Kama hakuna chochote kiserikali kumkumbuka Magufuli na sisi hatuna habari na mwaka mmoja wa Rais Samia

Tunaona tu watu wakisifia mwaka mmoja wa rais Samia utafikiri Magufuli alikufa ili Samia awe rais.

Juhudi zozote za aina yoyote kumpotezea Magufuli haziwezi kufanikiwa.

Magufuli ametufunza na kutuongoza kwa mengi yenye uzalendo mkubwa. Ajabu hata wale vigogo waliyoimba kumsifia kama ndege kasuku wamekaa kimya wakati tunamaliza mwaka mmoja tangu tuomboleze kwa uchungu kifo cha shujaa wetu.

Wakati tunakaribia mwaka tangu umetutoka sisi tunaomboleza huku tukiona baadhi ya vijana wako wakisumbuliwa kutokana na kazi yao nzuri kupambana na fisadi na mabwana wa madawa ya kulevya magendo na dhulma dhidi ya wananchi wanyonge.

Hiyo tarehe 17 March siku uliyotutoka sisi tutakuomboleza hatumsikii yeyote hata wakimsifu kwa vinubi ikiwa hapendi jina lako litajwe.

Mungu akulaze mahali pema daima John Pombe Magufuli.
Hilo dikteta lilitaka tuliabudu....lilitaka liwe ndio MUNGU
 
Hayo ndio malipo ya udhalimu. Usidhani walikuwa wanamsifu kweli bali walikuwa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Yule alikuwa kiongozi muovu fullstop.
 
Tunaona tu watu wakisifia mwaka mmoja wa rais Samia utafikiri Magufuli alikufa ili Samia awe rais.

Juhudi zozote za aina yoyote kumpotezea Magufuli haziwezi kufanikiwa.

Magufuli ametufunza na kutuongoza kwa mengi yenye uzalendo mkubwa. Ajabu hata wale vigogo waliyoimba kumsifia kama ndege kasuku wamekaa kimya wakati tunamaliza mwaka mmoja tangu tuomboleze kwa uchungu kifo cha shujaa wetu.

Wakati tunakaribia mwaka tangu umetutoka sisi tunaomboleza huku tukiona baadhi ya vijana wako wakisumbuliwa kutokana na kazi yao nzuri kupambana na fisadi na mabwana wa madawa ya kulevya magendo na dhulma dhidi ya wananchi wanyonge.

Hiyo tarehe 17 March siku uliyotutoka sisi tutakuomboleza hatumsikii yeyote hata wakimsifu kwa vinubi ikiwa hapendi jina lako litajwe.

Mungu akulaze mahali pema daima John Pombe Magufuli.
Nimeamini kweli kutesa kwa zamu! Ni pigo kwenu ambalo hamtasahau wazee wa legacy. Tulieni tu hakuna namna nyingine, na huo ndio ukweriii!!!
 
Tunaona tu watu wakisifia mwaka mmoja wa rais Samia utafikiri Magufuli alikufa ili Samia awe rais.

Juhudi zozote za aina yoyote kumpotezea Magufuli haziwezi kufanikiwa.

Magufuli ametufunza na kutuongoza kwa mengi yenye uzalendo mkubwa. Ajabu hata wale vigogo waliyoimba kumsifia kama ndege kasuku wamekaa kimya wakati tunamaliza mwaka mmoja tangu tuomboleze kwa uchungu kifo cha shujaa wetu.

Wakati tunakaribia mwaka tangu umetutoka sisi tunaomboleza huku tukiona baadhi ya vijana wako wakisumbuliwa kutokana na kazi yao nzuri kupambana na fisadi na mabwana wa madawa ya kulevya magendo na dhulma dhidi ya wananchi wanyonge.

Hiyo tarehe 17 March siku uliyotutoka sisi tutakuomboleza hatumsikii yeyote hata wakimsifu kwa vinubi ikiwa hapendi jina lako litajwe.

Mungu akulaze mahali pema daima John Pombe Magufuli.
Mhutu wewe, una dalili zote.
 
Wewe na nani? Usinijumuishe tafadhari Nina mengi maovu ya kumsema
 
Vipi yule aliye uza nyumba za watumishi? Ndiyo leo hii mnamwita shujaa wa Afrika?
Duh! Hatari kweli kweli ! Mimi siku zote husimama katika ukweli kama kuna vitu MTU yeyote amevifanya sawasawa nitamsifu na kama kuna vitu ameboronga pia nitasema kwamba hiyo sio sahihi kabisa kabisa, ndio maana mpaka hivi sasa mimi ninachukiwa na watu wa awamu ya Rais Kikwete kutokana na ukosoaji wangu pale nilipoona mambo hayaendi sawa !! JPM kuna vitu alivifanya sawa lakini pia vipo alivyoboronga huo ndio ukweli !!
 
Tunaona tu watu wakisifia mwaka mmoja wa rais Samia utafikiri Magufuli alikufa ili Samia awe rais. Juhudi zozote za aina yoyote kumpotezea Magufuli haziwezi kufanikiwa. Magufuli ametufunza na kutuongoza kwa mengi yenye uzalendo mkubwa. Ajabu hata wale vigogo waliyoimba kumsifia kama ndege kasuku wamekaa kimya wakati tunamaliza mwaka mmoja tangu tuomboleze kwa uchungu kifo cha shujaa wetu. Wakati tunakaribia mwaka tangu umetutoka sisi tunaomboleza huku tukiona baadhi ya vijana wako wakisumbuliwa kutokana na kazi yao nzuri kupambana na fisadi na mabwana wa madawa ya kulevya magendo na dhulma dhidi ya wananchi wanyonge. Hiyo tarehe 17 March siku uliyotutoka sisi tutakuomboleza hatumsikii yeyote hata wakimsifu kwa vinubi ikiwa hapendi jina lako litajwe. Mungu akulaze mahali pema daima John Pombe Magufuli.

Mhu 9:5​

Kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa.
 
Back
Top Bottom