Kama hakuna chochote kiserikali kumkumbuka Magufuli na sisi hatuna habari na mwaka mmoja wa Rais Samia

And who said that we give a damn about you? Nendeni mkaabudu mifupa blaaalifaken.

Rais anayekumbukwa ni Nyerere tu hata Mkapa amekufa na hatujaweka hizo sherehe zenu za mizimu.

Amini nakuambia Mungu wenu alikuwa sio Mungu aliye hai, na amekufa, dead, hayupo tena he is dead.
 
Unyonge sifa,ufisadi gani ?Makonndo ujaskia amenunua nyumba zaidi ya bilioni,sasahiv unauhuru hata wa kuongea wasiojulikana hatuwasikii.
 
Hivi Mkapa tuliazimisha kweli [emoji848]
Jiwe hakika alikuwa kipenzi cha wanyonge /masikini(Those can't think beyond the next meal) na alipingwa vikali na watu wenye akili timamu na wasiopenda umasikini/unyonge
 
Tunaelekea Kawekamo Mwanza kwenye misa ya kumbukizi ya shujaa wa Afrika.
 
Mpumbavu hadi keshokutwa weye!
 
Magufuli alikuwa nani?
 
Ndio mjielewe sasa kuwa mnaposifiwa mjue mnang'ongwa!
Ndio mjielewe sasa kuwa mkisifiwa mjue mnang'ong'wa!
 
Mods tulishaomba kitufe cha dislike.

Tuweekeeni
 
Mwacheni marehemu apumzike kwa amani.

Tushirikiane na mama kulijenga Taifa.

Ulinganisho haujengi na haisaidii kw sababu hakuna binadamu wanafanana kila kitu hata wakiwa pacha
 
"Ntapiga mpk Shangazi zao"

Binafsi siwezi kumpangia Mungu!
 
Magu hakufa tarehe 17.

Magu alikufa wiki moja kabla ya tarehe 17.

COVID-19 ikishaingia kwenye mapafu inakaba pale pale, unashindwa kupumua na hivyo kukata Moto muda huo huo.
Sawa ila sisi tunajua tarehe 17
 
NA MKAPA JE MBONA UMEMSAHAU JMN AU YY HAKUWA KIONGOZI?
 
Mbona huulizi mkapa amekumbukwaje?

Magufuli hatuwezi kumkumbuka kitaifa, atakumbukwa na wasukuma wenzake aliokua amewakumbatia kiukabila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…