UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Unamjua Mbowe? Au unamzungumzia zitoSiku ile ya kuapishwa Halima aliposema anamshukuru Mwenyekiti kwa kuwaruhusu kwenda bungeni, nilijua Mbowe ana mkono wake pale.
Watapeleka ushahidi upi ulioghushiwa ikiwa Tume na Bunge walikataa kutoa barua zilizodaiwa kuandika na Mnyika?Kuna mahali au tuseme hatua za kuchukua ambazo chama kilitakiwa kuzifuata ikiwemo kutoa taarifa kwa taasisi husika eg Polisi,Tume ya uchaguzi na nk.
Ninachokiona ni chama kushanbuliwa na wakosaji badala ya wakosaji kushambuliwa na chama.
Ina maana Serekali inaweza kufanya uhuni wa kiwango hiki !...inawezekana wameteuliwa kwa MAAGIZO tu na hakuna nyaraka zozote za uteuzi wao.
..wangekuwa wameteuliwa na Cdm basi tume na bunge wangekuwa wameshatoa ushahidi wa kuthibitisha hilo.
Mkono upi? Utaratibu lazima Kamati kuu kipitishe maamuzi na majina anapeleka Katibu Mkuu toka lini Mwenyekiti anapeleka majina so ilipaswa NEC wayakatae!!Siku ile ya kuapishwa Halima aliposema anamshukuru Mwenyekiti kwa kuwaruhusu kwenda bungeni, nilijua Mbowe ana mkono wake pale.
Na serikali inamfichia siri Mbowe asiadhirike. Halafu ilikubali “ombi lake” la kumteua Nusrat na kumtoa jela Singida usiku chap chap akaapishwe Dodoma asubuhi kesho yake. Ndani ya awamu ya tano na ya sita! 🤔Ukweli ulio rahisi kueleweka ni kwamba Mbowe alikuwa anajua kila kitu na aliruhusu kutumiwa kwa nyaraka original za chama.
Hizo nyingine ni porojo za kawaida za chadema.
Mkongwe unadhani kipindi kile chá jiwe ni nani ambaye yupo tayar kushughika na kufungua kesi za chadema?Kuna mahali au tuseme hatua za kuchukua ambazo chama kilitakiwa kuzifuata ikiwemo kutoa taarifa kwa taasisi husika eg Polisi,Tume ya uchaguzi na nk.
Ninachokiona ni chama kushanbuliwa na wakosaji badala ya wakosaji kushambuliwa na chama.
Heshima sana wanajamvi,
Ikiwa Mdee na genge lake waligushi nyaraka na hatimaye wakafanikiwa kuwa wabunge !.
Ni kwanini mpaka leo chadema hawajawafunguliwa Mdee na wenzake kesi ya kugushi !.
...
Nadhani kuna shida hapa lakini hatuambiwi ukweli.
Ngongo kwasasa Kigali.
Kesi ya kughushi ni jinai inafunguliwa na Jamhuri.
Mahakamani ndio sehemu nzuri ya kujua kila kitu. Kina Halima walijua vizuri mgogoro utaishia mahakamani na watapata nafasi ya kuwasilisha utetezi wao bila mihemko ya mashabiki nnya wa Chadema
Kesi yao ni kuhusu kuvuliwa uanachama na si suala ubunge wao. Sitegemei kama watawasilisha chochote kipya kuhusu wao kuingia bungeni. Kingekuwepo, kingeisha wasilishwa zamani na Bunge/NEC ili kuwaumbua Chadema. Hizi ni delaying tactics za kuwaongezea muda wa kukaa Bungeni na pengine kwa mtazamo wao kuwakomoa Chadema. Siamini kama wana nia ya dhati ya kubakia Chadema baada ya yote haya.
Amandla...
Badala yake kila kukicha viongozi wa CHADEMA wanakimbilia kwenye vyombo vya habari kulaani. Hata jana wameongea na Wanahabari kuhusu sakata la hao Wabunge wakati kesi iko mahakamani. Msikilize Naibu Katibu Mkuu Bara.
AIBU
Kesi yao ni kuhusu kuvuliwa uanachama na si suala ubunge wao. Sitegemei kama watawasilisha chochote kipya kuhusu wao kuingia bungeni. Kingekuwepo, kingeisha wasilishwa zamani na Bunge/NEC ili kuwaumbua Chadema. Hizi ni delaying tactics za kuwaongezea muda wa kukaa Bungeni na pengine kwa mtazamo wao kuwakomoa Chadema. Siamini kama wana nia ya dhati ya kubakia Chadema baada ya yote haya.
Amandla...
Najua mnaogopa ila kesi ya kuvuliwa uanachama inaenda sambamba na sababu ya kuvuliwa uanachama. Mdee na wenzake wataweka kila kitu wazi kuanzia barua ya kwenda bungeni alisaini nani mpaka baraka alizotoa Mbowe watazisema wamekaa kimya mmewahukumu subirini na wao waongee mtaficha sura zenu mashabiki wa MboweKesi yao ni kuhusu kuvuliwa uanachama na si suala ubunge wao. Sitegemei kama watawasilisha chochote kipya kuhusu wao kuingia bungeni. Kingekuwepo, kingeisha wasilishwa zamani na Bunge/NEC ili kuwaumbua Chadema. Hizi ni delaying tactics za kuwaongezea muda wa kukaa Bungeni na pengine kwa mtazamo wao kuwakomoa Chadema. Siamini kama wana nia ya dhati ya kubakia Chadema baada ya yote haya.
Amandla...
Utashitaki kwa polisi ipi?Vuteni subra
kuna watu wanaandika vitu mpaka unafikiri huyu ana akili timamu kweli? Yaani Mbowe kukana, Wahusika kina Mdee hawajawahi kumtaja Mbowe, Serikali wala CCM haijawahi hata kuja hadharani kumtuhumu Mbowe, Kamati Kuu na Baraza la Chama hakukuwa na hiyo hoja. Halima na washenzi wenzie walikuwa pale.Mkono upi? Utaratibu lazima Kamati kuu kipitishe maamuzi na majina anapeleka Katibu Mkuu toka lini Mwenyekiti anapeleka majina so ilipaswa NEC wayakatae!!
Kingine Baraza kuu limewatimua sasa whether Mbowe aliwatuma or not inatuhusu nini wanachama?
..huko serikalini wako watu wenye tabia za kila aina.Ina maana Serekali inaweza kufanya uhuni wa kiwango hiki !.
Tuliambiwa tutaficha sura zetu ushahidi utakapowekwa wazi kuthibitisha kuwa Mbowe ni gaidi. Nani aliyeficha sura ? Hii nayo itakuwa hivyo hivyo! Yaani Ndugai awe na barua ya kuthibitisha kuwa Mnyika au Mbowe walitoa baraka zake na aifiche kwa sababu anawapenda sana Chadema!Najua mnaogopa ila kesi ya kuvuliwa uanachama inaenda sambamba na sababu ya kuvuliwa uanachama. Mdee na wenzake wataweka kila kitu wazi kuanzia barua ya kwenda bungeni alisaini nani mpaka baraka alizotoa Mbowe watazisema wamekaa kimya mmewahukumu subirini na wao waongee mtaficha sura zenu mashabiki wa Mbowe
Kweli kabisa ingawa sidhani kama watahamia CCM maana huko bado watu wanawachukia. Watahamia ACT Wazalendo au vyama vingine kama hicho. Wengine watapewa vyeo vya kiutendaji kama RC, DC, wakurugenzi, wajumbe wa bodi n.k. Wengine ndio itakuwa mwisho kweli wa safari yao, wataendelea na vitega uchumi vyao watakavyokuwq wameanzisha katika wakati huu wa mavuno.Hakuna uwezekano wa wao kubaki tena CDM bila kujali kitakachotokea kwenye hii kesi. Wale wanaotegemea siasa moja kwa moja watahamia vyama vingine hasa CCM ili kuendelea kupata ulaji. Na wengine nadhani itakuwa ni mwisho wa siasa kwao, au hata kama watabaki kwenye siasa watakuwa wamepoteza ushawishi.