Kama hakuna chochote kiserikali kumkumbuka Magufuli na sisi hatuna habari na mwaka mmoja wa Rais Samia

Kama hakuna chochote kiserikali kumkumbuka Magufuli na sisi hatuna habari na mwaka mmoja wa Rais Samia

Ukiacha kumwandika mwanao utamwambia sgr umejenga ww na stigrass gouge, na makao Dom ulihamisha ww,magu ni mwamba wenye chuki tafuteni kazi nyingine.
Chuki alikuwa nazo yeye kwa kuua na kutesa raia! Kifo chake kimeokoa wengi ambao wangeuawa bila hatia hivyo stahiki yake ni kuteketezwa katika moto wa jehanam!
 
Chuki alikuwa nazo yeye kwa kuua na kutesa raia! Kifo chake kimeokoa wengi ambao wangeuawa bila hatia hivyo stahiki yake ni kuteketezwa katika moto wa jehanam!
Hayo ya jahanamu unayajua? Alivyotupitisha kwenye covid19 hukuona jamaa alikuwa na akili nchi hii haijapata kiongozi Kama JPM,
 
Ukiacha kumuandika mwanao utamwambia SGR umejenga wewe na stigrass gouge, na makao Dom ulihamisha wewe, Magu ni mwamba wenye chuki tafuteni kazi nyingine.
Stigrass gouge ndio nini we mng'aa?
 
Tunaona tu watu wakisifia mwaka mmoja wa rais Samia utafikiri Magufuli alikufa ili Samia awe rais.

Juhudi zozote za aina yoyote kumpotezea Magufuli haziwezi kufanikiwa.

Magufuli ametufunza na kutuongoza kwa mengi yenye uzalendo mkubwa. Ajabu hata wale vigogo waliyoimba kumsifia kama ndege kasuku wamekaa kimya wakati tunamaliza mwaka mmoja tangu tuomboleze kwa uchungu kifo cha shujaa wetu.

Wakati tunakaribia mwaka tangu umetutoka sisi tunaomboleza huku tukiona baadhi ya vijana wako wakisumbuliwa kutokana na kazi yao nzuri kupambana na fisadi na mabwana wa madawa ya kulevya magendo na dhulma dhidi ya wananchi wanyonge.

Hiyo tarehe 17 March siku uliyotutoka sisi tutakuomboleza hatumsikii yeyote hata wakimsifu kwa vinubi ikiwa hapendi jina lako litajwe.

Mungu akulaze mahali pema daima John Pombe Magufuli.
Tuliza mshono, dead and gone
 
It is absurd kwamba Kamati Kuu ya CCM inatoa tsmko kuwaonya Polisi kutenda haki, kutangaza mdahalo nchi nzima kuhusu miaka mia moja ya Mwalimu Nyerere,halafu absolutely no mention of Magufuli.

Kama vile kuna hush hush kuhusu Magufuli.
Kama vile Serikali ina hofu kidogo kuhusu March 17,kwamba wananchi hawatabiriki kwa hiyo lazima wawe alert.

Lakini Polisi wanaweza kuzuia vibaka tu. Polisi hawawezi kuzuia revolution.
Attitude yangu mimi kuhusu Magufuli ni kwamba nitampinga mtu yeyote atakayesema kwamba Magufuli was an embarrassment,atakayesema kwamba Magufuli was a senseless despotic.

Labda wengine ni watabiri wanaona vurugu inakuja. Au they have an ear to the ground na wanashuku itatokea fujo. Lakini kama itatokea fujo in the near future,mimi sijaiona bado.
 
Tunaona tu watu wakisifia mwaka mmoja wa rais Samia utafikiri Magufuli alikufa ili Samia awe rais.

Juhudi zozote za aina yoyote kumpotezea Magufuli haziwezi kufanikiwa.

Magufuli ametufunza na kutuongoza kwa mengi yenye uzalendo mkubwa. Ajabu hata wale vigogo waliyoimba kumsifia kama ndege kasuku wamekaa kimya wakati tunamaliza mwaka mmoja tangu tuomboleze kwa uchungu kifo cha shujaa wetu.

Wakati tunakaribia mwaka tangu umetutoka sisi tunaomboleza huku tukiona baadhi ya vijana wako wakisumbuliwa kutokana na kazi yao nzuri kupambana na fisadi na mabwana wa madawa ya kulevya magendo na dhulma dhidi ya wananchi wanyonge.

Hiyo tarehe 17 March siku uliyotutoka sisi tutakuomboleza hatumsikii yeyote hata wakimsifu kwa vinubi ikiwa hapendi jina lako litajwe.

Mungu akulaze mahali pema daima John Pombe Magufuli.
Shughuli za kitaifa?, kwa mmomonyoko na msuguano wa CCM inawalizimu kujifanya kuwa wao wanamjali . Hapana! Wananchi wasikubali kulaghahiwa na Shughuli zezote za namna hii Chato. Ni wanafiki na wanaenda kufanya hili ili waweze kupata kura tu. Kampeni zao ndipo zinapoanzia sasa. ni wanafiki na wamejaa dhuluma tupu.
 
Kila raisi atakaekua anakufa mtakua mnaacha shughuli mnaadhimisha? Mbona itakua nchi ya maadhimisho ya wafu tena. Hebu acheni mnadhani serikali haijui inachofanya?
 
Back
Top Bottom