Kama Hamas wameweza Comfortably kujipenyeza Israel yenye Usalama wa Taifa Bora, vipi nchi zingine Afrika zinazojisifu kuwa na Usalama wa Taifa tishio?

Acha hizo huyu popoma hamna kitu ni keyboard warrior
Nyangumi wa hapa JamiiForums wamenishindwa na Wengine sasa tumekuwa Marafiki na tunaheshimiana utakuwa Dagaa, Simbilizi na Ndorobo Mmoja Wewe?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Yaani una akili finyu sana. Yaani Israel anavyowalinda raia wake kiasi kile halafu aruhusu HAMAS waingie wauwe, wateke raia pamoja na wanajeshi?

Kwani ukikiri tu Israel amezidiwa akili na HAMAS unapungukiwa nini? Kufikia sasa zaidi ya Waisraeli 400 wameuliwa na Wapelestina 390 na bado mapigano yanaendelea Gaza.
 
Una mihemko sio bure . Israel bila bwana wake US hana lolote.
kwani hamas hawana wa kuwasaidia? Tulia ucheki kifinyo cha mbwa mwizi watakachokipata hamas
 
Tayari, msiba umeanza huko

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Hiyo nchi bila shaka inaitwa 'Popo' unachokisema ni kweli mana huwa nzi wa kijani ndio wanaoiwakilisha idara ile
 
Taleban kutoka The grave yard of empires wamesema wako tayari kwenda kutoa kichapo Kwa Wayahudi wakipewa access ya kupita na Nchi jirani.

Nadhani mnajua mtoto wa taleban kwenye guerilla Wars
Hakunaga wanaume hapa duniani zaidi ya Watelebani wakifuatiwa na warusi, warabu wasomali. Wazungu kazi yao kuunda "matoy" na kutisha watu tu. Islael haijawahi kupigana na taifa lolote kubwa bora hata Eukrain ametunisha misuli kwa mwamba Putini. Islael uwezo wao ni wa kupigana na wanamgamba wa Hamas, waje wajichenge wapigane na Saudia au Iran hapo ndio nguvu yao itapimwa.
 
Raia wema wa palestina wajitahidi wawe wanawachoma Hawa wanamgambo wa Hamas .
 
Gereji za bajaji [emoji23][emoji23]umesahau na majiko ya nyama choma na kumbi za starehe
 
Unamwamini fundi wako akija kutengeneza taa ya chooni kwako
 
Sisi intelligentsia yetu ni ku deal na CDM na wote nawao fanana na hao ..... kama hujanielewa hutonielewa tena
 
Mkuu sio kwamba HAMAS Walifanikiwa au ISRAIL walikuwa hawana taarifa mzee baba!!! shirika lao la kijasusi la MOSSAD kwa kushirikiana na MAJASUSI wa MISRI walishanusa na wakatoa taarifa kwa NETANYAU,na NETANYAU akaitisha kikao cha siri cha usalama,,lakini kutoka na ISRAIL kutafuta kila njia kuichukua GAZA na kuogopa lawama za DUNIA,,wakaona hii ndio fursa,so wakakubaliana watulie tu!! ila jamaa wakitekeleza tu shambulio{HAMASS} basi ISRAIL apate sababu ya kuibomoa GAZA,kuijenga upya baada ya ushindi,kuitawala na kujipanua!!!!!"THINK CRITICALLY!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…