Kama Dangote kafunga mitungi ya gesi kwenye malori yake, Mimi ni nani hata nisibadili mfumo wa nishati ya gari yangu?

Hamna watu wanaoisoma namba Kama makada wa Chama Cha Mazezeta, hamuonekani kwenye teuzi, Wala hamko special mkilinganisha na raia wengine.
Mmebaki tu kubusu viatu vya watawala
Chama cha mazezeta ni kipi?
 
@
Mkishajaa kwenye gesi mkawa wengi, MTAJUA HAMJUI. Hiiiiiiiiiiii..........................................!!!!!!!!!
Bado sana watu kuwa wengi...

Hadi sasa gesi asili inafikika mikoa minne tu Mtwara, Lindi, Pwani na Dar...

Na katika mikoa hiyo si wilaya zote bali zile zilizo pembezoni mwa bomba la gesi asilia...

Bahati mbaya sana sera za CCM juu ya gesi asilia zipo kwenye makaratasi tu, mfano ukifuatilia domestication ilivyo fanyika utaona ni nyumba chache tu zinazofaidi kwenye kutumia gesi hiyo kupikia majumbani...

Sehemu pekee ambapo umma wote umefaidika ninkwenye uzalishaji umeme...
 
Utabebesha gari lako mtungi wa kilo 50
 
Serikali ikionq mmehamia tu huko wanaanza kodii
 
Una asilimia kubwa ya kupata.mlipuko kwa hizo petroli kuliko gesi......gesi wanayoweka humo sio kama hio ya kupikia majumbani
 
Mkuu mapiga dili kwenye biashara ya mafuta yanapiga vita sana project ya gesi kwenye magari kuendelezwa.......imagine miaka yote ni kituo kimoja tu pale ubungo maziwa na kingine cha wachina naona kinajengwa kule tazara, sasa ikitokea magari mengi yamefunga gesi, vituo viwili pekee vitatosha?
 
Kumbuka kwamba kg moja ya gesi inapuyanga kuliko zutu la kawaida,so bado tutakuwa kwenye green hata wakitutwanga hiyo 3500.

Kifupi gesi bado ni uchaguzi nafuu zaidi.
 
Kumbe
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nimecheka kifala
 
Gesi ni kama sola. Gharama ni kubwa sana mwanzoni katika kuweka mifumo yake. Ukishaweka unaenjoy maisha mpaka itakapopata hitilafu na kuhitaji repair. Ila ni chaguo zuri sana.

Nashauri ufanyike uwekezaji mkubwa kwenye vituo vya kujazia na utengenezaji wa mitungi bora hapahapa nchini.

Halafu kabla sijasahau, tuliambiwa gesi ya mtwara itakuwa ikitumika majumbani mwetu kipitia mabomba kama ilivyo maji ya DAWASA, hii plani imeishia wapi? Au ilikuwa danganya toto ya wanasiasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…