Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,488
Gasi tutajazia wapi sasa? Maana vituo mikoa mingi hakuna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama cha mazezeta ni kipi?Hamna watu wanaoisoma namba Kama makada wa Chama Cha Mazezeta, hamuonekani kwenye teuzi, Wala hamko special mkilinganisha na raia wengine.
Mmebaki tu kubusu viatu vya watawala
Ndio chama kiasisi Cha Matatizo yote nchini.Chama cha mazezeta ni kipi?
OkMfumo wa mafuta hauondolewi
Basi hicho utakuwa unakijua pekeako!Ndio chama kiasisi Cha Matatizo yote nchini.
Chanzo Cha Matatizo
Bado sana watu kuwa wengi...Mkishajaa kwenye gesi mkawa wengi, MTAJUA HAMJUI. Hiiiiiiiiiiii..........................................!!!!!!!!!
Utabebesha gari lako mtungi wa kilo 50Mafuta yanapanda Bei Kila kukicha, kipato kinapungua kila kukicha.
Nimepita Ubungo, kituo cha kujaza natural kwenye magari (sheli, tuite hivyo ili nieleweke) nimekuta kg 1 ni shilling 1550.
Gharama za kubadili mfumo ni kama milioni moja na kidogo.
Jumamosi naipeleka gari ikabadilishwe mfumo, sitaki ujinga mimi
That is the really deal..with dual application engines, you can either use electricity or normal fuelsMagari yanayotumia umeme yanakuja na Ni Bei poa Sana tu
Hamna kitu ambacho hakina gharama zakeUtabebesha gari lako mtungi wa kilo 50
Una asilimia kubwa ya kupata.mlipuko kwa hizo petroli kuliko gesi......gesi wanayoweka humo sio kama hio ya kupikia majumbaniUjinga wa hii kitu inamaliza nafasi kwenye buti ukishaweka utakuwa ukitoka Chunya au Tukuyu kuja Dar unaacha kubeba Mchele na maparachichi na mikungu ya ndizi...Na kingine huwa siamini kama Technology hiyo ni salama hasa pale gari linapopata ajali na kupinduka huwa nahisi kama mlipuko utkaotokea hapo si wa kitoto
HahahahaNa kweli mkuu watakuwa wanawaangalia wanasema hiii
Kumbuka kwamba kg moja ya gesi inapuyanga kuliko zutu la kawaida,so bado tutakuwa kwenye green hata wakitutwanga hiyo 3500.Jikusanyeni halafu mkisha badilisha mifumo ya mafuta kwenye vibebi woka (Magari Ya Mtumba) vyenu na mkaweka mifumo ya gas. Mtuambie, ili sisi kama serikali ya chama pendwa ya CCM tutapandisha kodi maradufu za gas kutoka "KG 1 KWA 1550/Tsh" na kufikia "KG 1 KWA 3,500/Tshs".
Itakua fursa nzuri kwetu kuongeza makusanyo ya kodi ili kuendeleza miradi ya kimkakati, tuweze kufika uchumi wa juu kabisa kuliko ulaya. Kama tulivyoongeza kodi kwenye "KILIMO CHA UMWAGILIAJI".
CCM Hoyee!!! CCM Hoyeeeeeeeee!!! Makofi!!!
KumbeJikusanyeni halafu mkisha badilisha mifumo ya mafuta kwenye vibebi woka (Magari Ya Mtumba) vyenu na mkaweka mifumo ya gas. Mtuambie, ili sisi kama serikali ya chama pendwa ya CCM tutapandisha kodi maradufu za gas kutoka "KG 1 KWA 1550/Tsh" na kufikia "KG 1 KWA 3,500/Tshs".
Itakua fursa nzuri kwetu kuongeza makusanyo ya kodi ili kuendeleza miradi ya kimkakati, tuweze kufika uchumi wa juu kabisa kuliko ulaya. Kama tulivyoongeza kodi kwenye "KILIMO CHA UMWAGILIAJI".
CCM Hoyee!!! CCM Hoyeeeeeeeee!!! Makofi!!!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nimecheka kifalaJikusanyeni halafu mkisha badilisha mifumo ya mafuta kwenye vibebi woka (Magari Ya Mtumba) vyenu na mkaweka mifumo ya gas. Mtuambie, ili sisi kama serikali ya chama pendwa ya CCM tutapandisha kodi maradufu za gas kutoka "KG 1 KWA 1550/Tsh" na kufikia "KG 1 KWA 3,500/Tshs".
Itakua fursa nzuri kwetu kuongeza makusanyo ya kodi ili kuendeleza miradi ya kimkakati, tuweze kufika uchumi wa juu kabisa kuliko ulaya. Kama tulivyoongeza kodi kwenye "KILIMO CHA UMWAGILIAJI".
CCM Hoyee!!! CCM Hoyeeeeeeeee!!! Makofi!!!