Uchaguzi 2020 Kama chama kikuu cha upinzani uwezo wake ni kugombea kwenye majimbo 163 kati ya 214 yaliyopo kuna haja ya wapinzani kushirikiana!

Uchaguzi 2020 Kama chama kikuu cha upinzani uwezo wake ni kugombea kwenye majimbo 163 kati ya 214 yaliyopo kuna haja ya wapinzani kushirikiana!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tanzania bara kuna jumla ya majimbo 214 ya uchaguzi na Zanzibar majimbo 50.

Chadema imetangaza kuweka wagombea katika majimbo 163 sawa na 76% ya majimbo yote ya Tanzania bara.

Hivyo basi uwezekano wa CHADEMA kuunda serikali ama ni finyu sana au haupo kabisa kwa sababu hadi sasa kuna majimbo 51 haina wagombea achilia mbali watayofeli katika hayo 163.

Kwa maana hiyo utaona umuhimu wa vyama vya upinzani kuweka itikadi pembeni na kushirikiana.

2020 Hakunaga kama Dkt. Magufuli!
 
Tanzania bara kuna jumla ya majimbo 214 ya uchaguzi na Zanzibar majimbo 50.

Chadema imetangaza kuweka wagombea katika majimbo 163 sawa na 76% ya majimbo yote ya Tanzania bara. Hivyo basi uwezekano wa Chadema kuunda serikali ama ni finyu sana au haupo kabisa kwa sababu hadi sasa kuna majimbo 51 haina wagombea achilia mbali watayofeli katika hayo 163...
Majina yaliyotolewa ni ya awali tu , mengine yenye rufaa ama makandokando mengine yatakufikia muda si mrefu , chadema imeweka wagombea kwenye majimbo yote ya Tanganyika
 
Mkuu nenda kwenye page ya Mnyika kule facebook uone maoni ya raia kwenye kile kipande cha hotuba ya Lisu jana pale dodoma.

Chadema imekimbiwa
Raia makada wenu mnaowapa bundle kutuliza upepo mtandaoni. Achana na Facebook mambo yote huku watu wana fake Id huwezi jua nani ni nani. Huku ndo kuna mawazo huru!!
 
Subpost 6 - Walioteuliwa na Chadema kupeperusha bendera ya Chadema katika majimb ( 800 X 640 ).jpg
 
Tanzania bara kuna jumla ya majimbo 214 ya uchaguzi na Zanzibar majimbo 50.

Chadema imetangaza kuweka wagombea katika majimbo 163 sawa na 76% ya majimbo yote ya Tanzania bara...
Mkuu Yohana Mbatizaji, kiukweli nimetokea kuipenda objectivity yako.
Hili unalolizungumzia kuhusu uwezo wa Chedema kutawala nchi, tumeisha lijadili sana humu tangu ile 2015, nothing has changed
CHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015
P
 
Majina yaliyotolewa ni ya awali tu , mengine yenye rufaa ama makandokando mengine yatakufikia muda si mrefu , chadema imeweka wagombea kwenye majimbo yote ya Tanganyika
Na watu watapiga kura za hasira.
 
Wakikumbuka

kutekwa
Kuuwawa
Azory
Ben
Akwilina
Democracy
Ubabe

Hakuna atakaekubali kuishi maisha hayo Tena kwa miaka mitano mingine.
 
Tanzania bara kuna jumla ya majimbo 214 ya uchaguzi na Zanzibar majimbo 50.

Chadema imetangaza kuweka wagombea katika majimbo 163 sawa na 76% ya majimbo yote ya Tanzania bara. Hivyo basi uwezekano wa Chadema kuunda serikali ama ni finyu sana au haupo kabisa kwa sababu hadi sasa kuna majimbo 51 haina wagombea achilia mbali watayofeli katika hayo 163...
Unalipwa bei gani kila uzi,maana kila dakika unatupia pumba
 
Mkuu nenda kwenye page ya Mnyika kule facebook uone maoni ya raia kwenye kile kipande cha hotuba ya Lisu jana pale dodoma.

Chadema imekimbiwa

Ahaaaa ahaaaa, mkuu unachekesha ile mbaya, naona vijana mliowapa kazi huku mitandaoni ndio mmewatuma kwenda kutapika huko kwenye hiyo page ya Mnyika, ndio unataka tukaonee maoni huko?

Inaonyesha maoni yaliyopo huko ndio yamebeba matamanio yako, hivyo unataja tukayaonee huko! Kwanini ww usiyaweke huku maana hata sisi tunajadiliana pia?

Kwahiyo maoni ya watanzania yako kwenye hiyo page ya facebook ya Mnyika tu, mbona msiyaweke huku? Naona pumzi imekata. Mwambie Dr. Bashiru, Polepole nk nao waingie na verified I'd huku jukwaani, kisha utuite tuangalie maoni.
 
Back
Top Bottom