Kama Hamas wameweza Comfortably kujipenyeza Israel yenye Usalama wa Taifa Bora, vipi nchi zingine Afrika zinazojisifu kuwa na Usalama wa Taifa tishio?

Ngoja sasa GENTAMYCINE nijiandae kwenda zangu Site Mapinga kujenga Nyumba za Watu ( nikiwa kama Saidia Fundi ) nikipitia njia niipendayo ya Boko Magengeni kisha naingia nayo kuelekea Mbweni Malindi kupitia Chuo cha Mafunzo Yasiyojulikana nivuke Mto Mpiji na nikatize Kiaraka kilipo Chuo cha Makomandoo hadi nifike zangu Kiembeni na mwishoni nikite Kambi katika Center maarufu ya Mchango wa Hela.

Kama Israel ina Idara ya Usalama wa Taifa tishio na mahiri duniani lakini Wajanja wa Hamas wameweza Kujipenyeza, Kujipanga, Kuratibu Nashambuliwa na kufanya Kilichofanyika vipi kwa yale Mataifa mengine ( hasa Barani Afrika ) ambayo mengine Kutwa yanatamba au Watendaji wao wa Usalama wa Taifa Wanatamba mitaani huku Wakijiamini kuwa Idara yao ni Kali na kwamba kamwe katika hizo nchi zao hakuna Adui atakayeweza Kuingia wakati kuna baadhi ya hizo nchi ( GENTAMYCINE sizijui ) kwa sasa maeneo yao Nyeti ( ya Kambi ) kumejengwa Fremu za Biashara za Kupangisha na kuna zingine hadi zina Gereji za Bajaji, Pikipiki na hata Gari.
Nchi ambayo imewaweka raia wake kama adui namba moja usitegemee kuna kinachoshindikana maana kuiasi Katiba hupelekea viapo vingine kupoteza maana.

Mungu anatulinda ndo maana hatupo kwenye rada za wenye meno ya risasi
 
Usiwaamini waisrael, subir wakamilishe mipango yao kwanza ndo utajua Intel yao ipoje na kwann waliruhusu Yale yatokee.

Huko maitaifa ya bara lile haya hayawezi tokea ardhi ipo ya kutosha mihadarati sio issue we uza tu kikubwa top leaders wawe na parcents yaan sioni sababu ya unayoyasema kutokea
Naungana nawe.
Israel walitaka kuingia Gaza na kumaliza kila kitu ila sababu hawakuwa nayo, sasa wamepata sababu
 
Sisi nchi yetu ya TOZONIA.. usalama ni mwendo wa kujigamba "unanijua mimi nani"
Kuteka watu"watu wasijulikana"
Kutesa, kung'oa meno kwa PLAIZI
Kutupa watu kwenye viroba.
sijui kwenu huko TANZANIA nchi iliyobarikiwa duniani, nchi ya amani.
Umesahau kukamata magwanda ya mabaka mabaka ya mtumbani
 
Nachojua, ukanda wa Gaza pamoja na kuwa ni sehemu ya wahamiaji (settlers) pengine haijapewa kipaumbele kivile kama miji mingine ya Israel
 
Ngoja sasa GENTAMYCINE nijiandae kwenda zangu Site Mapinga kujenga Nyumba za Watu ( nikiwa kama Saidia Fundi ) nikipitia njia niipendayo ya Boko Magengeni kisha naingia nayo kuelekea Mbweni Malindi kupitia Chuo cha Mafunzo Yasiyojulikana nivuke Mto Mpiji na nikatize Kiaraka kilipo Chuo cha Makomandoo hadi nifike zangu Kiembeni na mwishoni nikite Kambi katika Center maarufu ya Mchango wa Hela.

Kama Israel ina Idara ya Usalama wa Taifa tishio na mahiri duniani lakini Wajanja wa Hamas wameweza Kujipenyeza, Kujipanga, Kuratibu Nashambuliwa na kufanya Kilichofanyika vipi kwa yale Mataifa mengine ( hasa Barani Afrika ) ambayo mengine Kutwa yanatamba au Watendaji wao wa Usalama wa Taifa Wanatamba mitaani huku Wakijiamini kuwa Idara yao ni Kali na kwamba kamwe katika hizo nchi zao hakuna Adui atakayeweza Kuingia wakati kuna baadhi ya hizo nchi ( GENTAMYCINE sizijui ) kwa sasa maeneo yao Nyeti ( ya Kambi ) kumejengwa Fremu za Biashara za Kupangisha na kuna zingine hadi zina Gereji za Bajaji, Pikipiki na hata Gari.
Hakuna nchi afrika yenye Usalama wa Taifa tishio na mahiri Duniani HAKUNA ! Narudia HAKUNA
 
Back
Top Bottom