Uchaguzi 2020 Kama chama kikuu cha upinzani uwezo wake ni kugombea kwenye majimbo 163 kati ya 214 yaliyopo kuna haja ya wapinzani kushirikiana!

Uchaguzi 2020 Kama chama kikuu cha upinzani uwezo wake ni kugombea kwenye majimbo 163 kati ya 214 yaliyopo kuna haja ya wapinzani kushirikiana!

Mwandishi uliesema huna Chama, bado unahisi unayo credibility ya kuongelea vyama vya upinzani na ukaaminika? Ningekuwa katika nafasi yako, nisingezungumzia tena masuala ya vyama vya siasa kwa logic ya kuwakosoa wapinzani, sababu kwa sasa huna tofauti na akina Polepole ama Msukuma..
Bado unao uwanja mpana wa kujadili masuala mengine ya Kitaifa na Kimataifa. Jikite zaidi huko.
Mkuu Yohana Mbatizaji, kiukweli nimetokea kuipenda objectivity yako...
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, kiukweli nimetokea kuipenda objectivity yako.
Hili unalolizungumzia kuhusu uwezo wa Chedema kutawala nchi, tumeisha lijadili sana humu tangu ile 2015, nothing has changed
CHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015
P
Chadema wanaishi kwa mazoea.

Halalafu wameshasahau boss wao John Mrema kapata kura 1 kama wewe lakini ndiye aliyepitishwa kugombea ubunge jimbo la Segerea.
 
Mkuu nenda kwenye page ya Mnyika kule facebook uone maoni ya raia kwenye kile kipande cha hotuba ya Lisu jana pale dodoma.

Chadema imekimbiwa
Wapiga kura hawako Facebook au huku Jukwaani.Wako kwa mamilioni huko vijijini tena wengine hata simu ya kitochi hawana.
 
Majina yaliyotolewa ni ya awali tu , mengine yenye rufaa ama makandokando mengine yatakufikia muda si mrefu , chadema imeweka wagombea kwenye majimbo yote ya Tanganyika
Huyo mtu tukimwita mpuuzi atasema tunamtukana. Mtu kasikia maelezo kuwa hii ni awamu ya kwanza ya majina lakini anataka kupotosha na mbulula mwenzie anamsapoti.
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, kiukweli nimetokea kuipenda objectivity yako.
Hili unalolizungumzia kuhusu uwezo wa Chedema kutawala nchi, tumeisha lijadili sana humu tangu ile 2015, nothing has changed
CHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015
P
Mheshimiwa mbunge wa "Kawe" nawe unaingia kusapoti huu upupu kuwa Chadema ina wagombea 70% tuu wa Ubunge nchi nzima?
Usiache nawe tukakuita jina baya bure kwa kukubali mambo bila ya kutafiti.
 
Huyo mtu tukimwita mpuuzi atasema tunamtukana. Mtu kasikia maelezo kuwa hii ni awamu ya kwanza ya majina lakini anataka kupotosha na mbulula mwenzie anamsapoti.
Hahahaaaa........ mwaka huu mna awamu mbili?!

Naona makapi ya CCM zamu hii yanaelekea ACT wazalendo mtasubiri sana!
 
Tanzania bara kuna jumla ya majimbo 214 ya uchaguzi na Zanzibar majimbo 50.

Chadema imetangaza kuweka wagombea katika majimbo 163 sawa na 76% ya majimbo yote ya Tanzania bara...
Unaamini Jimbo la Kibamba linaweza kosa Mgombea?
Kuna majimbo hawajatangaza tu lkn yana wagombea na baadhi nayajua na wagombea wake nawajua
 
Tanzania bara kuna jumla ya majimbo 214 ya uchaguzi na Zanzibar majimbo 50.

Chadema imetangaza kuweka wagombea katika majimbo 163 sawa na 76% ya majimbo yote ya Tanzania bara..
Una kiherehere kama bao la kwanza.
Ile na orodha ya awali, nyingine zinafuata.
 
Tanzania bara kuna jumla ya majimbo 214 ya uchaguzi na Zanzibar majimbo 50.

Chadema imetangaza kuweka wagombea katika majimbo 163 sawa na 76% ya majimbo yote ya Tanzania bara...
Daahhh nashindwa kuelewa wana CCM huwa akili mnaacha wapi?

Majina mengine siyanafuata??

Mbowe alisema wanasimamisha wagombea majimbo yote.

Hukuelewa nini?
 
Tanzania bara kuna jumla ya majimbo 214 ya uchaguzi na Zanzibar majimbo 50.

Chadema imetangaza kuweka wagombea katika majimbo 163 sawa na 76% ya majimbo yote ya Tanzania bara. Hivyo basi uwezekano wa Chadema kuunda serikali ama ni finyu sana au haupo kabisa kwa sababu hadi sasa kuna majimbo 51 haina wagombea achilia mbali watayofeli katika hayo 163...
kITU CHA kUSHANGAZA MIJI WANAYO IKIMBIA EITHER NI MIJI I YA WAISLAMU AU NI YA WASUKUMA,WANYAMWEZI, JEE HII INAMAANISHA NINI. HUWEZI MUONA HATA TUNDU AKIITAJA MIKOA KAMA TANGA, TABORA, PWANI, NK.
 
Back
Top Bottom