Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #81
yafaa urelax unapozungumzia serious issues, mihemko inakufanya ushindwe kua na utaratibu, haifai hiyo 🐒Unataka kusema hata zile risasi za Tundu Lissu CHADEMA wameshindwa kuzitolea majibu. Huu muda uliotumia kuandika ujinga huu ungewaza kwanini baraza la wawakilishi hakuna Wabunge toka Tanganyika?
weakness nyingine ya chama chako, viongozi wako na wewe mwenyewe.
mnafahamu kabisa, mna uwezo mdogo strategically and financially. Hamna consistency kusimamia hoja na mipango yenu.
Lakini still hamjifunzi,
hili hamjamaliza na wala hamjui kama mmefanikiwa au mmekwama, mnaliacha mnadandia lingine🤣🤣
useless kabisa, nyinyi ni bure kabisaa yaani hamjui mnataka nini wala mnaelekea wap 🤣
