Kama CCM ni chama cha watu wajinga, imetokeaje watutawale zaidi ya miaka 60?

Kama CCM ni chama cha watu wajinga, imetokeaje watutawale zaidi ya miaka 60?

Mabavu yapi jenga hoja mbona nchi nyingine zimefanikiwa kuondoa chama tawala.
Hao waliofanikiwa ni kwa sababu waliweza kuandamana kukipinga chama tawala, hapa Tanzania ukifanya hivyo unatekwa na kuuliwa au mnakamatwa na polisi na kunyanyaswa kijinsia ili kutishia wananchi wengine wasirudie kuandamana. Ukweli ni kwamba Watanzania hawaipendi CCM tena kwani ishabainika wao si chama kitakachotuletea maendeleo.
 
Utawasikia CHADEMA wanakuambia ccm ni chama cha WATU wajinga Ila inawezekana vipi wajinga waitawale nchi hii miaka 60?
Kwa mujibu wa TWAWEZA CC inaungwa mkono na wajina na watu wasiokuwa na ELIMU.
Kwa mujibu wa Polepole kuna CABLES za kuchakachua matokeo zilizounganishwa kati ya NEC, CCM na NIDA
kanusha kama haya siyo kweli
 
Back
Top Bottom