yafaa urelax unapozungumzia serious issues, mihemko inakufanya ushindwe kua na utaratibu, haifai hiyo πUnataka kusema hata zile risasi za Tundu Lissu CHADEMA wameshindwa kuzitolea majibu. Huu muda uliotumia kuandika ujinga huu ungewaza kwanini baraza la wawakilishi hakuna Wabunge toka Tanganyika?
Hahahah kwa hiyo wewe ndiyo mfundishaji! Ccm kweli ni vituko,sasa eti wewe ndiye mfundishaji wa siasa ππππcheka tu kwa manufaa yako na hiyo ni nzuri hata kwa afya, na huku kazi ya wanainchi inaendelea vizuri na inasonga mbele kwa biidii bila mbambamba yoyote....π
hata hivyo
darasa la elimu ya siasa, uraia na uongozi Lazima nilifindishe kinagaubaga maana naona uelewa na ufahamu bado uko chini juu ya mambo mengi hususani ya kisiasa katika vyama humu nchini. watu wanababaika π
sio tu mfundishaji,Hahahah kwa hiyo wewe ndiyo mfundishaji! Ccm kweli ni vituko,sasa eti wewe ndiye mfundishaji wa siasa ππππ
Mbona umejipa vyeo vingi sana, kwa hivyo vyeo mbona inaokena ni mtu wa maana sana tofauti na ulivyosio tu mfundishaji,
ni kiongozi wa wanainchi, mkulima na mfugaji ming'ombe, mshauri wa masula ya maisha, biashara, mahusianao, uchumba na ndoa, ni apostle, mwanasiasa mnyonge sana nisie stahili ila kwa Naraka na Neema za Mungu, na mwana diplomasia wa kitaifa na kimataifa.π
ulipo nipo ukiniita nakuja kwa haraka sana....
siringi, wala sijivungi, nabutua tu, bila mbambamba yoyote π
Je, tuache kufuata amri za mahakama tufuate amri zetu za mitaani ili tuendeleze mijadala isiyo na tija? Kheri ya Lissu aliyepaniki kuliko sisi tunashikilia uamuzi wetu dhidi ya mahakama iliyokwisha hitimisha uanachama wao.weak institutions is characterized by weak members like these π
Last time nimeona kibaraka Makamu mwenyekiti chadema huko mpwapwa, hutuba yake yote anajibu dongo lililorushwa na moja wa wa bunge wa COVID-19 anaitwa Halima Mdee kwamba anachokisema kwenye chama chake ni useless na kamwe hawezi kua mwenyekiti wa chadema Taifa hata afanye nini π€
Jamaa likapanic sana.....
kama sio mwanachama wa chadema, jamaa anababaika na nini kama kweli huyu mdada si mwanachama wa chadema π€£
ni muhimu sana kama taasisi, kua Imara, madhubuti na viongozi makini wafanye kaz collectively.
Lakini ni lazima kua na think tank with full of experienced expertise, maalumu ya taasisi kwaajili ya kutoa ushauri, mbinu, hatua za kuchukua, uelekeo wa chama n.k kuliko kutumia utashi au sauti kubwa ya kiongozi Fulani tu kama ndio uelekeo π
nchini nyingine nadhani kungekua na mkwamo wa kikatiba Jambo kama hilo lingetokea na hakuna jambo lingefanyika mpaka uamuzi wa chama na mahakamani utekelezwe π
CCM na serikali ndio wanufaika kwa kupata ruzuku toka ulaya kwa kutimiza sharti la kamati ya fedha kuwa chini ya upinzani japo ni feki.Kimewafukuza huku kinapokea ruzuku, kwa kuwepo kwa wabunge hao ndani ya Bunge, sifahamu ni lini WANACHADEMA wataamka na kuwaelewa janja ya viongozi wao!
problem sio kufuata au kutofuata amri ya mahakama, tatizo ni what measures and action should strong institutions take?πJe, tuache kufuata amri za mahakama tufuate amri zetu za mitaani ili tuendeleze mijadala isiyo na tija? Kheri ya Lissu aliyepaniki kuliko sisi tunashikilia uamuzi wetu dhidi ya mahakama iliyokwisha hitimisha uanachama wao.
hivyo sio vyeo,Mbona umejipa vyeo vingi sana, kwa hivyo vyeo mbona inaokena ni mtu wa maana sana tofauti na ulivyo
Mhh!!!! Ona hili, EPA, CAG, Bandari, wizi NCCA yooote ni chademaNi watu hovyo wanaiamini chadema,chama kimejaa mafisadi,pesa za join the chain hazieleweki,uchaguzi umevamiwa kwa mapesa ya kuhongwa yaani na kesho wanaenda kumfukuza Lissu
Basi sawa,hongera sana, wengine ndiyo hivyo tena we can't think beyond the next mealhivyo sio vyeo,
huo ni uenyeji wangu maeneo hayo na kabisa sijivungi, siono haya wala sina pressure hata kidogo kujipambanua kinagaubaga, kwakweli kwenye mazingira hayo, licha ya majukumu mazito na muhimu sana niliyonayo.
Na daima si mchoyo na sitaki kabisa kua na ubaya na maoni au mtazamo wa mtu yeyote kuhusu anachokifikiria au kuamini katika jambo lolote lile, π
Hawakutumia akiliSUALA LA WABUNGE 19 WA Covid ni Issue ya System.
Chama cha Chadema kingalitaka kingelicheza mchezo wa kuigiza na kutengua maamuzi yake ya kuwafukuza na kingaliwarudisha kundini kimkakati.
Nchi hii haina sheria.
CCM imechezo mchezo wa kisiasa kwa kuwamewekwa covid-19 pale ili kuhalalalisha uwep wa Kambi ya Upinzani bungeni.
Wamefanya hivyo ili kutimiza Sharti la mabunge ya Common Welth ili waendelee kupata ufadhili wa Wazungu.
Tujifunze Mkakati huu.
Kwahiyo "Think Tank"! Iishauri mahakama au unataka ifanye nini kwenye suala ambalo lilikwisha ondolewa mikononi mwake! JF kuna wajuaji wa ajabu ajabu.problem sio kufuata au kutofuata amri ya mahakama, tatizo ni what measures and action should strong institutions take?π
Think Tankers of that institution should advice the direction to take π
haipo,Kwahiyo "Think Tank"! Iishauri mahakama au unataka ifanye nini kwenye suala ambalo lilikwisha ondolewa mikononi mwake! JF kuna wajuaji wa ajabu ajabu.
Hebu soma ulichokiandika kisha tafsiri kwa kikwenu, utacheka mwenyewe.haipo,
chama hakina hiyo kitu, kingekuepo hii kitu ingeisha kitambo sana, na kama ingekuepo hiyo kitu ndio ingekua inalaumiwa na kulalamikiwa leo π
sasa kulalamikia sijui bunge au mahakama ni useless, kwasabb hao hulalamikiwa na wote wanaoshindwa kesi na wenye maoni tofauti na ya wengi. Kulalamikiwa ni kawaaida kabisa π
lakini kisiasa Lazima kungekua na hatua zaidi ya uamuzi wa bunge na mahakama π
tukisonga pamoja polepole nami ni lazima upevuke, ukukomae na unawiri vizuri kisiasa...Hebu soma ulichokiandika kisha tafsiri kwa kikwenu, utacheka mwenyewe.