johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Majina yaliyotolewa ni ya awali tu , mengine yenye rufaa ama makandokando mengine yatakufikia muda si mrefu , chadema imeweka wagombea kwenye majimbo yote ya TanganyikaTanzania bara kuna jumla ya majimbo 214 ya uchaguzi na Zanzibar majimbo 50.
Chadema imetangaza kuweka wagombea katika majimbo 163 sawa na 76% ya majimbo yote ya Tanzania bara. Hivyo basi uwezekano wa Chadema kuunda serikali ama ni finyu sana au haupo kabisa kwa sababu hadi sasa kuna majimbo 51 haina wagombea achilia mbali watayofeli katika hayo 163...
Raia makada wenu mnaowapa bundle kutuliza upepo mtandaoni. Achana na Facebook mambo yote huku watu wana fake Id huwezi jua nani ni nani. Huku ndo kuna mawazo huru!!Mkuu nenda kwenye page ya Mnyika kule facebook uone maoni ya raia kwenye kile kipande cha hotuba ya Lisu jana pale dodoma.
Chadema imekimbiwa
Tanzania bara kuna jumla ya majimbo 214 ya uchaguzi na Zanzibar majimbo 50...
Huyu jamaa huwa anaona fahari kuanzisha nyuzi hata kama hazina kichwa wala miguu Ilimradi aongeze idadi ya threads alizoandika!
Mkuu Yohana Mbatizaji, kiukweli nimetokea kuipenda objectivity yako.Tanzania bara kuna jumla ya majimbo 214 ya uchaguzi na Zanzibar majimbo 50.
Chadema imetangaza kuweka wagombea katika majimbo 163 sawa na 76% ya majimbo yote ya Tanzania bara...
Buddy upo salama? Uliadimika humu jukwaani mpaka Star TV jana hukuonekana. Kulikoni!?Mkuu Yohana Mbatizaji, kiukweli nimetokea kuipenda objectivity yako.
Hili unalolizungumzia kuhusu uwezo wa Chedema kutawala nchi, tumeisha lijadili sana humu tangu ile 2015, nothing has changed
CHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015
P
UmekurupukaMkuu Yohana Mbatizaji, kiukweli nimetokea kuipenda objectivity yako.
Hili unalolizungumzia kuhusu uwezo wa Chedema kutawala nchi, tumeisha lijadili sana humu tangu ile 2015, nothing has changed
CHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015
P
Na watu watapiga kura za hasira.Majina yaliyotolewa ni ya awali tu , mengine yenye rufaa ama makandokando mengine yatakufikia muda si mrefu , chadema imeweka wagombea kwenye majimbo yote ya Tanganyika
List ya pili in the making!Tanzania bara kuna jumla ya majimbo 214 ya uchaguzi na Zanzibar majimbo 50...
Unalipwa bei gani kila uzi,maana kila dakika unatupia pumbaTanzania bara kuna jumla ya majimbo 214 ya uchaguzi na Zanzibar majimbo 50.
Chadema imetangaza kuweka wagombea katika majimbo 163 sawa na 76% ya majimbo yote ya Tanzania bara. Hivyo basi uwezekano wa Chadema kuunda serikali ama ni finyu sana au haupo kabisa kwa sababu hadi sasa kuna majimbo 51 haina wagombea achilia mbali watayofeli katika hayo 163...
Mkuu nenda kwenye page ya Mnyika kule facebook uone maoni ya raia kwenye kile kipande cha hotuba ya Lisu jana pale dodoma.
Chadema imekimbiwa
Duh! kweli?johnthebaptist kwanini jina la Dr Ndungulile limekatwa Kigamboni?
Wanawapa Chadema nafasi ya ushindi kama wanaletewa mgombea wasie mchagua.duh,kweli?
Wewe ulipata kura 0 unasapoti uahira huu. Kweli ulistahil kadhibiwe na wajumbe.Mkuu Yohana Mbatizaji, kiukweli nimetokea kuipenda objectivity yako.
Hili unalolizungumzia kuhusu uwezo wa Chedema kutawala nchi, tumeisha lijadili sana humu tangu ile 2015, nothing has changed
CHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015
P
Duh , wajumbe si watu wazuri.Mkuu Yohana Mbatizaji, kiukweli nimetokea kuipenda objectivity yako.
Hili unalolizungumzia kuhusu uwezo wa Chedema kutawala nchi, tumeisha lijadili sana humu tangu ile 2015, nothing has changed
CHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015
P