Kama CCM ni chama cha watu wajinga, imetokeaje watutawale zaidi ya miaka 60?

Kama CCM ni chama cha watu wajinga, imetokeaje watutawale zaidi ya miaka 60?

Ccm ipo kwasababu imejiungamanisha na vyombo vya dora.Ni ngumu kutenganisha ccm na vyombo vya doraWote wanafanya kazi kwa maslahi ya ccm.Wanakula kiapo kuilinda serikali ambayo ni ccm kwenye koti la serikali.Bila hivyo ccm wangekuwa wahenga.
Nyie simna akili sasa hivyo vyombo vya dora si vya ccm waliowajinga vinawashindaje wakati nao ni wajinga?
 
20250306_220028.jpg
 
Yaani kwa post yako imeonesha jinsi gani ccm ni wajinga kweli...nimeamini ndo unajenga hoja kisa ccm kukaa madarakani miaka 10!? Swali ni kwa uchaguzi huru au kuiba kura!?
 
Wewe
Sasa kama ndani ya chama anateuliwq baba levo kugombea ubunge unategemea chama kiwe na wenye akili kweli?. Mtu ambaye hajui hata KAZI ZA BUNGE.
Wewe unayejua kazi za bunge kwanini hujateuliwa na chama chako?
 
Jibu swali kwanini nyie wenye akili mtawaliwe nawajinga kama ccm tangu 1960s acha ubabaishaji hapa
We ni mpumbavu kama wqpumbavu wa ccm!. Toka 1960 umewahi kusikia polisi wamemkamata mwenyekiti au katibu wa ccm?, au kuna Mwanachama wa ccm ameshitakiwq kwa uchochezi?. Bta wewe...m.fuvck
 
Utawasikia CHADEMA wanakuambia ccm ni chama cha WATU wajinga Ila inawezekana vipi wajinga waitawale nchi hii miaka 60s?
Wajinga wapo ngazi za chini kwenye mashina na matawi. Ngazi za juu mfano taifa ni watu wenye akili zao, wajanja na wana mikakati. Sema kila jambo na wakati wake!
 
Wanaopokea 7k ili kuuza kura for the next 5 years ni wengi kuliko wasiopokea, ndio maana unaskia neno wajinga linatumika kuwatambulisha.
 
CCM bila vyombo vya ulinzi na usalama ni TLP ya kijani.
 
Ujinga ni muungano wa kijinga, ukiondoka huo Tanganyika hakutakuwa na ujinga.
 
Unaweza ukawa kilaza ukasapotiwa na hivyo vyombo.?
Kwani hujui Bi Mwenda ni kilaza aliyepata division 0 form four?

Hapo yupo kwa support ya genge la wahuni walioviteka vyombo hivyo na kusimika makada katika nafasi za juu.
 
We ni mpumbavu kama wqpumbavu wa ccm!. Toka 1960 umewahi kusikia polisi wamemkamata mwenyekiti au katibu wa ccm?, au kuna Mwanachama wa ccm ameshitakiwq kwa uchochezi?. Bta wewe...m.fuvck
Hapo sasa ndiyo anauliza kwanini tangu 1960s huo ujinga wa viongozi wa ccm na wanachama wao unafanywa na wajinga ccm nyie wenye akili mpo na mnakubali tu??
 
Back
Top Bottom