Kama Biblia ni kitabu cha kutungwa, nani alikitunga na chanzo na kusudio lake ni nini?

History and archeology.

1. There is no historical Moses but only biblical

2. In Egypt there is no any record about Moses in Egypt and the Exodus
πŸ‘β˜‘οΈπŸ‘πŸ’
 
πŸ‘πŸ‘β˜‘οΈπŸ’πŸŽπŸŽ–οΈπŸ†
 
πŸ‘πŸ‘πŸ’πŸŽπŸŽ–οΈπŸ†
 
Asante mkuu Kwa research yako ulio fanya.
Lakin umeegemea upande mmoja Tu, ambapo baadhi ya Aya AU mistari Ina ukweli,
Lakini,
Umeacha Aya nyingi Tu, ambazo Zina contradiction, mfano
Jua kulizunguka dunia, gharika ya maji πŸ’¦ dunia mzima na safina ya Nuhu kubeba viumbe Hai vya dunia ili visiangamwizwe na gharika.

Kwa Kweli Kwa Hii πŸ‘† science basi mungu alikosea Sana, kiasi cha kwamba mmpaka sisi waja wake tumegundua makosa aliyo yafanya mungu muumba, lakini yeye mpaka Sasa bado hajatoa mrejesho wa makosa aliyo yafanya .


Na wanadamu bado wanaendelea kumzidi mungu kwenye nyanja nyingi Sana za kielimu na maarifa.

Ju ulishawa Wai jiuliza kipi kilianza Kati ya sayansi AU Dini?.


Ukweli ni kwamba sayansi ndio ya kwanza, kumbuka jamii ya Mesopotamian, sumarian zilivyokuwa zime advance kwenye mathematics, astronomy, medical.

SEMA kipindi hicho elimu ilikuwa ni Kwa ajili ya watu wachache Tu,

Hao watu wachache ndio wakamua kuja na Dini ili kuweza kuwatawala, raia wengi wasiojua sayansi, japo sayansi Yao ya kipindi hicho ilikuwa iko limited

Ndipo baadaye Dini zilipokuja kuibuka , na ndio maana kwenye Dini hakuna kuhoji, maandiko Hata kama ni yenye uwongo ,utata
 
Lakin umeegemea upande mmoja Tu, ambapo baadhi ya Aya AU mistari Ina ukweli,
Lakini,
Umeacha Aya nyingi Tu, ambazo Zina contradiction
Ni kweli nime pick mistari michache kama ushahidi wa Biblia kuwa ni maandiko matakatifu ya Mungu, isingekuwa na maana kama nikakuwekea na mistari itakayokufanya u doubt this truth.
Umeacha Aya nyingi Tu, ambazo Zina contradiction, mfano
Jua kulizunguka dunia
Ungeweka mistari husika hapa nikufafanulie, Jua kulizunguka dunia umeiona wapi (kama ni kutoka kitabu cha Yoshua ungesema ili tuanzie pale lakini nisingependa kutumia muda/maelezo mengi kwenye kitu ambacho pengine hukuwaza kama ndo kina contradiction)
gharika ya maji πŸ’¦ dunia mzima na safina ya Nuhu kubeba viumbe Hai vya dunia ili visiangamwizwe na gharika
Kuhusu safina ungesema ni nini ambacho hukielewi au kinapingana na sayansi ningekuelezea how it happened using the same Bible, na kama ungefanya just a simple research ungeweza kuona zipo archeological findings za Noah's ark mpaka leo hii.
Kwa Kweli Kwa Hii πŸ‘† science basi mungu alikosea Sana, kiasi cha kwamba mmpaka sisi waja wake tumegundua makosa aliyo yafanya mungu muumba, lakini yeye mpaka Sasa bado hajatoa mrejesho wa makosa aliyo yafanya
Sorry to say but this is garbage.

Ungeweka kitu kimoja then tuangalie ukweli wake maana ni kama una introduce kitu kipya tena. Sijaandika hivyo vitu kutetea dini yoyote, mimi kazi yangu kwenye huu uzi ni kuitetea Biblia kuwa ni neno la Mungu.
 

Okay sawa, inaonekana unafahamu contradiction zilizokuwepo kwenye Bible.

Kuhusu point ya jua kulizunguka dunia ndio inayomlenga Yoshua, coz Dunia ndio inayozunguka jua, apambapo wasomi walikuja kuvumbua.

Kwanini Yoshua ambaye ni Mtume wa mungu asijue kuwa ni dunia ndio Inayozunguka jua na Sio jua kulizunguka dunia ?
 
Sasa nikuambie siku nyingine ukikutana na maneno kwenye Biblia huyaelewi au ni kama yanakinzana na elimu uliyopata darasani, nakushauri uwe mnyenyekevu kuuliza na kufanya utafiti sio kurukia kwenye conclusion kama uliyoandika.

Biblia pamoja na kuandikwa in a simplest form ili iwe rahisi kueleweka na mtu yeyote, lakini ukumbuke sio kila mstari, unaweza kueleweka na kila mtu, wa kila jamii iliyoko duniani, bila kufundishwa na wanaoielewa zaidi kwa sababu;

  • Utofauti wa lugha na matumizi ya maneno yake
  • Muktadha wa maandiko husika
  • n.k.
Yoshua 10: 7 - 15

Ni watu wachache sana wenye elimu ya darasani katika hali ya kawaida ambao wakisoma sura ya 10 kitabu cha Yoshua wanaelewa kwamba jua lilisimama kuzunguka in a literal meaning.

Sitaki kulazimisha uelewa wangu kwenye hii sura lakini pengine ungejiuliza;

  • Kama Yoshua ni mwanadamu mwenye ufahamu limited kama sisi na asiye na elimu tuliyonayo leo, amemwomba Mungu jua lisimame katikati ya vita, Je Mungu angeanza kumuelimisha kwanza Yoshua kuwa anaomba vibaya kwa sababu ni dunia ndo inazunguka jua? Huo muda wa kuelimishana na wakati huohuo kupigana vita ungetoka wapi?

  • Je jua halizunguki? Na kama linazunguka kusimama kwake kusingefanya dunia nayo isimame? Mimi nimefahamu jua linazunguka mara ya kwanza nikiwa kidato cha tano miaka sasa imepita.
Ziko tafsiri kadhaa kuhusiana na hii sura, mojawapo inasema; Kwenye lugha ya kiebrania iliyotumika na kwa muktadha wa nchi za Mashariki nyakati zile ukisema β€œjua simama” ni sehemu ya lugha inayoashiria kupata bahati fulani kwenye jambo unalolinenea, na hasa ikimaanisha jua kuacha kuangaza.

Wanaotafsiri hivi wanafanya hivyo kwa sababu;

  1. Wakati Yoshua anasema hayo maneno, haionekani kuwa jioni bali asubuhi(Alikwea kutoka Gilgali usiku kucha Yoshua 10:9 kwa hiyo mpaka anafika eneo la vita haiwezi kuwa jioni bali asubuhi)

  2. Nyakati zile katika mashariki ya kati, timing and position ya jua na mwezi vilionekana ni sababu ya kushinda au kushindwa kwa vita

  3. Pamoja na kwamba Yoshua alitumia maneno ya bahati katika vita lakini kwa sababu alimwomba Mungu, Mungu alimjibu sawa sawa na alichohitaji maana alikuwa katika kazi aliyotumwa na Mungu huyo huyo.

  4. Mstari wa 14 na mistari mingine inaonesha Mungu aliwapigania Israeli, namna mojawapo ni kwa kunyesha mvua ya mawe kwa kambi ya adui zao. Hai make sense sana kwamba kukiwa na mwanga ndo vita vinakuwa vizuri upande wa Israeli peke yake isipokuwa ni kwa sababu Mungu alikuwa Pamoja na wao kuwashindia.

    Kuna scientific discoveries za siku za leo zinaonesha kulitokea longest solar eclipse katika siku za Joshua wa Biblia around 3000 kutoka leo (wengine wanasema ilitokea 1207 BC). Hii discovery inaendana kwanza na tafsiri niliyotaja hapo juu lakini pia iko backed up na archeological sources zilizo katika nchi ya Misri.
 
Sawa mtetezi wa Bible,
Lakin maelezo uliyoyatoa bado πŸ‘† hayakupeleki kwenye final decision, bado ni speculation Tu,

Tunataka vitu Viko straightforward , hatutaki tubaki na maswali yasiyokuwa na majibu sahihi
 
Sawa mtetezi wa Bible,
Lakin maelezo uliyoyatoa bado πŸ‘† hayakupeleki kwenye final decision, bado ni speculation Tu,

Tunataka vitu Viko straightforward , hatutaki tubaki na maswali yasiyokuwa na majibu sahihi
Yani from the whole chapter umekosa vya kujifunza kabisa? Ni mpaka vya kujifunza vyote viwe straightforward ndo utaanza kumheshimu Mungu?

Suala la "jua kusimama" peke yake is not a major doctrinal issue unaweza kuwa na interpretation yoyote kichwani mwako na bado ukawa uko sawa mbele za Mungu.

Muhimu ni kuwa mnyenyekevu unapotaka kujifunza, ukileta ujuaji hutakaa uelewe kitu na hutaweza kumjua Mungu. Na ni kwa hasara yako mwenyewe.
 
Acha nidhamu ya uoga,
Kuwa mnyenyekevu Sio kwamba ni Tabia nzuri,

Dini zimewekwa ili kuwa control na kuwazubaza watu masikini,, bila Dini serikali nyingi duniani zingepinduliwa,

Tupeni ushahidi wa uwepo wa mungu?
 
Mbona Yalitungwa Mengi Ya Uongo Na Wazungu Kuhusu Afrika Na Tunayasoma Kwenye Vitabu Na Kuamini Kabisa Biblia Haikutungwa Bali Imetolewa Baadhi Ya Vifungu Na Vingine Kubadilishwa Na Vingine Kuchomwa Moto Kwa Manufaa Ya Watu Binafsi Daniel 7 24 Mpaka 25 Kuna Vitu Nahc Huwa Hatuelewi Au Tunapuuza Au Tunaacha Kuwa Ni Siri Ya Utawa Jarbu Kufatilia Labda Unaweza Ktpata Idea
 
Yaan queen of Sheba hujaisoma habari zake mpaka useme habari za waafrica hazimo mbona zipo nyingi tu kwenye Biblia
 
Mtunzi ni King James sambamba na wana uchumi nguli wa nchini mwake na hata wanauchumi wa Greece.

Makusudio ilikuwa ni kulifanya taifa la Uingereza kuwa kinara kwenye nyanja ya Uchumi duniani kote kwa miaka na miaka na kuitawala dunia kwa kutumia watu shupavu km Alexander.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…