The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Weka ushahidi wa chanzo chako cha habarieti nini ?! Eti hali mbaya ya nini ?! LIKO WAZI CHOPA YA KIONGOZI WA IRAN iliwashwa na raza
Hahahahahaha umenchekesha 🤣🙌🏾Chezea Myahudi wa bonyokwa keshashiba kande zake, mtamwambia nini? Khabari Zote anazo kiganjani. Alaaaaa.... Hebu ongeza sauti
MODS, Tafadhali unganisha Uzi huu na ule mwengine. Hakuna Cha evidence Wala facts kama alivyosema mleta mada hii. Hii ni unnecessary multiplicity of threads.AWALI mods namaomba msiunganishe huu uzi, umejikita kiinteligensia, facts na uchambuzi wa evidences zaidi ya ushabiki wa ule uzi mwingine.
eti nini ?! Eti hali mbaya ya nini ?! LIKO WAZI CHOPA YA KIONGOZI WA IRAN imeshushwa kwa space laser.
naomba unionyeshe hiyo "hali mbaya ya hewa"
View attachment 2994965
hii chopa imeshushwa na sio "ajali" I think Iran is quickly and efficiently learning the hard way, that they messed around the real gurus"
Irani walikuwa sahihi Raisi kusafr kwenye chombo ambacho sio highlighted Kwa ajili ya viongozi, unfortunately wanasakwa hata kwenye bajaji , hcho ndo hawakujuaChopa imeanguka hayupo aliyeiona ikianguka, hiyo picha uliyoiweka hapo ni satellite au umeitoa wapi?
Japo inawezekana myahudi amefanya jambo lake, kwasababu kama kweli Iran wanaintelijensia wangetakiwa kujua kama wanawindwa na adui, kitendo cha kufeli kutambua hilo kinaonesha Iran bado dhaifu sana kimbinu za kijeshi.