayo na Yohana. Zimeandikwa na nani ? Thibitisha kama hao wanaonasibishwa nazo ndiyo waandishi ?

Marko alimuona Yesu ? Aliishi zama za Yesu ? Aliwaona wanafunzi wa Yesu ? Hizi habari alizipata wapi ?
Uzi ufungwe wavaa Rozari wameamua kuukimbia Uzi Unique Flower Karibu katka uislamu hautojutia mummy
 
Back
Top Bottom