Kama hakuna atakayezungumza ukweli kuhuru Iran mimi nitazungumza

Unashupalia mambo ya kipumbavu! Yanakuhusu nini wewe?
 
Jwa
Hawa Arabs/Muslim, wapigwe tu, ukitaka kujua ubaya wao, kaishi Zenj
 
Changamoto ya ndege za Iran, zimetengenezwa miongo mingi iliyopita na wanarekodi nyingi za ajali za ndege, kwahiyo sioni ajabu hiyo ndege kupata ajali. Kwa upande wangu nafikir Meteorological agency ya Iran ni dhaifu bora hata TMA yetu, wenyewe ndio walitakiwa watoe Alert ya hiyo hali ya hewa mbaya
 
Us anaweza kuhusika, Israel anaweza kuhusika, Azerbaijan anaweza kuhusika pia sababu huyo Azerbaijan ana urafiki mkubwa na Wayahudi pia hali ya hewa kila kitu kinawezekana, mimi nashaka kuna mkono wa US sababu ndege yao ilionekana karibu na hio area.

Kila kitu kinawezekana pia na siku zao zakufa zilifika hio haina shaka.
 
Sasa mbona wewe hujaja na fact? Hicho ulichoweka hapo ni nini?
 
Unlock a world of casual fun and excitement with the premier dating site.
Night games. One night, no worries
Legitimate Girls
Top-notch casual Dating
 
Houthi wako wapi walipize kisasi bosi wao kauawa?
 
Kati ya mashirika ya kijasusi ya kuogopa duniani Iran ameyazingua MOSSAD na CIA kwahiyo tutegemee mengi sana coz hao miamba wanajua kutengeneza matukio ambayo kupata ushahidi inakubidi utulize kichwa kweli kweli
Hao wanajuana wewe ogopa mossad na cia ila wairan wamegombana na hao jamaa ndani ya iraq leo hii muiran anainfluence na kuirun iraq wamegombana syria leo hii muiran anainfluence na kuiran syria na pia Lebanon ndio sehemu jamaa zako wa cia wamepigwa na vitu vizito mno kupitia hizbullah kwa hiyo kwenye hayo mambo wanazinguana wote hakuna mnyonge na pia kitenda hiki chukulia wamefanya hivyo kumdungua raisi wameachive nini kimkakati kama regime bado ipo na mambo yao yanaendelea
 
Wewe unaamini hiyo picha??. Kwahiyo Kuna mtu kapiga picha hiyo chopa ikianguka
 
Israel siyo level ya Iran Netanyahu noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…