johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tanzania bara kuna jumla ya majimbo 214 ya uchaguzi na Zanzibar majimbo 50.
Chadema imetangaza kuweka wagombea katika majimbo 163 sawa na 76% ya majimbo yote ya Tanzania bara.
Hivyo basi uwezekano wa CHADEMA kuunda serikali ama ni finyu sana au haupo kabisa kwa sababu hadi sasa kuna majimbo 51 haina wagombea achilia mbali watayofeli katika hayo 163.
Kwa maana hiyo utaona umuhimu wa vyama vya upinzani kuweka itikadi pembeni na kushirikiana.
2020 Hakunaga kama Dkt. Magufuli!