Bi Mwenda alichaguliwa na nani?Sasa ndiyo anauliza kwanini nyie wenye akili mkubali kuongozwa na bi mwenda na genge lake asiye na akili?jibu hoja bwana!!
Bi Mwenda alichaguliwa na nani?Sasa ndiyo anauliza kwanini nyie wenye akili mkubali kuongozwa na bi mwenda na genge lake asiye na akili?jibu hoja bwana!!
Mimi huyu huyu? Niliacha ajira 2009, sijui ulikua wapi kipindi hicho, hadi sasa Nina watu zaidi ya kumi nimewaajiri. Nadhani ni muhimu kabla ya kujibu uangalie profile ya unayetaka kumjibu. Inapunguza kuandika utumboUkiona MTU kakuajiri ujue anakuzidi akili , ungekuwa na akili ungetengeza ajira yako
Hilo swali waulize chademaCHADEMA wameshindwaje kutawala?
Kwahiyo wewe mwenye akili unatawala bila mabavu sasa??Si kweli, mwenye akili hatumii mabavu kutawala
Sasa kama ndani ya chama anateuliwq baba levo kugombea ubunge unategemea chama kiwe na wenye akili kweli?. Mtu ambaye hajui hata KAZI ZA BUNGE.
Vingereza vyako vilikuwa kwaajili ya kuwatumikia wakoloni ktk kada za chini havina nafasi kwa sasa mzee!!Docile mentality, mkubwa hakosei! Ukihoji sana unaonekana mtukutu na hufai.
Una chokonolewa au?, nani kakwambia mimi naishi kigoma?. Punguza mihemko na nyege mshindo...nyanokoWewe Sasa mwenye akili umefanya nini kuhakikisha huyo Baba Levo kilaza hakuongozi?
ndani ya mitaa ya Khartoum Sudani
Huna hoja kaote moto huko jikoni na ke wenzio.Nishaona kuwa akili yako inamiss some links, kwa heri✋🏾✋🏾, nishakuambia kuwa CCM inatumia mabavu kutuendesha bado tu unataka kubishana.
CCM ndio inawapenda watu kama hawa ili iwaburuze. Mtu unataka ubunge hujui hata maana ya muswada, hakika watanzania tumegeuzwa misukuleSasa kama ndani ya chama anateuliwq baba levo kugombea ubunge unategemea chama kiwe na wenye akili kweli?. Mtu ambaye hajui hata KAZI ZA BUNGE.
Sasa wewe unayejua maana ya mswada kwanini ukubali kuongozwa na wajinga wasiojua maana ya mswada bwana??CCM ndio inawapenda watu kama hawa ili iwaburuze. Mtu unataka ubunge hujui hata maana ya muswada, hakika watanzania tumegeuzwa misukule
Una chokonolewa au?, nani kakwambia mimi naishi kigoma?. Punguza mihemko na nyege mshindo...nyanoko
Tiss, secret service, deep state, bunge, jwtz, serikali kuu, mahakama na taasisi zote zimejaa watanzania hawa hawa. Kinachofanywa na ikulu leo ni uhalisia wa maisha ya mtanzania.
Hivi wewe unaona CCM wana akili? Hii nchi wametawala kwa sababu wanatumia mabavu, kuanzia wakati wa chama kimoja......Kwani huyo mwanzilishi Nyerere alitaka kupinduliwa mara ngapi? Kwa taarifa yako alitaka kupinduliwa zaidi ya mara tatu, tangu wakati wa Bibi Titi, wakati wa Kambona, jeshi likiongozwa na Gen. Sarakikya mara ya tatu, jeshi la anga enzi za akina huyo Hans Pope.........Hesabu za haraka haraka zimefikia mara nne....hizo ni tunazozijua sisi. Bado kuna zingine za ndani.......CCM ni chama cha watu wajinga siyo siri.......Mambo mnayoyafanya yana-prove ujinga wenu.Utawasikia CHADEMA wanakuambia ccm ni chama cha WATU wajinga Ila inawezekana vipi wajinga waitawale nchi hii miaka 60s?
Huyo atakuwa mbunge wako na kiongozi wako..., Mbunge anachaguliwa kuwakilisha jimbo lake na sio shughuli za kitaifa....!!. Ccm mna nyenge za ******* kumaniner zenu.hahahaha, kwahiyo mkuu kumzuia Baba Levo kuwa kiongozi lazima uwe Kigoma?.
Kumbuka Baba Levo anakwenda Bungeni kutunga Sheria na Sheria anazozitunga ndio zinatumika Kwa watu wote, Mimi na wewe.
sasa wewe mwenye akili umefanya nini kuhakikisha Baba Levo haendi bungeni?
ndani ya mitaa ya Khartoum Sudani.
AlrightVingereza vyako vilikuwa kwaajili ya kuwatumikia wakoloni ktk kada za chini havina nafasi kwa sasa mzee!!
Wewe pia uko kwenye kundi la wajingaKwanini mkubali kushindwa basi acheni kuwadanganya watu kuwa mtawatia wajinga ccm madarakani walio wengi,huo ni utapeli!!
Kwa hiyo na wewe uko kwenye kundi la wajinga na hivyo wewe pia ni mjinga?Kwanini mkubali kushindwa basi acheni kuwadanganya watu kuwa mtawatia wajinga ccm madarakani walio wengi,huo ni utapeli!!
Huyo atakuwa mbunge wako na kiongozi wako..., Mbunge anachaguliwa kuwakilisha jimbo lake na sio shughuli za kitaifa....!!. Ccm mna nyenge za ******* kumaniner zenu.
Wewe ni kopo tupu na mnafiki wa kutupwa wala hukukosea!!Wewe pia uko kwenye kundi la wajinga
Kwa hiyo na wewe uko kwenye kundi la wajinga na hivyo wewe pia ni mjinga?