Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

[emoji16][emoji16]tulia watu tupo kuswali

Paradise is not a place for reproduction
Ibaki tu tuamini kuwa tutapewa mabikra 72 tuwashughulikie iyo ndo moja wapo katika starehe ambazo tumewekewa wazi na inafikirika japo kuwa mambo hayatakuwa kama uku duniani hakuna mkongo kule yani ni kula tu watoto wazuri... Kuna mtu hapendi hii kitu ?

Nyie mtaendelea kusifu na kuabudu sisi mtuache tukale mabikra kila mtu apewe anachoamini[emoji28][emoji28]
Aiseeh ni hatari sana hakika.
Ni mwendo wa kudinya tu huku pembeni ikikatisha mito ya Asali, Maziwa na Divai iliyochachuka.

Patachimbika [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hivi unajua tokea umeandika huu Uzi hadi Sasa hilo andiko linalosema Yesu amezaliwa katika hori la ng'ombe haujalitoa

Umeatoa andiko linalosema amevikwa nguo akalazwa katika hori la ng'ombe tena wameenda hapo katika hori baada ya kukosa nafasi nyumba ya wageni

Kwahiyo huko nyumba ya wageni Mariam alipokosa nafasi alienda na mimba?

Sasa kama upo Mahakamani unaambiwa toa ushahidi wa andiko linalosema Yesu amezaliwa katika hori la ng'ombe badala yake wewe unatoa andiko linalosema Yesu amevikwa nguo akalazwa katika hori la ng'ombe huo ushahidi utapokelewa ?

Umekutana na kitu kizito ulikuwa hujui kuwa mnaposema Yesu amezaliwa katika hori la ng'ombe mnadanganyana

Luka 2:7
akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng’ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.

Kama unalo andiko linalosema Yesu amezaliwa katika hori la ng'ombe toa

Ila ukweli ni kwamba Yesu amezaliwa chini ya Shina la mtende na ushahidi huu apa

Quran 19:23.
Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa!

24.
Pakatangazwa kutoka chini yake: Usihuzunike! Hakika Mola wako Mlezi amejaalia chini yako kijito kidogo cha maji!

Quran :25.
Na litikise kwako hilo shina la mtende, utakuangushia tende nzuri zilizo mbivu.
Mimba ya kwenye Koran ilitimiza miezi 9 au
 
Tofautisha kati ya Quran ilikuja na lengo LA kujua mungu sio kumjua nani ana miaka mingap kaishi WAP hayo utayakuta kwenye vitabu vingine vya hadithi za mitume na maisha yao huwez kuta katiba ya Tanzania ukakuta na maisha ya viongozi
Koran huwezi kuitumia kama rejea , inataja majina tu haikupi maelezo ya kutosha

Unakuta yakobo anaitwa yakobo mara ghafla anakuwa Israel na wala hakuna maelezo ilikuwaje jina likabadilika

Story kama ya Musa ipo scattered kwenye surah mbali mbali , mara Allah asema waisrael walirith misri Yani full kujichanganya
 
Aiseeh ni hatari sana hakika.
Ni mwendo wa kudinya tu huku pembeni ikikatisha mito ya Asali, Maziwa na Divai iliyochachuka.

Patachimbika [emoji28][emoji28][emoji28]
Mtajua hamjui

Sisi tumewekewa wazi mambo yetu yani ukizingua adhabu unaipata ukifaulu unakula bata

Ndo tofauti ya sisi na nyie yani nipate tabu apa duniani alafu niende front nikaimbe mapambio hii approach mbona yakinyonge sana mababu zenu waliwezaje kushawishika na hii mbona haisound good..

Lakini sishangai yani ukisikiliza sala na maombi ya wakristo wengi wanaomba mafanikio ya hapa duniani wakati huo wazee wa kobazi sisi tunadeal na life after death kila mtu aende na tiketi yake na hiyo package ya bikra 72 kuwapata sio kizembe ina maelezo yake msichojua [emoji16]
 
Koran huwezi kuitumia kama rejea , inataja majina tu haikupi maelezo ya kutosha

Unakuta yakobo anaitwa yakobo mara ghafla anakuwa Israel na wala hakuna maelezo ilikuwaje jina likabadilika

Story kama ya Musa ipo scattered kwenye surah mbali mbali , mara Allah asema waisrael walirith misri Yani full kujichanganya
Sasa unamiini kitabu gani kati ya hvo viwili maana Quran imekusanya yote kuanzia kwa musa ad kwa Muhammad imetoka injili ikaja Quran nyie MNA biblia
 
Mtajua hamjui

Sisi tumewekewa wazi mambo yetu yani ukizingua adhabu unaipata ukifaulu unakula bata

Ndo tofauti ya sisi na nyie yani nipate tabu apa duniani alafu niende front nikaimbe mapambio hii approach mbona yakinyonge sana mababu zenu waliwezaje kushawishika na hii mbona haisound good..

Lakini sishangai yani ukisikiliza sala na maombi ya wakristo wengi wanaomba mafanikio ya hapa duniani wakati huo wazee wa kobazi sisi tunadeal na life after death kila mtu aende na tiketi yake na hiyo package ya bikra 72 kuwapata sio kizembe ina maelezo yake msichojua [emoji16]
Kwani Malaika wanateseka ? Hakuna zawani kubwa kama kutokuwa na humans needs, humans needs ni mateso , sasa nyie ndo zawadi zenu , dudu kudisa milele, kunywa pombe , kula ndizi mbivu( Yani hii inachekesha Muhammad aliona ndizi ni ya muhimu kwa sababu alikiwa jangwani), kula maini ya nyangumi , kunywa chai ya tangawizi 😂😂😂😂
 
Mbona wagumba na matasa hawazai na wanapigana mashine!!..Hilo boga lako juu ya shingo halina faida
Sasa umeshasema mgumba 😂😂😂 wewe mfuasi wa pedophile vipi, bila starehe ya ngono hakuna mtu angejisumbua kuzaliana , na tena siku yai linatoka ndio hamu inazidi , hii ilmu Allah alinyimwa
 
Tuliache , kama Allah alishindwa kuelewa embryology, na hili lilimshinda
[emoji28][emoji28] ungepata mtu ambaye angekuelewesha vizuri swala la embryology kwa mujibu wa quran ungetafuta weakness nyingine yani mascholar wakubwa wa upande wako wenye uadui mkubwa na quran wamelishindwa ilo wameliacha sio kama wewe tia maji tia maji ambaye huna misingi istoshe washikaji zako waislam na mnaishi poa tu huwezi kuleta hoja za msingi utajikanyaga sana na material ya google
 
Sasa umeshasema mgumba 😂😂😂 wewe mfuasi wa pedophile vipi, bila starehe ya ngono hakuna mtu angejisumbua kuzaliana , na tena siku yai linatoka ndio hamu inazidi , hii ilmu Allah alinyimwa
Wagumba wanapigana mashine hawapigani!?..
 
Back
Top Bottom