Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hakuna mpumbafu kulikk wewe hapa dunianiIla wee ni mpumbavu Sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mpumbafu kulikk wewe hapa dunianiIla wee ni mpumbavu Sana.
Akili za maccm
Yupo exileMusiba kafia wapi?
Nawewe kunywa sumu ukamfuate huko alikoKwa sababu watanzania ni kizazi cha wezi na wavivu.
Wasiopenda kuishi kwa jasho lao.
Wanaoishi kwa unafiki na husda, tegemea matusi mengi kwenye mtandao huu ambao wengi wao ni kizazi cha short cuts au michongo.
Ila wenye kukuelewa tumekuelewa vizuri sana.
JPM ataendelea kuwa shujaa na Mzalendo wa kweli kuwahi kutokea katika nchi hii.
Usishangae kuona nchi kadhaa za nje zikimuenzi kuliko hapa kwetu.
Huku kwetu wanasuguana mabega kugombea ulaji usiku na mchana.
Ila waelewe tunaelekea 2025....na wale watu waliokuwa wakilia mabarabarani bado wako hai na hamasa yao iko palepale.
Kwa sasa wacha Putin atufundishe adabu wapenda bakuli.
AiseeeeHuyo dikteta wako hastahili hata kuandikwa katika orodha ya viongozi walio ongoza nchi hii!
Tulia kuna mwingine atachukua fomu 2025. Utaendekea kulia lia sanaHuyo dikteta wako hastahili hata kuandikwa katika orodha ya viongozi walio ongoza nchi hii!
Waliokuwa wezi na wakwepa kodi, wapenda vya bureMagufuli bado anadaiwa damu za watu wasio na hatia!
Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
Wewe, Bashite na wenzako mkiomboleza inatosha sana.Tunaona tu watu wakisifia mwaka mmoja wa rais Samia utafikiri Magufuli alikufa ili Samia awe rais.
Juhudi zozote za aina yoyote kumpotezea Magufuli haziwezi kufanikiwa.
Magufuli ametufunza na kutuongoza kwa mengi yenye uzalendo mkubwa. Ajabu hata wale vigogo waliyoimba kumsifia kama ndege kasuku wamekaa kimya wakati tunamaliza mwaka mmoja tangu tuomboleze kwa uchungu kifo cha shujaa wetu.
Wakati tunakaribia mwaka tangu umetutoka sisi tunaomboleza huku tukiona baadhi ya vijana wako wakisumbuliwa kutokana na kazi yao nzuri kupambana na fisadi na mabwana wa madawa ya kulevya magendo na dhulma dhidi ya wananchi wanyonge.
Hiyo tarehe 17 March siku uliyotutoka sisi tutakuomboleza hatumsikii yeyote hata wakimsifu kwa vinubi ikiwa hapendi jina lako litajwe.
Mungu akulaze mahali pema daima John Pombe Magufuli.
Kwamba kutakuwa na msukule mwingine?Tulia kuna mwingine atachukua fomu 2025. Utaendekea kulia lia sana
Bashiru ni msukule?Kwamba kutakuwa na msukule mwingine?
Bashiru hata udiwani hawezi kuthubutu kujiingiza kwa sababu aibu atakayopata itakuwa nafuu na aliyopata Pascal Mayala kwa wajumbe!😂😂😂Bashiru ni msukule?
Mimi nalijua hilo ndio maana siwaombei wala kuzungumzia mabaya kwa waliotangulia kama wewe na chuki zako.kama vile wewe ni mwema sana na utaishi milele dunia tunapita punguza chuki kwa marehemu.Hata wewe UTAKUFA.
Unafikiri wewe na ukoo wenu MTAISHI milele.
Magufuli hakufa kwa korona kijana.Hata physician wake anajua hili.Magufuli hakufa tarehe 17.
Magufuli alikufa wiki moja kabla ya tarehe 17.
COVID-19 ikishaingia kwenye mapafu inakaba pale pale, unashindwa kupumua na hivyo kukata Moto muda huo huo.
Basi huyo MAGU WAKO HAKUJUA NA NDIO MAANA ALIKUWA ANAUA WATU OVYO OVYO huku wewe 8unashangilia.Mimi nalijua hilo ndio maana siwaombei wala kuzungumzia mabaya kwa waliotangulia kama wewe na chuki zako.kama vile wewe ni mwema sana na utaishi milele dunia tunapita punguza chuki kwa marehemu.
Ukiacha kumuandika mwanao utamwambia SGR umejenga wewe na stigrass gouge, na makao Dom ulihamisha wewe, Magu ni mwamba wenye chuki tafuteni kazi nyingine.Huyo dikteta wako hastahili hata kuandikwa katika orodha ya viongozi walio ongoza nchi hii!
Hakujua wakati Mara kwa Mara aliomba tumwombee, acheni chuki zenuu.Basi huyo MAGU WAKO HAKUJUA NA NDIO MAANA ALIKUWA ANAUA WATU OVYO OVYO huku wewe 8unashangilia.
Kifo ni kwa kila mtu.
Alisema tutamkumbuka. End. Haya maneno haya yatalitesa taifa na watawala usiku na mchana maana ndicho kitakachotokea. Trust me.Tunaona tu watu wakisifia mwaka mmoja wa rais Samia utafikiri Magufuli alikufa ili Samia awe rais.