Chikumba one
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 1,009
- 1,642
Mkuu Yohana Mbatizaji, kiukweli nimetokea kuipenda objectivity yako...
Naona umekasirika!unalipwa bei gani kila uzi,maana kila dakika unatupia pumba
DED na Afisa elimu wa Kigamboni wamepandishwa vyeo kwa kazi nzuri......unaijua?unalipwa bei gani kila uzi,maana kila dakika unatupia pumba
Ya majimbo 51 ya bara na 50 Zanzibar jumla 101.List ya pili in the making!
Unamjua Mrema wa Tabata segerea?Wanawapa Chadema nafasi ya ushindi kama wanaletewa mgombea wasie mchagua.
Mbege haijaisha kichwani!ACHA UONGO CHADEMA WAMESIMAMISHA WAGOMBEA MAJIMBO YOTE 214 TANZANIA BARA
Chadema wanaishi kwa mazoea.Mkuu Yohana Mbatizaji, kiukweli nimetokea kuipenda objectivity yako.
Hili unalolizungumzia kuhusu uwezo wa Chedema kutawala nchi, tumeisha lijadili sana humu tangu ile 2015, nothing has changed
CHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015
P
Wapiga kura hawako Facebook au huku Jukwaani.Wako kwa mamilioni huko vijijini tena wengine hata simu ya kitochi hawana.Mkuu nenda kwenye page ya Mnyika kule facebook uone maoni ya raia kwenye kile kipande cha hotuba ya Lisu jana pale dodoma.
Chadema imekimbiwa
Hata kusoma watu hawaelewi-huyo ndio Bwashee wa Mzee Mgaya na bado anapata Like. Huu ndio ujinga.
Huyo mtu tukimwita mpuuzi atasema tunamtukana. Mtu kasikia maelezo kuwa hii ni awamu ya kwanza ya majina lakini anataka kupotosha na mbulula mwenzie anamsapoti.Majina yaliyotolewa ni ya awali tu , mengine yenye rufaa ama makandokando mengine yatakufikia muda si mrefu , chadema imeweka wagombea kwenye majimbo yote ya Tanganyika
Mheshimiwa mbunge wa "Kawe" nawe unaingia kusapoti huu upupu kuwa Chadema ina wagombea 70% tuu wa Ubunge nchi nzima?Mkuu Yohana Mbatizaji, kiukweli nimetokea kuipenda objectivity yako.
Hili unalolizungumzia kuhusu uwezo wa Chedema kutawala nchi, tumeisha lijadili sana humu tangu ile 2015, nothing has changed
CHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015
P
Hahahaaaa........ mwaka huu mna awamu mbili?!Huyo mtu tukimwita mpuuzi atasema tunamtukana. Mtu kasikia maelezo kuwa hii ni awamu ya kwanza ya majina lakini anataka kupotosha na mbulula mwenzie anamsapoti.
Mtamkumbuka Lowassa mwaka huu bwashee!Mheshimiwa mbunge wa "Kawe" nawe unaingia kusapoti huu upupu kuwa Chadema ina wagombea 70% tuu wa Ubunge nchi nzima?
Usiache nawe tukakuita jina baya bure kwa kukubali mambo bila ya kutafiti.
Unaamini Jimbo la Kibamba linaweza kosa Mgombea?Tanzania bara kuna jumla ya majimbo 214 ya uchaguzi na Zanzibar majimbo 50.
Chadema imetangaza kuweka wagombea katika majimbo 163 sawa na 76% ya majimbo yote ya Tanzania bara...
Ya majimbo 51 ya bara na 50 Zanzibar jumla 101.
Kazi mnayo!
Hamna kapi la CCM litafanikiwa kuhama Chama safari hii.CCM wamebana majina mpaka dakika za Majeruhi ili wakose muda wa kuhamaHahahaaaa........ mwaka huu mna awamu mbili?!
Naona makapi ya CCM zamu hii yanaelekea ACT wazalendo mtasubiri sana!
Una kiherehere kama bao la kwanza.Tanzania bara kuna jumla ya majimbo 214 ya uchaguzi na Zanzibar majimbo 50.
Chadema imetangaza kuweka wagombea katika majimbo 163 sawa na 76% ya majimbo yote ya Tanzania bara..
Daahhh nashindwa kuelewa wana CCM huwa akili mnaacha wapi?Tanzania bara kuna jumla ya majimbo 214 ya uchaguzi na Zanzibar majimbo 50.
Chadema imetangaza kuweka wagombea katika majimbo 163 sawa na 76% ya majimbo yote ya Tanzania bara...
Zilongwa mbali zitendwa mbali.Daahhh nashindwa kuelewa wana CCM huwa akili mnaacha wapi?
Majina mengine siyanafuata?
kITU CHA kUSHANGAZA MIJI WANAYO IKIMBIA EITHER NI MIJI I YA WAISLAMU AU NI YA WASUKUMA,WANYAMWEZI, JEE HII INAMAANISHA NINI. HUWEZI MUONA HATA TUNDU AKIITAJA MIKOA KAMA TANGA, TABORA, PWANI, NK.Tanzania bara kuna jumla ya majimbo 214 ya uchaguzi na Zanzibar majimbo 50.
Chadema imetangaza kuweka wagombea katika majimbo 163 sawa na 76% ya majimbo yote ya Tanzania bara. Hivyo basi uwezekano wa Chadema kuunda serikali ama ni finyu sana au haupo kabisa kwa sababu hadi sasa kuna majimbo 51 haina wagombea achilia mbali watayofeli katika hayo 163...