mtongwe
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,652
- 4,468
Na wengi wameaacha na kwenda kutafuta kazi ktk kampuni nyingine baada ya kuona ulaji wao umepunguzwaKaribuni yote saa hivi kafunga wale madereva wezi wa mafuta kwa sasa wanaisoma namba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wengi wameaacha na kwenda kutafuta kazi ktk kampuni nyingine baada ya kuona ulaji wao umepunguzwaKaribuni yote saa hivi kafunga wale madereva wezi wa mafuta kwa sasa wanaisoma namba
Uber na bolt ndo zinaongoza kwa kutumia gasi ktk hizi gari ndogpZipo nyingi hadi daladala kwa siku anatumia gass ya 30000 analaza hesabu ya 200000 na hapo ushatoa posho ya kon
Hii gesi nchi nyingine ingekuwa imeshasambaa kila mkoa na watu wanafaidi matunda ya nchi yao,, afrika tunakosea wapi?@
Bado sana watu kuwa wengi...
Hadi sasa gesi asili inafikika mikoa minne tu Mtwara, Lindi, Pwani na Dar...
Na katika mikoa hiyo si wilaya zote bali zile zilizo pembezoni mwa bomba la gesi asilia...
Bahati mbaya sana sera za CCM juu ya gesi asilia zipo kwenye makaratasi tu, mfano ukifuatilia domestication ilivyo fanyika utaona ni nyumba chache tu zinazofaidi kwenye kutumia gesi hiyo kupikia majumbani...
Sehemu pekee ambapo umma wote umefaidika ninkwenye uzalishaji umeme...
Kutuuliza sisi ni kutuonea......ilitakiwa uwaulize hukohuko chamani kwenu mdo wanaweza kukupa jibu stahikiHii gesi nchi nyingine ingekuwa imeshasambaa kila mkoa na watu wanafaidi matunda ya nchi yao,, afrika tunakosea wapi?
Mkuu, katika vitu tunafeli waafrika ni kutegemea kila kitu toka kwa wazungu!Kutuuliza sisi ni kutuonea......ilitakiwa uwaulize hukohuko chamani kwenu mdo wanaweza kukupa jibu stahiki
Piga na uzito wa mafuta kama unaijua na hizo Lita ngapi unazojaza Kama ni full tank pia uzito ni kg ngapi ama kwa vile uzito wa nyingi unaonekana unakushtuaUtabebesha gari lako mtungi wa kilo 50
Tatizo sio kwamba nimeshindwa kununua petroli, tatizo wanufaikao na too za petroli ndio adui zangu.Mkuu Bujibuji hio 1.3m ya ku-install mfumo wa gesi itumie kuongeza mbinu za kukuza kipato chako. Usilikimbie tatizo, pambana nalo
Sawa sasa nimekupata vyema kabisa.Tatizo sio kwamba nimeshindwa kununua petroli, tatizo wanufaikao na too za petroli ndio adui zangu.
KWENYE petroli tunatozwa Hadi Kodi za kuwastarehesha wakurugunzi
Mbona inatumika tayariGesi ni kama sola. Gharama ni kubwa sana mwanzoni katika kuweka mifumo yake. Ukishaweka unaenjoy maisha mpaka itakapopata hitilafu na kuhitaji repair. Ila ni chaguo zuri sana.
Nashauri ufanyike uwekezaji mkubwa kwenye vituo vya kujazia na utengenezaji wa mitungi bora hapahapa nchini.
Halafu kabla sijasahau, tuliambiwa gesi ya mtwara itakuwa ikitumika majumbani mwetu kipitia mabomba kama ilivyo maji ya DAWASA, hii plani imeishia wapi? Au ilikuwa danganya toto ya wanasiasa?
Kuna vituo vingapi vya kujaza gesi nchini kwa dar mie nakijua cha ubungo tuMafuta yanapanda Bei Kila kukicha, kipato kinapungua kila kukicha.
Nimepita Ubungo, kituo cha kujaza natural kwenye magari (sheli, tuite hivyo ili nieleweke) nimekuta kg 1 ni shilling 1550.
Gharama za kubadili mfumo ni kama milioni moja na kidogo.
Jumamosi naipeleka gari ikabadilishwe mfumo, sitaki ujinga mimi
Unakuta kujaza huo mtungi ni 30elfu tuKuna mtu gari ist kafunga mtungi wa gesi
Anatwanga mwendo
Ova
Kuna vituo vingapi vya kujaza gesi nchini kwa dar mie nakijua cha ubungo tu
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Mkuu huu ujumbe tayari KM wa chama kauskrinishot, kesho tegemea kuona kwenyegas station’s receipt particulars zifuatazo(rea, madawati na maji vijijini)😅😅Tuhame tu aiseee..... Kwenye mafuta tunachajiwa hadi Kodi za kuwastarehesha viongozi wa chama chakavu
WapumbavuMkuu huu ujumbe tayari KM wa chama kauskrinishot, kesho tegemea kuona kwenyegas station’s receipt particulars zifuatazo(rea, madawati na maji vijijini)😅😅
Yaa ni kweliNa wengi wameaacha na kwenda kutafuta kazi ktk kampuni nyingine baada ya kuona ulaji wao umepunguzwa
KumbeeUber na bolt ndo zinaongoza kwa kutumia gasi ktk hizi gari ndogp
Ndio maana watu wanashangaa inakuwaje bei zao za safari zinakuwa rahisi hivyo na mafuta nu ghali kumbe kitu gass? Basi wanapata faida sanaUber na bolt ndo zinaongoza kwa kutumia gasi ktk hizi gari ndogp