Kama CCM ni chama cha watu wajinga, imetokeaje watutawale zaidi ya miaka 60?

Kama CCM ni chama cha watu wajinga, imetokeaje watutawale zaidi ya miaka 60?

Kwani hujui Bi Mwenda ni kilaza aliyepata division 0 form four?

Hapo yupo kwa support ya genge la wahuni walioviteka vyombo hivyo na kusimika makada katika nafasi za juu.
Sasa ndiyo anauliza kwanini nyie wenye akili mkubali kuongozwa na bi mwenda na genge lake asiye na akili?jibu hoja bwana!!
 
TAL alisema tutakinukisha, hatukumueewa...Mapinduzi yataanza na CCM ndaa kwa ndaa..!
 
Ccm ipo kwasababu imejiungamanisha na vyombo vya dora.Ni ngumu kutenganisha ccm na vyombo vya doraWote wanafanya kazi kwa maslahi ya ccm.Wanakula kiapo kuilinda serikali ambayo ni ccm kwenye koti la serikali.Bila hivyo ccm wangekuwa wahenga.
Kwanini wajinga wajiunganishe na vyombo vya dola halafu nyie mwenye akili mnakubali tu tangu 1960s?acha ufara bwana!!
 
Dola, mahakama na inec ndo mbeleko yao tu, welevu wachache ndani ya ccm ndo wanajitahidi hizo mbeleko wasizikose maana wanajua wakizikosa tu hawana kitu tena.
 
Back
Top Bottom