King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Mkisha badilisha mifumo ya mafuta kwenye vibebi woka (Magari Ya Mtumba) vyenu na mkaweka mifumo ya gas. Mtuambie, ili sisi kama serikali ya chama pendwa ya CCM tutapandisha kodi maradufu za gas kutoka "KG 1 KWA 1550/Tsh" na kufikia "KG 1 KWA 3,500/Tshs".
Itakua fursa nzuri kwetu kuongeza makusanyo ya kodi ili kuendeleza miradi ya kimkakati. Kama tulivyoongeza kodi kwenye "KILIMO CHA UMWAGILIAJI".
CCM Hoyee!!! CCM Hoyeeeeeeeee!!! Makofi!!!
Hahahaaaaa Kabisa Serikali haibuni vyoanzo vipya bali wanaangalia wapi kuna watumiaji wengi ndio hapo hapo wanakandamiza.