Kama hakuna atakayezungumza ukweli kuhuru Iran mimi nitazungumza

hata yale makombora yaliyopiga radar yao, iran walisema ndege zilizokuja hazikuwa detected, hawajui zilitoka nchi gani. yaani mtu anaingia nchini kwako anakupiga alafu hujui ni mtu gani. ila kaja kukupiga.


Iran Bado Sana wanaweza pigana na Nterahanwe congo huko sio Israel
 
Hivi umekunywa togwa ya wapi?
Waswahili ni wepesi sana kusahau mambo madogo yaliyopita duniani na hata nchini

Nyie ndio mnamhurumia Dr Gwaji kwa lugaragara bungeni ila mmesahau ya Corona na juice ya Madagascar

Sasa nikukumbushe tu hivi karibuni jamaa aliruhusu kukamatwa kwa wanawake wasiovaa hijab na wengine kufungwa na mmoja wao kuuwawa
Ni hardliner
Mwaka 1988 aliamrisha watu kuuwawa na 5000 waliuwawa
Leo ni sherehe huko Iran wakifurahia kifo chake
Hebu muwe mnafuatilia hata taarifa za habari tu na habari za kimataifa

Kama wamemuuwa wao au ni hali ya hewa ndio imekuwa sababu we don't give a toss
Hayo ni yao unasema tuweke ushabiki pembeni ila humjui kabisa Raisi zaidi ya mapenzi ya Israel
 
Hii ni michezo ya kawaida sana kwa Mossad na hawajaanza leo wala jana. Hata Iran wanajua!

 
Uzuri matukio kama haya yanatusaidiaga watz kupoteza muda, kupunguza stress na kubana bajeti.....

Mie tangu asubuhi ni iran iran iran kushtuka muda wa chai umepita ikabidi nipige lunch.

Tuendeleeni jamani kesho hata lunch naipita tuendelee na iran
 
Hapa ndo watu wanapata ukakasi kuwa inawezekanaje top leader anapanda helicopter na kuelekea sehem ambayo haijathibitishwa kuwa ipo salama kupita
 
Something Impacted the flight and the flight was done and Raisi was done too
 
Nakuona mzee wa Sunday school umekuja na hitimisho
 

Umesahau kuwauliza chopa
mbili za msafara wa raisi zilifika salama.. inakuwaje walishindwa kujua chopa ya rais iko wapi yaan hakuna hara distress call kat yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…