King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Mkisha badilisha mifumo ya mafuta kwenye vibebi woka (Magari Ya Mtumba) vyenu na mkaweka mifumo ya gas. Mtuambie, ili sisi kama serikali ya chama pendwa ya CCM tutapandisha kodi maradufu za gas kutoka "KG 1 KWA 1550/Tsh" na kufikia "KG 1 KWA 3,500/Tshs".
Itakua fursa nzuri kwetu kuongeza makusanyo ya kodi ili kuendeleza miradi ya kimkakati. Kama tulivyoongeza kodi kwenye "KILIMO CHA UMWAGILIAJI".
CCM Hoyee!!! CCM Hoyeeeeeeeee!!! Makofi!!!
Kwa hesabu hiyo ingekuwa mafuta ya sh ngapi kwa mfano?Zipo nyingi hadi daladala kwa siku anatumia gass ya 30000 analaza hesabu ya 200000 na hapo ushatoa posho ya konda na suka
Tupe mrejesho mkuu!Mafuta yanapanda Bei Kila kukicha, kipato kinapungua kila kukicha.
Nimepita Ubungo, kituo cha kujaza natural kwenye magari (sheli, tuite hivyo ili nieleweke) nimekuta kg 1 ni shilling 1550.
Gharama za kubadili mfumo ni kama milioni moja na kidogo.
Jumamosi naipeleka gari ikabadilishwe mfumo, sitaki ujinga mimi
Jumamosi naipeleka gari ikabadilishwe mfumoTupe mrejesho mkuu!
Natural gas ni non inflamableUjinga wa hii kitu inamaliza nafasi kwenye buti ukishaweka utakuwa ukitoka Chunya au Tukuyu kuja Dar unaacha kubeba Mchele na maparachichi na mikungu ya ndizi...Na kingine huwa siamini kama Technology hiyo ni salama hasa pale gari linapopata ajali na kupinduka huwa nahisi kama mlipuko utkaotokea hapo si wa kitoto
Wakiongeza kodi kwenye gesi utaweka mfumo wa maji eeMafuta yanapanda Bei Kila kukicha, kipato kinapungua kila kukicha...
Kwenda kwenye gesi utarudi hapa unalia tena baadae, solution ni magari ya umeme tuMafuta yanapanda Bei Kila kukicha, kipato kinapungua kila kukicha...
Ujinga wa hii kitu inamaliza nafasi kwenye buti ukishaweka utakuwa ukitoka Chunya au Tukuyu kuja Dar unaacha kubeba Mchele na maparachichi na mikungu ya ndizi...Na kingine huwa siamini kama Technology hiyo ni salama hasa pale gari linapopata ajali na kupinduka huwa nahisi kama mlipuko utkaotokea hapo si wa kitoto
Wese la kibabe
Mbona daladala hutumia gesi ya 75000 badala ya mafuta ya 110000Zipo nyingi hadi daladala kwa siku anatumia gass ya 30000 analaza hesabu ya 200000 na hapo ushatoa posho ya konda na suka
Kapicha plzKuna mtu gari ist kafunga mtungi wa gesi
Anatwanga mwendo
Ova
Si mlisema sasa mnapumua?Tuhame tu aiseee..... Kwenye mafuta tunachajiwa hadi Kodi za kuwastarehesha viongozi wa chama chakavu
Swali kuntu sana hiliHiyo kilogram moja inaweza kukusukuma hadi wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23] aiseeMkisha badilisha mifumo ya mafuta kwenye vibebi woka (Magari Ya Mtumba) vyenu na mkaweka mifumo ya gas. Mtuambie, ili sisi kama serikali ya chama pendwa ya CCM tutapandisha kodi maradufu za gas kutoka "KG 1 KWA 1550/Tsh" na kufikia "KG 1 KWA 3,500/Tshs".
Itakua fursa nzuri kwetu kuongeza makusanyo ya kodi ili kuendeleza miradi ya kimkakati, tuweze kufika uchumi wa juu kabisa kuliko ulaya. Kama tulivyoongeza kodi kwenye "KILIMO CHA UMWAGILIAJI".
CCM Hoyee!!! CCM Hoyeeeeeeeee!!! Makofi!!!
Ishu ya mafuta itatuhamisha wengi Kwenye gesi.
Makofi rabda tukupige kichwani kwa namna ulivyo tuvuruga kwa kutufungua akili.Mkisha badilisha mifumo ya mafuta kwenye vibebi woka (Magari Ya Mtumba) vyenu na mkaweka mifumo ya gas. Mtuambie, ili sisi kama serikali ya chama pendwa ya CCM tutapandisha kodi maradufu za gas kutoka "KG 1 KWA 1550/Tsh" na kufikia "KG 1 KWA 3,500/Tshs"..
Nenda pale DIT chuoni ndio wanafanya hiyo mauchawi ya kubadili mfumoMafuta yanapanda Bei Kila kukicha, kipato kinapungua kila kukicha...