Kama Dangote kafunga mitungi ya gesi kwenye malori yake, Mimi ni nani hata nisibadili mfumo wa nishati ya gari yangu?

Kama Dangote kafunga mitungi ya gesi kwenye malori yake, Mimi ni nani hata nisibadili mfumo wa nishati ya gari yangu?

Mkisha badilisha mifumo ya mafuta kwenye vibebi woka (Magari Ya Mtumba) vyenu na mkaweka mifumo ya gas. Mtuambie, ili sisi kama serikali ya chama pendwa ya CCM tutapandisha kodi maradufu za gas kutoka "KG 1 KWA 1550/Tsh" na kufikia "KG 1 KWA 3,500/Tshs".

Itakua fursa nzuri kwetu kuongeza makusanyo ya kodi ili kuendeleza miradi ya kimkakati. Kama tulivyoongeza kodi kwenye "KILIMO CHA UMWAGILIAJI".

CCM Hoyee!!! CCM Hoyeeeeeeeee!!! Makofi!!!

Hahahaaaaa Kabisa Serikali haibuni vyoanzo vipya bali wanaangalia wapi kuna watumiaji wengi ndio hapo hapo wanakandamiza.
 
Mafuta yanapanda Bei Kila kukicha, kipato kinapungua kila kukicha.

Nimepita Ubungo, kituo cha kujaza natural kwenye magari (sheli, tuite hivyo ili nieleweke) nimekuta kg 1 ni shilling 1550.
Gharama za kubadili mfumo ni kama milioni moja na kidogo.

Jumamosi naipeleka gari ikabadilishwe mfumo, sitaki ujinga mimi
Tupe mrejesho mkuu!
 
Ujinga wa hii kitu inamaliza nafasi kwenye buti ukishaweka utakuwa ukitoka Chunya au Tukuyu kuja Dar unaacha kubeba Mchele na maparachichi na mikungu ya ndizi...Na kingine huwa siamini kama Technology hiyo ni salama hasa pale gari linapopata ajali na kupinduka huwa nahisi kama mlipuko utkaotokea hapo si wa kitoto
Natural gas ni non inflamable
 
e1d13873ea18d4bc313eeab22be70a47758b8beb.jpeg
 
Hii iko poa zaidi lkn kwanini wasiweke na vituo mikoani? Yale magari yenye engine kubwa na bie hua ni nafuu tutaweza kuyamudu sasa kuliko hv vi baby walker
 
Mkisha badilisha mifumo ya mafuta kwenye vibebi woka (Magari Ya Mtumba) vyenu na mkaweka mifumo ya gas. Mtuambie, ili sisi kama serikali ya chama pendwa ya CCM tutapandisha kodi maradufu za gas kutoka "KG 1 KWA 1550/Tsh" na kufikia "KG 1 KWA 3,500/Tshs".

Itakua fursa nzuri kwetu kuongeza makusanyo ya kodi ili kuendeleza miradi ya kimkakati, tuweze kufika uchumi wa juu kabisa kuliko ulaya. Kama tulivyoongeza kodi kwenye "KILIMO CHA UMWAGILIAJI".

CCM Hoyee!!! CCM Hoyeeeeeeeee!!! Makofi!!!
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee
 
Mkisha badilisha mifumo ya mafuta kwenye vibebi woka (Magari Ya Mtumba) vyenu na mkaweka mifumo ya gas. Mtuambie, ili sisi kama serikali ya chama pendwa ya CCM tutapandisha kodi maradufu za gas kutoka "KG 1 KWA 1550/Tsh" na kufikia "KG 1 KWA 3,500/Tshs"..
Makofi rabda tukupige kichwani kwa namna ulivyo tuvuruga kwa kutufungua akili.
 
Back
Top Bottom