pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,131
- 3,505
Ulishawah kuona picha ambayo imesambaa sana mitandaoni wakiwa wote watatu tena wanacheka sana??Tuambie sababu alizozipata kwa mama yake ni zipi ili tupime kama zinafaa kutomtunza baba yake.
Ulishawah kuona picha ambayo imesambaa sana mitandaoni wakiwa wote watatu tena wanacheka sana??
Pili,kwa tabia ya mama yake kupenda kutembea na watoto wadogo,ulishawahi fikiria nje ya box kuwa baba yake alikumbwa na maswahiba gan?
Hata Kama mondi,alipitia matatizo gani,Kwanza ugomvi wa wazazi wewe mtoto haukuhusu,pia.imetokea mzee almasi kamaliza akaunti yake ya maisha katika sayari hi,nasibu ataenda au haendi mazikoni? Au akiwa anaumwa nasibu atatoa msaada au hatotoa?
Inashangaza wengine humu ni wanaume na tumekaa na tunawajua vizuri wanawake,Bado tunamuunga mkono mondi kwa anachofanya.
Leo umeamua kuwa fair kwa upande wa Diamond....Sidhani kama hamsaidi kabisa ila sio kwa kiwango anachotaka yeye Mzee Abdul.
Huyo mzee wacha apate tabu tu. Hakuna namnaHivi si kuna kipindi huyu baba ake alienda Wasafi FM pamoja na mwanae?
Wewe huwajui wanaume punguani tu....ngoja utakutana nao kama bado haujaolewa...
Watakupa mimba ukiwasogelea hawakujui mwanaume wa hivi hana tofauti na mwanamke anayekuzalia mtoto wa nje.
Diamond mnamlaumu bure..sumu aliyomezeshwa ni mbaya sana...na uskute kashaambiwa ukimsaidia tu babako nakupa laana...kama ungekua ww ungefanya na laana ya mama ni kali sana!?
Mkuu mimi naongea facts,sisukumwi na utimu wa DOMO wala KIBAKULI wala JOKA LAKIBISA KONDE!! Hao wakifanya jambo zuri nitasifia ,wakivurunda nitawachana!! Watu walio kwenye TIMU wao ni kusifu tu hata boss wao akiharibu.Leo umeamua kuwa fair kwa upande wa Diamond....
Kwaiyo unataka kusemaje brother kuwa mondi yupo sawa? History ya mondi inafanana na yangu na nilikuwa sitaki kabisa issue za mzee kuzisikia lakini tangu nioee na niwe na mtoto ilibidi nimtafute baba na kuongea nae na sasa tupo imara sana na ushirikiano wakutosha!!! Brother kama hujaoa usijaribu kumsema vbaya mzee wako subiri siku uwe na familia utaelewa.... Mondi yule ni Baba yake na unajua mzazi hakosei hii sentesi wataelewa watu wachache ila huo ndo kweli mdogo amsaidie baba yake!!! Kwasababu pamoja na mzazi hakosei lakini bado baba kaomba msamaha kwa mwanaye kila siku tunasikia interview baba anaomba mwanaye amsaidie!!! Nikwambie kitu katika upuuzi siwezi fanya nikumuhudumia baba ambaye sio wangu ukitoa mkwe... Yani mondi anampa maisha yule fala anaacha kusaidia baba yake ule ni Ujinga wa kiwango cha juu!!! Ajifunze maana na yeye ana watoto na ameona changamoto za wanawake zilivyo wengine wamloge ilo ni somo kuwa Baba ni Baba tuu na Baba hawezi kukwambia mama yako alifanya ivi au vile sisi wanaume tuna koromeo kazi yake nikuhifazi hadi magumu! Sasa mondi anamuangisha sana mzee wake
Wewe huwajui wanaume punguani tu....ngoja utakutana nao kama bado haujaolewa...
Watakupa mimba ukiwasogelea hawakujui mwanaume wa hivi hana tofauti na mwanamke anayekuzalia mtoto wa nje.
Kwann mkuu?Huyo mzee wacha apate tabu tu. Hakuna namna
Atakuja Saidia kununua sanda na kulisha watu msibani mapilau adi mabiriani mapizaMimi Kama mzazi naumizwa kuona watu wamejaaliwa Mali lakini hizo fedha haziwezi kusaidia familia yake.
Kama uwezi kusaidia familia yako unaondikaje kusaidia familia za wengine? Naomba niwakumbushe vijana; sote tuna dhambi na hakuna namna tutakwepa ilo.
Wanaume wengi wametelekeza watoto na hata familia zao. Napenda kuwajulisha hakuna mwanaume aliyekamilika. Tusitelekeze au kuwahukumu wazazi kwa makosa yao wakati wa mahusiano.
Unaitwa tajiri ila wa nyumbani kwako wanazalilika si poa.
Nguvu anapewa na uncle shamteHivi mtu unapata wapi nguvu ya kumsnich dingi yake aisee?
Hivi mtu unapata wapi nguvu ya kumsnich dingi yake aisee?
Hakumtunza Chibu na Mama Yake wakati hawana kituKwann mkuu?