Kama aliweza kumlea adi kufikia hapa msimhukumu mzee kuna mengi yapo kati hao watu wawili baba na mama wa domo....watu wasisahau pia mwanamke ana ulimi mbaya sana akiamua kupandikiza chuki kwa mtotoWabongo huwa mnajifanya mnajua sana.
Ya kwenye ndoa Waachie wahusika otherwise na wewe uwe mwanandoa.View attachment 1655863
Domo alikua na bichwa.baya kumbe.ndo analifunika funika na mirastaWabongo huwa mnajifanya mnajua sana.
Ya kwenye ndoa Waachie wahusika otherwise na wewe uwe mwanandoa.View attachment 1655863
Huu ni usnich mixer uchawi.Dingi hajasnichiwa,ameachwa aendelee na maisha yake aliyokuwa anayaishi.
Unampangia mtu mzima jinsi ya kutumia hela zake mwenyewe?Mimi Kama mzazi naumizwa kuona watu wamejaaliwa Mali lakini hizo fedha haziwezi kusaidia familia yake.
Kama uwezi kusaidia familia yako unaondikaje kusaidia familia za wengine? Naomba niwakumbushe vijana; sote tuna dhambi na hakuna namna tutakwepa ilo.
Wanaume wengi wametelekeza watoto na hata familia zao. Napenda kuwajulisha hakuna mwanaume aliyekamilika. Tusitelekeze au kuwahukumu wazazi kwa makosa yao wakati wa mahusiano.
Unaitwa tajiri ila wa nyumbani kwako wanazalilika si poa.
Upo sawa kabisa,kwani hamna picha mbaya kama mzazi kumwonyesha,ukatili mtoto yaani hii kama mzazi lazima ije kumcost baadae.Ugomvi wa wazazi utamuhusu mtoto kama utamuathiri mtoto moja kwa moja.
Kama mtoto anaumwa akaambiwa na mama yake akaombe hela kwa kwa baba yake na baba yake akamtimua huu ugomvi utamuhusu huyu mtoto moja kwa moja.
Mtoto atabaki na picha ya kumuomba fehda ya matibabu baba yake na kufukuzwa.
Hata mama asiposema chochote mtoto ataona hapati huduma kwa baba na akiomba huduma anafukuzwa, Akiwa mkubwa na kufanikiwa hawezi kulaumiwa huyu mtoto kwa kundeleza bifu na kutomjali ambae hakumjali.
Wewe jamaa nilijua ni mwelewa, intellect... Kumbe unazo hizo imani ushenzichezea masharti wewe!
Nadhani ishu ya Diamond na wazazi wake sio ya kuiingilia na kutoa majumuisho (conslusion). Hatujui walianzaje kuwa na mafarakano na walifikia hatua gani. Tuwaache, watayamaliza wao wenyeweMimi Kama mzazi naumizwa kuona watu wamejaaliwa Mali lakini hizo fedha haziwezi kusaidia familia yake.
Kama uwezi kusaidia familia yako unaondikaje kusaidia familia za wengine? Naomba niwakumbushe vijana; sote tuna dhambi na hakuna namna tutakwepa ilo.
Wanaume wengi wametelekeza watoto na hata familia zao. Napenda kuwajulisha hakuna mwanaume aliyekamilika. Tusitelekeze au kuwahukumu wazazi kwa makosa yao wakati wa mahusiano.
Unaitwa tajiri ila wa nyumbani kwako wanazalilika si poa.
Hivi binadamu wa kiume with 2 balls hanging between your legs unaanzaje labda kwa mfano kumuacha baba yako anaumwa miguu hadi inaoza kama sio uchawi huo?Wewe jamaa nilijua ni mwelewa, intellect... Kumbe unazo hizo imani ushenzi
Huu ni usnich mixer uchawi.
Haya.Huelewei usnich ni nini
Baba wa kambo wa muhimu kuliko dingi!!!!!Dingi hajasnichiwa,ameachwa aendelee na maisha yake aliyokuwa anayaishi.
Hivi binadamu wa kiume with 2 balls hanging between your legs unaanzaje labda kwa mfano kumuacha baba yako anaumwa miguu hadi inaoza kama sio uchawi huo?
Baba wa kambo wa muhimu kuliko dingi!!!!!
Unaachaje kumsaidia baba ako mzazi unaenda kumsaidia mtu usiyemjua?Nadhani ishu ya Diamond na wazazi wake sio ya kuiingilia na kutoa majumuisho (conslusion). Hatujui walianzaje kuwa na mafarakano na walifikia hatua gani. Tuwaache, watayamaliza wao wenyewe
Utakua Mama bora siku za usoniMimi Kama mzazi naumizwa kuona watu wamejaaliwa Mali lakini hizo fedha haziwezi kusaidia familia yake.