Kama CCM ni chama cha watu wajinga, imetokeaje watutawale zaidi ya miaka 60?

Kama CCM ni chama cha watu wajinga, imetokeaje watutawale zaidi ya miaka 60?

Utawasikia CHADEMA wanakuambia ccm ni chama cha WATU wajinga Ila inawezekana vipi wajinga waitawale nchi hii miaka 60s?
Kwani kuna limitations ya mtu mjinga kukutawala? Anaweza kukutawala hadi na vizazi vyako vyote. CCM na majizi
 
Kwani sisiemu inatawala au wanamtandao? Familia zisizozidi 100 tu zimeshika utamu, wengine wote kenge tu tunaswagwa
 
Utawasikia CHADEMA wanakuambia ccm ni chama cha WATU wajinga Ila inawezekana vipi wajinga waitawale nchi hii miaka 60s?

Inawezekanajw Mwizi wa Darasa la saba 7 kumuibia mtu mwenye CPA Nyumbani kwake? Hayo maswali yanafanana ndugu yangu,

Vibaka wana akili nzuri tu, ila wana ujasiri wa ajabu wa uhalifu, ndo CCM yako, au nasema uongo ndugu zanguni ccm?

Yani ukiacha masihahara na uchawa, tumefika mahali nchi nzima inasema na kuamini mtu pekee wa kututoa hapa tulipo vizuri ni Mheshimiwa Lisu!

Hata ma CCm yanaamini hivyo, sema yako kimya na hayaongei, kwa namna nchi ilipofika, mikataba ya hovyo na mengineyo, mtu pekee anayeweza kutuvusha ni Lisu.

Mungu fundi, hii round about Ccm hawatokei, watazunguka hapa within hii miezi michache then gari litaisha mafuta na hawataenda popote, laiti wangalijua wangeachia wananchi nchi yao wakati huu.
 
Utawasikia CHADEMA wanakuambia ccm ni chama cha WATU wajinga Ila inawezekana vipi wajinga waitawale nchi hii miaka 60s?

Chadema walisema lini hayo? Wewe ndiye unawaita CCM Wajinga.

Ila kwa sasa chama kinaongozwa na Wahuni. Wameipiga serikali photocopy.
 
Utawasikia CHADEMA wanakuambia ccm ni chama cha WATU wajinga Ila inawezekana vipi wajinga waitawale nchi hii miaka 60s?

Fungueni vyungu tujiridhishe:

IMG_20240428_070927.jpg


Gwajima kasema yote, CCM haipo madarakani Kwa ridhaa za watu bali kwa wizi ndiyo maana haiwahemu watu na matakwa yao.
 
Fungueni vyungu tujiridhishe:

Gwajima kasema yote, CCM haipo madarakani Kwa ridhaa za watu bali kwa wizi ndiyo maana haiwahemu watu na matakwa yao.
Kwa hiyo.yeye na Uaskofu wake aliingia bungeni kwa wizi ? Askofu mzima mbona hakujiuzulu huo ubunge?
Askofu alishiriki kuiba kura ili awe mbunge?
 
Back
Top Bottom