Kama hakuna atakayezungumza ukweli kuhuru Iran mimi nitazungumza

Si wanasema chopa zilikuwa 3 sasa hizo zingine vipi
 
acheni tufanye assumption and speculation
 
Iran wanaweza kuficha hali halisi ya kilichotokea ikiwa kuna mkono wa israeli ni aibu kwao kukiri hilo hadharani kuwa chopa imetunguliwa. Wakikiri imetunguliwa wataonekana ni wadhaifu na hawana uwezo wa kujilinda, wanapigika kirahisi tu
 
hata yale makombora yaliyopiga radar yao, iran walisema ndege zilizokuja hazikuwa detected, hawajui zilitoka nchi gani. yaani mtu anaingia nchini kwako anakupiga alafu hujui ni mtu gani. ila kaja kukupiga.
 
Yaani unauliza kweli iko wapi hali ya hewa mbaya ama unatania?

Hiyo picha tu inaonesha hali mbaya ya hewa halafu unauliza kitu kilicho wazi.

Tumefuatilia live coverage kwenye TV mbalimbali ulimwenguni ilikuwa ni shida hata kuona mita kadhaa tu mbele kwa hali ya fog iliyokuwepo.

Vitu vingine sio lazima ujiaibishe uonekane falah sasa ni bora kuficha ujinga wako ukaishi nao mwenyewe tu ama labda walau na ndugu zako wakifahamu ujinga wako sio mbaya.
 
Usicheze na Myahudi. Walimuua Yesu bila huruma sembuse mwarabu?
 
Weka ushahidi wa chanzo chako cha habari
Kwani yeye hawezi kuwa chanzo cha hii habari mkuu,labda ni mchambuzi wa mambo hayo?

Mimi kupitia alichoandika parah ya mwanzo kwenye mada yake nimeamua nimsikilize but the issue is....mleta mada ndiyo umeshamaliza mada yako au utarudi kuiendeleza na kutoa elimu namna hiyo silaha inavyotumika?
 
Man you know nothing about intelligence world. Eti imeshushwa na space laser seriously? Yaan waataalam walioko ground iran bado hawajatoa tamko. Kaa kwa kutulia instead of generating conspiracy theories
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…