Kama binadamu wa kwanza alikuwa mweupe, watu weusi wametoka wapi?

Kama binadamu wa kwanza alikuwa mweupe, watu weusi wametoka wapi?

Weka picha ya Binadamu wa Kwanza....tuzione rangi zao...usilete mada mgando hapa...izo rangi zao sisi zitatusaidia nini...Kama unahisi watu weusi ni tatizo...hii ni shida yako wewe...
 
Ulivoonggelea hilo ka twiga tu nikajua basi huyu mtu hata biology kaishia form four nikimueleza hawezi kuelewa... Hilo la twiga halikuwahi kukubalika kwenye biology hizo ni story mnapiga mtaani afu mnadanganyana science imesema hivo, usiisingizie science..

Naomba tuishie hapa maana kama ulikimbia biology kuna terms nyingi napenda ningezitumia kukuelekeza sema hatutoelewana ila hii ni true science na hadi leo imetumika the same knowledge kwenye mambo mbalimbali na yakafanya kazi kuprove kabisa kua si uongo... ni kama kusema equation ya force=massxgravity hakuna mwenye kusema newton aliitoa wapi, sema tumeitumia kwenye science na imetengeneza mashine nyingi sana mnazotumia leo hii, hiyo ndio inastand kama proof kua ni kweli... sasa same thing kwa evolution na genetics, kwa hiyo knowledge watu mnaosema ni uongo imetumika kufanya vitu ambavo vipo hadi leo.. Ndo maana narudia hapa ka biology ulikimbia afu una faith tutapelekeshana hadi mwaka utaisha, just so u know nina faith pia, ila hii sayansi haina uongo

Ni kweli kabisa mimi ni wa kidato cha 4 zao la sekondari za kata, sasa naomba unielimishe ili niongeze uelewa. Na natambua sana kuwa ya Twiga ilishakataliwa zamani, ila niliitolea mfano. Pia sayansi kwa ujumla wake kuna maeneo imefanya kazi na kuna maeneo haijafanya kazi mpaka sasa. Je,haya mabadiliko yanatokea baada ya miaka mingapi!? Je, unaamini ya kuwa binadamu tulikuwa jamii ya sokwe ila nguvu ya mabadiliko asili yametubadili kuwa hivi leo tulivyo!!?

Kama ni Ndio, je kwanini jamii ile nyingine haijabadilika!!? Sawa, vipi kuhusu wale dubu weusi wanaoishi kule kwenye barafu hawajawa weupe!!? Wameshindwaje Qatar na Saudi Arabia kuwa weusi wakati wao ndio wenye nyuzi joto 50% tangu kuumbwa kwa dunia!!?

Vipi kuhusu wahindi weusi wa Amerika ya kusini!!? Naamini wewe unauelewa wa hali ya juu katika hii elimu ya VINASABA NA MABADILIKO YAKE.
Naomba kuwasilisha tafadhali.
 
Nature is the source of everything it is all comes round, every race was there since then.
 
Biblia yasema" ....... Msinichunguze kwa kuwa ni MWEUSI-MWEUSI,kwa sababu ya JUA LIMENIUNGUZA". [WIMBO ULIO BORA 1:5~6]
 
Jibu ni kuwa wenzetu wazungu walituzidi sayansi kidogo tu ndipo wakafanikiwa kutufikia na wakaeneza mila na tamaduni zao kwetu ndipo wakatudanganya kuwa binadamu wa kwanza mzungu na aliishi kwao.pamoja na hayo wakashindwa kujibu maswali magumu ya waafrika kama hilo ulilouliza wewe ndipo tukabaini dini zao ni uongo tupu na hazina majibu kwa dini na mila za kiafrika.
 
Biblia yasema" ....... Msinichunguze kwa kuwa ni MWEUSI-MWEUSI,kwa sababu ya JUA LIMENIUNGUZA". [WIMBO ULIO BORA 1:5~6]
 
Biblia yasema" ....... Msinichunguze kwa kuwa ni MWEUSI-MWEUSI,kwa sababu ya JUA LIMENIUNGUZA". [WIMBO ULIO BORA 1:5~6]

Kwa maana hio biblia inamaanisha mtu wa kwanza alikuwa mweupe halafu akachomwa na jua akawa mweusi mweusi halafu wagalatia wenzake wakaanza kumchunguza.
Au sio?
 
Jibu ni kuwa wenzetu wazungu walituzidi sayansi kidogo tu ndipo wakafanikiwa kutufikia na wakaeneza mila na tamaduni zao kwetu ndipo wakatudanganya kuwa binadamu wa kwanza mzungu na aliishi kwao.pamoja na hayo wakashindwa kujibu maswali magumu ya waafrika kama hilo ulilouliza wewe ndipo tukabaini dini zao ni uongo tupu na hazina majibu kwa dini na mila za kiafrika.

Unatakiwa uielewe biblia kwanza kbla hujaandika ulioandika.

Biblia ktk mwanzo 1 :27 unasema.

27-Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.-

Na tunavyo ktk makanisa karibu yote na kwenye mtandao PICHA YA mungu WA BIBLIA NI MZUNGU!
Mtu mweupe,
Kwa hivyo.

Kwa mujibu wa BIBLIA mtu wa kwanza Kuumbwa ALIKUWA MWEUPE.

Sasa kataa hilo Yesu MZUNGU AKUPIGE LAANA.
 
vitabu vya dini ni mafundisho.umewahi kusikia hadithi ya mtoto mtukutu aliyeiba nyama na ikamkwama? Tanzania husemwa amepelekwa mnazi mmoja na Ghana husimulia hadithi hii hii na kusema mtoto amepelekwa hospital nyingine kabisaaa.these are tales.waafrika tumekuwa watumwa kwakuwa tunarubunika kirahisi na tulikuwa nyuma kwenye kuendelea.ukiangalia sifa za Buddha mitume wa wahindu zote hufanana na zile za wa kikristu ama kiislamu.hadithi husimuliwa kwa namna tofauti karibu kwa kila sehemu.

katafute masimulizi ya kina kinjekitile usikie kama adam na eva ni weupe

Jamaaan hapa kwenye gar wananiona mwehu jinsi ninavyo cheka aiseee
 
Nasema nakushtaki kwa yesu bwana wa majeshi ya kanisa akulaani wewe uendelee kuwa KOLOKOLONI mpaka atakaporudi (siku sijaijua).

We unakataa kuwa yesu wetu SIO MZUNGU.?

Na hapo hapo unafananisha BIBLIA NA KITABU CHA STORI ZA NGONO?

Halafu unasema UZUNGU ni mazimwi? Yaani yesu NI ZIMWI?

Ama mtoto wewe una laana ya BABA mtakatifu PENGO Akiongozwa na PAPA mkuu wa Vatican. Dume lililoshinda tamaa za kimwili na likakaa miaka 60 bila mwanamke.

Wewe ni pepo mchafu!

Shindwaaaaaaa!
Nasema shindwaaaaa! Kwa jiiiiiiiiiiiiiina la yesu.

Amen.

Cc Nkwesa Makambo 2013 Gavana MUNGU SI MZUNGU Polite Kakende.
mi sijazaliwa mwambao.. mipasho na mimi mbalimbali...kantangazee
 
Kwa mujibu wa vitabu vya dini mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni Adamu kisha Eva ambao walikuwa sio watu weusi, ni nini kilitokea mpaka watu weusi wakatokea duniani?

Hili swala la uumbaji ni gumu sana maana si weusi tu, kuna wachina, wasomali, wahindi nk hapo nahisi uumbaji uliendelea kila bara ila kwa vile watu muhimu ni Adam na Eva hao wengine hawakuzungumziwa kwenye vitabu vitakatifu.
 
naomba niitimishe mjadala huu kwa jibu litakaloeleweka kwa urahisi kabisa


rangi nyeusi ni matokeo ya evolution ya binadamu kwa maana kwamba hapo zamani kulikua hakuna watu wafupi, weusi, wembamba, vilema,albino, wanaume wenye maziwa wala wanawake wenye ndefu ila kutokana na evolution kuendelea ndio matokeo ya mtu mweusi

Evolution itokee inafactor zake kwa mfano mtoto kua taahira haitoke tu bali kuna sababu zilizopelekea mtoto kuzaliwa hivyo labda pombe na sigara hata mtoto kuzaliwa kilema sababu ni hizohizo na mtu kuwa mweusi sababu ni hizo hizo na key source yaweza kua ni mazingira au heredity factor

Nadhani hapa imeeleweka maana hili jambo lipo wazi
 
appoh tutolee hapa maevolution yako ya kwenye history
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh!

Mi sijawahi kuona mchaga anaimba taarabu ispokuwa ni wewe tu!

Hebu tuambie hicho kitabu chenu cha mchakachuo kinasema Binaadamu wa kwanza alikuwa Yesu! Au sio!

Na yesu tumuonae kwenye picha zoote na masanamu yoote ni mzungu!

Mbona Science inakataa kuwa mtu wa kwanza HAKUWA MWEUPE?

Sasa nani MUONGO!
Yesu na biblia yake!? Au wanasayansi?

Mimi kama Yesu alikuwa Binadamu wa Kwanza sijui kitu hicho..honestly.

sasa kama Sayansi inakataa kuwa mtu wa Kwanza hakuwa Mweupe.. hii inategemea na intelligent yako kupambanua upi mchele upi ni chuya.
kama ujuavyo sayansi huwa ni evolution inayotokana na invention ya Binadamu. kuna mambo newtons aliyasema alipokuja Albert Einstein akam-prove wrong. Zamani walisema Atom can not be created nor destroyed lakini sasa it can be created and destroyed.

Sasa kama ulijifunza primary sayari zipo tisa leo hii wamekueleza zipo zaidi ya tisa ndo ujue kuwa sayansi is not static but dynamic. Sayansi pia ina argument nyingi sana siwezi eleza kwani Uzi utajaa lakini kwa mifano hii michache unaweza ukaelewa ugunduzi unavyobadilika kutokana na ujuzi. Zamani mtu akiugua waliamini ni mungu anatoa adhabu lakini sasa imegundulika ni pathogen na factors nyingine zinazoleta sickness na d'ses.

Historia tangu enzi za kina Socrate watu maarufu walikuwa wanachongwa kwenye mawe kuenziwa na michoro mbalimbali. Ukiona watu wanam-depict Yesu kwa michoro na masanamu ni kwakuwa alikuwa Binadamu, tofauti na Mungu na hii haimaanishi kitu zaidi ya kuweza kuwafanya wale wanaojifunza ku-share the same knowlege, the perspective kuhusu huyo Yesu anaeongelewa.Ndio maana baada ya maendeleo waliamua kutengeneza na filamu kabisa. Thats normal.

Nadhani hapa ungeenda kujifunza extension methods utaelewa umuhimu wa Models katika ufundishaji.Watu wa Medicine pia wanatumia Models mbalimbali ili kuelewa mifumo ya binadamu inavyofanya kazi na hii inawapa picha sawa.

Wazungu hapa walilielewa hili mapema. Kitu ambacho kwakuwa waarabu hawana Shule kama mtume wao alivyokuwa hana shule waliendelea kuwa delusional na pragmatic.
 
Back
Top Bottom