Left back-gunner
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 572
- 233
Weka picha ya Binadamu wa Kwanza....tuzione rangi zao...usilete mada mgando hapa...izo rangi zao sisi zitatusaidia nini...Kama unahisi watu weusi ni tatizo...hii ni shida yako wewe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulivoonggelea hilo ka twiga tu nikajua basi huyu mtu hata biology kaishia form four nikimueleza hawezi kuelewa... Hilo la twiga halikuwahi kukubalika kwenye biology hizo ni story mnapiga mtaani afu mnadanganyana science imesema hivo, usiisingizie science..
Naomba tuishie hapa maana kama ulikimbia biology kuna terms nyingi napenda ningezitumia kukuelekeza sema hatutoelewana ila hii ni true science na hadi leo imetumika the same knowledge kwenye mambo mbalimbali na yakafanya kazi kuprove kabisa kua si uongo... ni kama kusema equation ya force=massxgravity hakuna mwenye kusema newton aliitoa wapi, sema tumeitumia kwenye science na imetengeneza mashine nyingi sana mnazotumia leo hii, hiyo ndio inastand kama proof kua ni kweli... sasa same thing kwa evolution na genetics, kwa hiyo knowledge watu mnaosema ni uongo imetumika kufanya vitu ambavo vipo hadi leo.. Ndo maana narudia hapa ka biology ulikimbia afu una faith tutapelekeshana hadi mwaka utaisha, just so u know nina faith pia, ila hii sayansi haina uongo
nature is the source of everything it is all comes round. every race was there since then.
Biblia yasema" ....... Msinichunguze kwa kuwa ni MWEUSI-MWEUSI,kwa sababu ya JUA LIMENIUNGUZA". [WIMBO ULIO BORA 1:5~6]
Jibu ni kuwa wenzetu wazungu walituzidi sayansi kidogo tu ndipo wakafanikiwa kutufikia na wakaeneza mila na tamaduni zao kwetu ndipo wakatudanganya kuwa binadamu wa kwanza mzungu na aliishi kwao.pamoja na hayo wakashindwa kujibu maswali magumu ya waafrika kama hilo ulilouliza wewe ndipo tukabaini dini zao ni uongo tupu na hazina majibu kwa dini na mila za kiafrika.
vitabu vya dini ni mafundisho.umewahi kusikia hadithi ya mtoto mtukutu aliyeiba nyama na ikamkwama? Tanzania husemwa amepelekwa mnazi mmoja na Ghana husimulia hadithi hii hii na kusema mtoto amepelekwa hospital nyingine kabisaaa.these are tales.waafrika tumekuwa watumwa kwakuwa tunarubunika kirahisi na tulikuwa nyuma kwenye kuendelea.ukiangalia sifa za Buddha mitume wa wahindu zote hufanana na zile za wa kikristu ama kiislamu.hadithi husimuliwa kwa namna tofauti karibu kwa kila sehemu.
katafute masimulizi ya kina kinjekitile usikie kama adam na eva ni weupe
Unamaanisha TB joshua!?
hapana nadhani alimaanisha
JOSEPHAT MWINGIRA
Then WHO IS NATURE!
or to be more specific WHAT IS NATURE!?
mi sijazaliwa mwambao.. mipasho na mimi mbalimbali...kantangazeeNasema nakushtaki kwa yesu bwana wa majeshi ya kanisa akulaani wewe uendelee kuwa KOLOKOLONI mpaka atakaporudi (siku sijaijua).
We unakataa kuwa yesu wetu SIO MZUNGU.?
Na hapo hapo unafananisha BIBLIA NA KITABU CHA STORI ZA NGONO?
Halafu unasema UZUNGU ni mazimwi? Yaani yesu NI ZIMWI?
Ama mtoto wewe una laana ya BABA mtakatifu PENGO Akiongozwa na PAPA mkuu wa Vatican. Dume lililoshinda tamaa za kimwili na likakaa miaka 60 bila mwanamke.
Wewe ni pepo mchafu!
Shindwaaaaaaa!
Nasema shindwaaaaa! Kwa jiiiiiiiiiiiiiina la yesu.
Amen.
Cc Nkwesa Makambo 2013 Gavana MUNGU SI MZUNGU Polite Kakende.
Kwa mujibu wa vitabu vya dini mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni Adamu kisha Eva ambao walikuwa sio watu weusi, ni nini kilitokea mpaka watu weusi wakatokea duniani?
Teh teh teh!
Mi sijawahi kuona mchaga anaimba taarabu ispokuwa ni wewe tu!
Hebu tuambie hicho kitabu chenu cha mchakachuo kinasema Binaadamu wa kwanza alikuwa Yesu! Au sio!
Na yesu tumuonae kwenye picha zoote na masanamu yoote ni mzungu!
Mbona Science inakataa kuwa mtu wa kwanza HAKUWA MWEUPE?
Sasa nani MUONGO!
Yesu na biblia yake!? Au wanasayansi?