Chikumba one
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 1,009
- 1,642
Mwandishi uliesema huna Chama, bado unahisi unayo credibility ya kuongelea vyama vya upinzani na ukaaminika? Ningekuwa katika nafasi yako, nisingezungumzia tena masuala ya vyama vya siasa kwa logic ya kuwakosoa wapinzani, sababu kwa sasa huna tofauti na akina Polepole ama Msukuma..
Bado unao uwanja mpana wa kujadili masuala mengine ya Kitaifa na Kimataifa. Jikite zaidi huko.
Bado unao uwanja mpana wa kujadili masuala mengine ya Kitaifa na Kimataifa. Jikite zaidi huko.
Mkuu Yohana Mbatizaji, kiukweli nimetokea kuipenda objectivity yako...