Bado nahisi Israel ilikuwa yatafuta justification ya kuongeza eneo la ulinzi, hivyo wakaamua kufanya collateral kwa watu waobila msaada wa Waajemi/Persian/Iran Hamas hawatoboi.
Kigogo ni namba 1Kigogo hadi leo hajulikani, halafu wanajiita bora.
Labda ubora wa kuiba wake za watu.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Nchi ambayo imewaweka raia wake kama adui namba moja usitegemee kuna kinachoshindikana maana kuiasi Katiba hupelekea viapo vingine kupoteza maana.Ngoja sasa GENTAMYCINE nijiandae kwenda zangu Site Mapinga kujenga Nyumba za Watu ( nikiwa kama Saidia Fundi ) nikipitia njia niipendayo ya Boko Magengeni kisha naingia nayo kuelekea Mbweni Malindi kupitia Chuo cha Mafunzo Yasiyojulikana nivuke Mto Mpiji na nikatize Kiaraka kilipo Chuo cha Makomandoo hadi nifike zangu Kiembeni na mwishoni nikite Kambi katika Center maarufu ya Mchango wa Hela.
Kama Israel ina Idara ya Usalama wa Taifa tishio na mahiri duniani lakini Wajanja wa Hamas wameweza Kujipenyeza, Kujipanga, Kuratibu Nashambuliwa na kufanya Kilichofanyika vipi kwa yale Mataifa mengine ( hasa Barani Afrika ) ambayo mengine Kutwa yanatamba au Watendaji wao wa Usalama wa Taifa Wanatamba mitaani huku Wakijiamini kuwa Idara yao ni Kali na kwamba kamwe katika hizo nchi zao hakuna Adui atakayeweza Kuingia wakati kuna baadhi ya hizo nchi ( GENTAMYCINE sizijui ) kwa sasa maeneo yao Nyeti ( ya Kambi ) kumejengwa Fremu za Biashara za Kupangisha na kuna zingine hadi zina Gereji za Bajaji, Pikipiki na hata Gari.
Naungana nawe.Usiwaamini waisrael, subir wakamilishe mipango yao kwanza ndo utajua Intel yao ipoje na kwann waliruhusu Yale yatokee.
Huko maitaifa ya bara lile haya hayawezi tokea ardhi ipo ya kutosha mihadarati sio issue we uza tu kikubwa top leaders wawe na parcents yaan sioni sababu ya unayoyasema kutokea
We vipi? Mtu kaleta hoja maridhawa we unaleta habari za kupata mke, are you serious?Nenda kwa Mwamposa uombewe upate mke
na wakisambaratishe kikundi cha hamas na vingine huko. Hamas wanajimaliza wenyeweNaungana nawe.
Israel walitaka kuingia Gaza na kumaliza kila kitu ila sababu hawakuwa nayo, sasa wamepata sababu
Na huenda mama akampa kipande.
Samia alipata wapi ujasiri kumkaribisha TOLU wakati anajua ni adui mkubwa wa handsome?
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Hamas ni kikundi sio nchi
acha ushabiki, Israel ni dude kubwa lenye uwezo wa kujitegemea kuwanyuka maadui zakeHata israel bila msaada Usa + uk hatobi
Wakija Taleban watanyoosha mikomoIsrael hajali mtoto wala bibi
Umesahau kukamata magwanda ya mabaka mabaka ya mtumbaniSisi nchi yetu ya TOZONIA.. usalama ni mwendo wa kujigamba "unanijua mimi nani"
Kuteka watu"watu wasijulikana"
Kutesa, kung'oa meno kwa PLAIZI
Kutupa watu kwenye viroba.
sijui kwenu huko TANZANIA nchi iliyobarikiwa duniani, nchi ya amani.
ππNenda kwa Mwamposa uombewe upate mke
Hamas ni Iranna wakisambaratishe kikundi cha hamas na vingine huko. Hamas wanajimaliza wenyewe
Nahamia huko rasmi mwisho wa mwaka.Kumbe unapajua nyumban hapa kiaraka , kiembeni ,
Hakuna nchi afrika yenye Usalama wa Taifa tishio na mahiri Duniani HAKUNA ! Narudia HAKUNANgoja sasa GENTAMYCINE nijiandae kwenda zangu Site Mapinga kujenga Nyumba za Watu ( nikiwa kama Saidia Fundi ) nikipitia njia niipendayo ya Boko Magengeni kisha naingia nayo kuelekea Mbweni Malindi kupitia Chuo cha Mafunzo Yasiyojulikana nivuke Mto Mpiji na nikatize Kiaraka kilipo Chuo cha Makomandoo hadi nifike zangu Kiembeni na mwishoni nikite Kambi katika Center maarufu ya Mchango wa Hela.