Kama hakuna chochote kiserikali kumkumbuka Magufuli na sisi hatuna habari na mwaka mmoja wa Rais Samia

Mhu 9:5​

Kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa.
Kumbukumbu moja tu ya Hayati JKN inatosha ! Hatutaki tena kumbukumbu zingine ! Na hiyo ni kwa sababu ilishakubalika kwamba yeye ndiye BABA WA TAIFA !!
 
Tunaona tu watu wakisifia mwaka mmoja wa rais Samia utafikiri Magufuli alikufa ili Samia awe rais.

Juhudi zozote za aina yoyote kumpotezea Magufuli haziwezi kufanikiwa.

Magufuli ametufunza na kutuongoza kwa mengi yenye uzalendo mkubwa. Ajabu hata wale vigogo waliyoimba kumsifia kama ndege kasuku wamekaa kimya wakati tunamaliza mwaka mmoja tangu tuomboleze kwa uchungu kifo cha shujaa wetu.

Wakati tunakaribia mwaka tangu umetutoka sisi tunaomboleza huku tukiona baadhi ya vijana wako wakisumbuliwa kutokana na kazi yao nzuri kupambana na fisadi na mabwana wa madawa ya kulevya magendo na dhulma dhidi ya wananchi wanyonge.

Hiyo tarehe 17 March siku uliyotutoka sisi tutakuomboleza hatumsikii yeyote hata wakimsifu kwa vinubi ikiwa hapendi jina lako litajwe.

Mungu akulaze mahali pema daima John Pombe Magufuli.
Na hata hivyo Mama kakuta mambo yoote yamewekwa sawa na mifereji ya pesa ikiwa imenyooka. Hana cha kujisifia. Hata wanaompamba wanafahamu. Ukitaka kufanikiwa kumsifia Mama ni lazima uanze na JPM kwanza vinginevyo unachekesha. No maendeo tunayoyaona sasa bila JPM kuyaanzisha na kuyakusanyia pesa. Mama kakuta kila kitu.
 
Hapa Tayari Nina. Tisheti nyeusi yenye picha kubwa ya Hayati Magufuli ikichagizwa na maamdishi ya RIP our hero
 
Tunaona tu watu wakisifia mwaka mmoja wa rais Samia utafikiri Magufuli alikufa ili Samia awe rais.

Juhudi zozote za aina yoyote kumpotezea Magufuli haziwezi kufanikiwa.

Magufuli ametufunza na kutuongoza kwa mengi yenye uzalendo mkubwa. Ajabu hata wale vigogo waliyoimba kumsifia kama ndege kasuku wamekaa kimya wakati tunamaliza mwaka mmoja tangu tuomboleze kwa uchungu kifo cha shujaa wetu.

Wakati tunakaribia mwaka tangu umetutoka sisi tunaomboleza huku tukiona baadhi ya vijana wako wakisumbuliwa kutokana na kazi yao nzuri kupambana na fisadi na mabwana wa madawa ya kulevya magendo na dhulma dhidi ya wananchi wanyonge.

Hiyo tarehe 17 March siku uliyotutoka sisi tutakuomboleza hatumsikii yeyote hata wakimsifu kwa vinubi ikiwa hapendi jina lako litajwe.

Mungu akulaze mahali pema daima John Pombe Magufuli.

Kifo cha Magufuli ni fursa kwa samia ,Nape, Riziwani, makamba Jr . Ni kilio kwa Bashiru, sabaya, kalemani, wananchi wa chato, manyanga construction company limited , Job Ndingai, Kabudi, Lukuvi​

Wacha waisome namba
 
Tunaona tu watu wakisifia mwaka mmoja wa rais Samia utafikiri Magufuli alikufa ili Samia awe rais.

Juhudi zozote za aina yoyote kumpotezea Magufuli haziwezi kufanikiwa.

Magufuli ametufunza na kutuongoza kwa mengi yenye uzalendo mkubwa. Ajabu hata wale vigogo waliyoimba kumsifia kama ndege kasuku wamekaa kimya wakati tunamaliza mwaka mmoja tangu tuomboleze kwa uchungu kifo cha shujaa wetu.

Wakati tunakaribia mwaka tangu umetutoka sisi tunaomboleza huku tukiona baadhi ya vijana wako wakisumbuliwa kutokana na kazi yao nzuri kupambana na fisadi na mabwana wa madawa ya kulevya magendo na dhulma dhidi ya wananchi wanyonge.

Hiyo tarehe 17 March siku uliyotutoka sisi tutakuomboleza hatumsikii yeyote hata wakimsifu kwa vinubi ikiwa hapendi jina lako litajwe.

Mungu akulaze mahali pema daima John Pombe Magufuli.
Historia ya JPM ilifungwa March 17, 2021 au hata kabla ya hapo. Life goes on. Sasa hivi tunashughulika na walio hai. Period
 
Spika Jobu wa Kongwa akiomboleza inatosha....Wacha mama asherehekee mwaka mmoja wa Urais na kazi iendelee[emoji16][emoji1787]
 
Utake usitake, upende usinde JPM will remain best ever president we have had in our country and Africa in general.
Umerogwa wewe siyo bure otherwise wewe ni kundi moja na kina Sabaya
 
Ukishaona mtu anashambulia mtu badala ya hoja ujue kafirisika kifikira. Na sina namna ya kukusaidia nakuacha na ujuha wako uhangaike nao. JPM was and still best of best head of state ever.
 
Mods tulishaomba kitufe cha dislike.

Tuweekeeni
Ushamba bado unawasumbua kitufe kipo umetoka kunya na ng'ombe wenu zizini ndio maana huwezi kutumia JF.

Jinga kabisa unaendelea kujitia aibu mnadhibirisha ujinga wenu. Ukija mjini uliza we wakumwitu.
 
Ukishaona mtu anashambulia mtu badala ya hoja ujue kafirisika kifikira. Na sina namna ya kukusaidia nakuacha na ujuha wako uhangaike nao. JPM was and still best of best head of state ever.
Best nyumbani kwenu Burigi
 
Kwani wamesema hiyo siku inapita kimyakimya..?
 
Tunaona tu watu wakisifia mwaka mmoja wa rais Samia utafikiri Magufuli alikufa ili Samia awe rais.

Juhudi zozote za aina yoyote kumpotezea Magufuli haziwezi kufanikiwa.

Magufuli ametufunza na kutuongoza kwa mengi yenye uzalendo mkubwa. Ajabu hata wale vigogo waliyoimba kumsifia kama ndege kasuku wamekaa kimya wakati tunamaliza mwaka mmoja tangu tuomboleze kwa uchungu kifo cha shujaa wetu.

Wakati tunakaribia mwaka tangu umetutoka sisi tunaomboleza huku tukiona baadhi ya vijana wako wakisumbuliwa kutokana na kazi yao nzuri kupambana na fisadi na mabwana wa madawa ya kulevya magendo na dhulma dhidi ya wananchi wanyonge.

Hiyo tarehe 17 March siku uliyotutoka sisi tutakuomboleza hatumsikii yeyote hata wakimsifu kwa vinubi ikiwa hapendi jina lako litajwe.

Mungu akulaze mahali pema daima John Pombe Magufuli.
Huko ndio kunaitwa kuwashwa washwa

Mwendazake mwenyewe alishakuambia kwamba akifa anaenda kuongoza malaika huko,

Sasa ww na malaika ni nani wa kumsifia?

Sifa zako zitamzidi malaika?

Na kwa nn ww usimsifie ukanyamaza, au ushirikiane na wale waliokua wanamuita Mungu mtu.
 
MAGUFULI NI DIKTETA NA ANA MABAYA MENGI MNO. ILA AMEACHA SOMO MOJA KWAMBA KATIKA UTENDAJI HUWEZI MFANANISHA NA KIMBA YEYOTE. NA INAWEZA ASITOKEE MWINGINE WA KUFANYA KAMA YEYE MAANA HATA WATAWALA WA SASA WANASHAURIWA NA WACHUMIA TUMBO WALIOSHINDWA WAROHO NA WASIOTOSHEKA WAO NA FAMILIA ZAO.
 
Ukimkumbuka we na familia yako inatosha
 
Back
Top Bottom