Kama binadamu wa kwanza alikuwa mweupe, watu weusi wametoka wapi?

Kama binadamu wa kwanza alikuwa mweupe, watu weusi wametoka wapi?

kutokufahamu tunachokifahamu leo ndiko kunalazimisha tuishi kwa kukisia-kisia ukweli tukidhani ndo ukweli wenyewe kutumia dini. maneno kama prophecy na kuoteshwa vifungu ni lugha za kulazimisha ukweli nionanvyo mimi.

Kwanini unadhani hivyo?
 
Kwa mujibu wa vitabu vya dini mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni Adamu kisha Eva ambao walikuwa sio watu weusi, ni nini kilitokea mpaka watu weusi wakatokea duniani?

ni kweli kama unavyosema lakini iko adam na eva ni watu wa kwanza kuumbwa lakini haina maana uumbaji uliishia hapo mungu alienelea na uumbaji sasa biblia inasema kama kila kitu kingeandikwa vingekuwa vitabu vingisana ni sawa leo kuuliza paka hayupo kwa biblia ilayuponi kwa sababu uumbajiuliendeleo ndio mana watoto wa adam na eva walioa walioa nansasa kama kusingekuwa na mwendelezo wa uumbaji
 
ushahidi narudia tena USHAHIDI uliopo ni kuwa binadamu wa kale kabisa akiishi afrika, nchi ya watu weusi.

Porojo inayolipa sana (dini) inapendekeza mwanadamu wa awali ni mweupe!!!!!!!!!!

Halafu waleta dini hizo nao ni Weupe.
Nalog off
 
evolution inaelezea jinsi watu tunavotofautiana, kuna mambo mengi sana ndani yake yanayofanya species aina moja kua na genes tofauti, mazingira ikiwa ni kitu mojawapo, mwili unatend kuadopt kulingana na mazingira, sasa kwa binadamu ambaye anakaa sehemu za joto, over period of years lazima changes zitokee mfano anakuwa na nywele fupi sana sababu hakai kwenye baridi, sasa mwili unakua exposed kwenye jua, hapo ndipo melanin inachukua kazi yake sasa, melanin inafanya ngozi yetu kua nyeusi ili kuweza kuishi bila kuhitaji vitu kama sunscreen ambao wenzetu weupe huzitumia sana wakati wa jua kali.... Hakuna kitu kama laana wala nini, its simply evolution tu

Mkuu naomba kyhuluza.kwa io hao weusi Wa ulaya waliokaa ulaya na Asia tangu kipindi cha utumwa nao IPO siku watabaduluka na kua wazungu au wachina???
 
1.mimi nina amini kuwa mwanadamu wa kwanza alikuwa mweusi sababu ukisoma maandio utaona Mungu alifinyanga udongo kisha akapulizia pumnzi ndio mwanadamu aka kama alivyo sasa jiulize udogo ni rangi gani utapata jibu

2. Watu weupe wametokana na kizazi cha kaini baada ya kumuua ndugu yake Mungu alimlaani na kupigwa chapa ya muhuri ambayo ndio ngozi nyeupe, (ukirudi nyuma utangundua nyoka/ shetani aliwadanganya wakila tunda basi watajua mema na mabaya maana ake watakuwa na akili nyingi) ndio maana ngozi nyeupe ni werevu zaidi yetu sisi weusi.

NB: ndio maana wanasema fuvu la mtu wa kwanza limepatikana ngorongoro

Mkuu,

Hivi lile Fuvu kule NgoroNgoro ni la Adam? Maana si ndio binadamu wa kwanza?
 
Mkuu naomba kyhuluza.kwa io hao weusi Wa ulaya waliokaa ulaya na Asia tangu kipindi cha utumwa nao IPO siku watabaduluka na kua wazungu au wachina???
changes kwa organisms ni kitu ambacho kinachukua muda mrefu sana si siku moja au mbili ka unavofikiri... mtu habadiliki hadi anakufa sema generations zinazokuja watoto wao baadhi ya vitu vinazidi kubadilika... we hukuona nigeria waafrika wawili wakazaa mzungu... au huoni weusi wanazaa ma-albino.. yote ni mabadiliko tu katika genes... na binadamu wa kwanza hakua mweupe... binadamu wa kwanza ni close sana na muafrika kuliko mzungu..
 
Ukitaka kujua kila kitu apa ulimwenguni utadata ujue
 
Binadamu wa kwanza alikuwa mweusi, ndo wna historia walisema hivyo. Ila hawa wachina ndo kitendawili
 
Vitabu vya dini ni hadithi za kale zisizokuwa na uhalisia wowote.Most of them are exagerrated

Kisayansi mnyama wa kwanza ambaye ndo alikuwa ancestor wa mwanadamu alikuwa mweusi

Uweupe wa wazungu ni product ya evolution kulingana na climatic conditions za eneo waliokuwa wanaishi
 
Evolution ilianzia pale kwa pangaea kumeguka
 
Vitabu vya dini ni hadithi za kale zisizokuwa na uhalisia wowote.Most of them are exagerrated

Kisayansi mnyama wa kwanza ambaye ndo alikuwa ancestor wa mwanadamu alikuwa mweusi

Uweupe wa wazungu ni product ya evolution kulingana na climatic conditions za eneo waliokuwa wanaishi

yeah....hii imekaa vizuri.
 
Hivi ilikuwaje evolution ikawepo? [kama ilikuwepo]
 
tukijuacho ni kama tone la maji, ila tusicho kijua ni kama maji ya bahari so nobody knows..
 
after the great flood in times of Noah,he cursed one of his children saying `he will be a servant to his brothers`..am not so certain about skin complexion but I think this is where t all started...hvi unafikiri Africa kuwa the poorest continent is just a mere coincidence???with all these resources??wazungu wametuzidi akili by default...huu ni ukweli usiopingika
 
kutokufahamu tunachokifahamu leo ndiko kunalazimisha tuishi kwa kukisia-kisia ukweli tukidhani ndo ukweli wenyewe kutumia dini. maneno kama prophecy na kuoteshwa vifungu ni lugha za kulazimisha ukweli nionanvyo mimi.

Merry Krupa....... Merry Krupa....... well spoken
 
Back
Top Bottom