babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,916
- 6,697
Chanzo chake ni padri wakati wakicheza kale kamchezo kaoWeka ushahidi wa chanzo chako cha habari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chanzo chake ni padri wakati wakicheza kale kamchezo kaoWeka ushahidi wa chanzo chako cha habari
Hatari tupuChezea Myahudi wa bonyokwa keshashiba kande zake, mtamwambia nini? Khabari Zote anazo kiganjani. Alaaaaa.... Hebu ongeza sauti
Si wanasema chopa zilikuwa 3 sasa hizo zingine vipiChopa imeanguka hayupo aliyeiona ikianguka, hiyo picha uliyoiweka hapo ni satellite au umeitoa wapi? Pembeni panaonekana kuna ukungu kuonesha hali mbaya ya hewa iliyokuwepo eneo la tukio.
Inawezekana myahudi amefanya jambo lake, kwasababu kama kweli Iran wanaintelijensia wangetakiwa kujua kama wanawindwa na adui, kitendo cha kufeli kutambua hilo kinaonesha Iran bado dhaifu sana kimbinu za kijeshi, hawa hawana uwezo wa kushindana na myahudi.
Sababu ya hali ya hewa iliyotumika inaweza kuwa inatumiwa na Iran wenyewe kuficha ukweli wa kile kilichowakuta, kama waliona hali mbaya ya hewa kwanini wakarusha chopa? hawakujua athari zake?
Hii sababu waliyoitoa kwangu haiingii akilini.
unashangaa hiyo? Shangaa hii waranti ya kukamatwa viongozi wa israel na wa hamas, pana ulingano hapa?Hii code mbona ngumu sana.
acheni tufanye assumption and speculationChopa imeanguka hayupo aliyeiona ikianguka, hiyo picha uliyoiweka hapo ni satellite au umeitoa wapi? Pembeni panaonekana kuna ukungu kuonesha hali mbaya ya hewa iliyokuwepo eneo la tukio.
Inawezekana myahudi amefanya jambo lake, kwasababu kama kweli Iran wanaintelijensia wangetakiwa kujua kama wanawindwa na adui, kitendo cha kufeli kutambua hilo kinaonesha Iran bado dhaifu sana kimbinu za kijeshi, hawa hawana uwezo wa kushindana na myahudi.
Sababu ya hali ya hewa iliyotumika inaweza kuwa inatumiwa na Iran wenyewe kuficha ukweli wa kile kilichowakuta, kama waliona hali mbaya ya hewa kwanini wakarusha chopa? hawakujua athari zake?
Hii sababu waliyoitoa kwangu haiingii akilini.
hata yale makombora yaliyopiga radar yao, iran walisema ndege zilizokuja hazikuwa detected, hawajui zilitoka nchi gani. yaani mtu anaingia nchini kwako anakupiga alafu hujui ni mtu gani. ila kaja kukupiga.Chopa imeanguka hayupo aliyeiona ikianguka, hiyo picha uliyoiweka hapo ni satellite au umeitoa wapi? Pembeni panaonekana kuna ukungu kuonesha hali mbaya ya hewa iliyokuwepo eneo la tukio.
Inawezekana myahudi amefanya jambo lake, kwasababu kama kweli Iran wanaintelijensia wangetakiwa kujua kama wanawindwa na adui, kitendo cha kufeli kutambua hilo kinaonesha Iran bado dhaifu sana kimbinu za kijeshi, hawa hawana uwezo wa kushindana na myahudi.
Sababu ya hali ya hewa iliyotumika inaweza kuwa inatumiwa na Iran wenyewe kuficha ukweli wa kile kilichowakuta, kama waliona hali mbaya ya hewa kwanini wakarusha chopa? hawakujua athari zake?
Hii sababu waliyoitoa kwangu haiingii akilini.
Leo umemeza njugu zako au?Chezea Myahudi wa bonyokwa keshashiba kande zake, mtamwambia nini? Khabari Zote anazo kiganjani. Alaaaaa.... Hebu ongeza sauti
We inakuuma nini?MODS, Tafadhali unganisha Uzi huu na ule mwengine. Hakuna Cha evidence Wala facts kama alivyosema mleta mada hii. Hii ni unnecessary multiplicity of threads.
Yaani unauliza kweli iko wapi hali ya hewa mbaya ama unatania?Huu uzi umejikita kiinteligensia, facts na uchambuzi wa evidences zaidi ya ushabiki wa ule uzi mwingine.
Eti nini? Eti hali mbaya ya nini? LIKO WAZI CHOPA YA KIONGOZI WA IRAN imeshushwa kwa space laser.
Naomba unionyeshe hiyo "hali mbaya ya hewa"
Hii chopa imeshushwa na sio ajali. I think Iran is quickly and efficiently learning the hard way, that they messed around the real gurus.
Mkuu nataka kuja kuosha vyombo marekaniConspiracy theorists mna tabu.
Usicheze na Myahudi. Walimuua Yesu bila huruma sembuse mwarabu?Huu uzi umejikita kiinteligensia, facts na uchambuzi wa evidences zaidi ya ushabiki wa ule uzi mwingine.
Eti nini? Eti hali mbaya ya nini? LIKO WAZI CHOPA YA KIONGOZI WA IRAN imeshushwa kwa space laser.
Naomba unionyeshe hiyo "hali mbaya ya hewa"
Hii chopa imeshushwa na sio ajali. I think Iran is quickly and efficiently learning the hard way, that they messed around the real gurus.
Kwani yeye hawezi kuwa chanzo cha hii habari mkuu,labda ni mchambuzi wa mambo hayo?Weka ushahidi wa chanzo chako cha habari
Man you know nothing about intelligence world. Eti imeshushwa na space laser seriously? Yaan waataalam walioko ground iran bado hawajatoa tamko. Kaa kwa kutulia instead of generating conspiracy theoriesHuu uzi umejikita kiinteligensia, facts na uchambuzi wa evidences zaidi ya ushabiki wa ule uzi mwingine.
Eti nini? Eti hali mbaya ya nini? LIKO WAZI CHOPA YA KIONGOZI WA IRAN imeshushwa kwa space laser.
Naomba unionyeshe hiyo "hali mbaya ya hewa"
Hii chopa imeshushwa na sio ajali. I think Iran is quickly and efficiently learning the hard way, that they messed around the real gurus.
Hawatasema kelele zitakuwa nyingi sana wao wanasubiri wahusika wajiongeze.Mbona wenyewe bado hawajasema Sasa.