Kama chama kimeshindwa kushughulikia na kumaliza issue ya wabunge 19 wa covid-19? Ni nini wataweza sasa

Unaa wa kichawa ndio unaokwamisha maendeleo ya taifa hili,wale wamekubali kuwa chawa wa gereji wenu tena kwa ahadi mnazojua halafu unaleta kebehi zako,hayo ndio yanayofanya chama lako chakavu kutumia mbeleko siku zote kuhakikisha uwepo wakeπŸ€ͺ
You have confirmed to the entire country that, you have stacked strategically politically speaking......

u don't have any alternatives or energy to move on, and thus you can do nothing wherever and forever when other institutions do anything to weaken or deconstract your institutionπŸ’

and that means your institution is useless and blames can not help you at all πŸ’
 
Dogo ukishiba maharage tunakuja kujamba JF
Unaandika upumbavu
mihemko ghadhabu, dharau na matusi yako yakusaidie mwenyewe, they are useless to me and I have nothing to do with it πŸ’

by the way,
your party is weak to defend itself, as well as you are all very weak to defend your party blunders politically speaking πŸ’

and that is not my problem, it is your problems πŸ’
 
Nikiona thread yako huwa nacheka sana, Ccm wana watu wajinga sana
 
Nani anakudanganya chama chao kimeshindwa?Au wewe ndiye uneshindwa tafsiri kwa kutumia mahakama?
 
Hivi akili huwa tunaziacha wapi? Chadema ilishafukuza hao watu na mahakama ilibariki maamuzi hayo. Spika ndie anapaswa kuwaambia watu hao wabunge wanafanya nini huko bungeni.
 
weak institutions is characterized by weak members like these πŸ’

Last time nimeona kibaraka Makamu mwenyekiti chadema huko mpwapwa, hutuba yake yote anajibu dongo lililorushwa na moja wa wa bunge wa COVID-19 anaitwa Halima Mdee kwamba anachokisema kwenye chama chake ni useless na kamwe hawezi kua mwenyekiti wa chadema Taifa hata afanye nini πŸ€“

Jamaa likapanic sana.....
kama sio mwanachama wa chadema, jamaa anababaika na nini kama kweli huyu mdada si mwanachama wa chadema 🀣

ni muhimu sana kama taasisi, kua Imara, madhubuti na viongozi makini wafanye kaz collectively.

Lakini ni lazima kua na think tank with full of experienced expertise, maalumu ya taasisi kwaajili ya kutoa ushauri, mbinu, hatua za kuchukua, uelekeo wa chama n.k kuliko kutumia utashi au sauti kubwa ya kiongozi Fulani tu kama ndio uelekeo πŸ’

nchini nyingine nadhani kungekua na mkwamo wa kikatiba Jambo kama hilo lingetokea na hakuna jambo lingefanyika mpaka uamuzi wa chama na mahakamani utekelezwe πŸ’
 
Nani anakudanganya chama chao kimeshindwa?Au wewe ndiye uneshindwa tafsiri kwa kutumia mahakama?
kimeshindwa vibaya mno politically speaking πŸ’

ni dhaifu sana na kwakweli ni vibogoyo hawana meno hawawezi kung'ata kabisa πŸ’

taasisi yeyote inaweza kuwatikisa na kuwafanyia chochote kwenye chama chao na wasifanye chochote, hawana ubavu wa kujilinda wala hawana mbinu kujikwamua kwa namna yoyote kwenye mkwamo rahisi kama huo πŸ’
 
sasa hiyo si constitutional crisis?

au Commonwealth association wanaruhusu hiyo au wahusika wa kurise hiyo issue ndio wamezubaa?πŸ’
Aisee wewe horrible kabisa wale ni wabunge wa ccm kwa mgongo wa CDM
 
Hivi akili huwa tunaziacha wapi? Chadema ilishafukuza hao watu na mahakama ilibariki maamuzi hayo. Spika ndie anapaswa kuwaambia watu hao wabunge wanafanya nini huko bungeni.
kwanini tena ndio agenda kwenye majukwaa ya chadema na vikao vya kamati kuu?πŸ’

na hata leo watajadiliwa tena, juzi mpwapwa hutuba nzima ya kibaraka anababaika na Halima Mdee kwasabb kaelezwa ukweli kwamba, hata aiseme vibaya vip chadema, asahau kabisa kua chairman wa chama hicho cha upinzaniπŸ’
 
Aisee wewe horrible kabisa wale ni wabunge wa ccm kwa mgongo wa CDM
and your are watching your esteemed institution inanajisiwa Infront of your eyes, mnakodoa macho na kukenua meno tu πŸ’

sasa mtaweza nini kama institution yenu inatwezwa kama mchuzi mkiangalia πŸ’
 
Nikiona thread yako huwa nacheka sana, Ccm wana watu wajinga sana
cheka tu kwa manufaa yako na hiyo ni nzuri hata kwa afya, na huku kazi ya wanainchi inaendelea vizuri na inasonga mbele kwa biidii bila mbambamba yoyote....πŸ’

hata hivyo
darasa la elimu ya siasa, uraia na uongozi Lazima nilifindishe kinagaubaga maana naona uelewa na ufahamu bado uko chini juu ya mambo mengi hususani ya kisiasa katika vyama humu nchini. watu wanababaika πŸ’
 
Wanaweza uzushi,Rushwa,umbea na kueneza chuki na mgawanyiko wa jamii bila kusahau matusi Kwa Samia.
 
Unataka kusema hata zile risasi za Tundu Lissu CHADEMA wameshindwa kuzitolea majibu. Huu muda uliotumia kuandika ujinga huu ungewaza kwanini baraza la wawakilishi hakuna Wabunge toka Tanganyika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…